Mwanzo wa majerahaa ndo huyuAlipo kuwa kwenye mahojiano kwenye kituo cha Radio cha Angel Fm Nana Kwaku Bonsam alisema kuwa yeye ndie kahusika kwa kumroga Christiano Ronaldo ili aweze kuzikosa match kadhaa muhimu za kombe la dunia ikiwemo ile ya timu ya Ghana na Ureno na alifanya hivo kama njia moja wapo yakuivunja nguvu timu ya Ureno.
Alisikika akisema hivi kwa Kingereza: “I know what Cristiano Ronaldo’s injury is about, I’m working on him,” Nana Kwaku Bonsam alisema kwenye kituo cha Radio cha Angel Fm.
Huo uongo sasa.
ReplyDeletemganga anatafuta kick uyu
ReplyDeleteDA! HAKI YA MUNGU AFRIKA TUTAKUWA TUKIFUNGWA KWA KUAMINI UCHAWI,SWALI LA KUJIULIZA KWANI KWENYE HYO TIMU MFUNGAJ NI HUYO TU NA ISITOSHE KUNA TIMU KAMA UJERUMAN,KWA NIN KPINDI FLAN WALISHINDWA KUWALOGA WAKOLON? NA MPAKA SASA BADO WANATUNYONYA TU.JAMAA ANATAKA JINA KIDUNIA.
ReplyDeletebwege tu uyo sura yenyewe bangi tupu ataweza kumroga mtu kweli haaaaaaaaaaa?
ReplyDeleteIla duh, kabomoka sura si mchezo
ReplyDeleteAwaroge na wajeruman walionao kwenye Kundi moja........
ReplyDeleteHana lolote atutolee ujinga hapa. Anatafuta kula tu shnz typ!
ReplyDeleteHy mpumbavu ana lolote bwege yeye
ReplyDeleteHy mpumbavu ana lolote bwege yeye
ReplyDelete