Kama mnavyojua dada yetu MASOGANGE kwa muda sasa yupo nchini SAUZI na amekuwa sio mchoyo wa PICHA zake, wakati wote amekuwa anashare nasi picha zake kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM
Sasa mimi sijajua SAUZI anafanya nini...(Kwa hapa huwa anajishughulisha na kazi ya u-VIDEO KWINI)
Kupitia kile anachoweka huko INSTAGRAM hatimaye imedhihilika wazi kwa jamaa hapo pichani anaitwa Louis Dolnard.... ndio mpango mzima kwa dada yetu...TEMBEA NAMI
kwanza ya huyu jamaa alipost miezi miwili iliyopita!!
Wambea tukapotezea!!! Dah
Wiki iliyopita alitupia tena picha ya huyu jamaa bila kuandika chochote ......washambenga tukahisi kuna....MAUMIVU NIACHE ....MAHABA NIKUMBATIE hapa....hahahahahaha!!!!
Na kweli toka jana usiku fujo ikaanza huko INSTAGRAM..Masogange aliweka picha hapo chini na kuandika"Mtoto si unanielewa, in Diamond Voice
punde jamaa nae akaposti the same picha na kuandika "With my Everything
Daah kumbe nilikuwa nachelewa...jamaa kitambo alishawekawazi kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM.....
Alikuwa anawekapicha za Masogange na kufunguka ya moyoni......Jionee mwenyewe!!!
mfile2 sisi mashabiki
ReplyDeleteU-star bongo kitu simple sana,hiv huyu ukiulizwa utoe sababu mbili za yeye kuitwa star kiasi cha kkufatiliwa habari zake kafanya nini cha maana nchi hii,hadi leo sijapata jibu kitu gani kilimvumisha kama uvideo qeen wanawake wengi sana wamecheza video,?au hilo tako wangapi wanayo?coz kavuma sana kabla ya skendo ya unga!mi sijui jaman labda mshamba ila kiukweli kuna vitu vinatupotezea muda sana,kama muda huu niliotumia kuulizia huu upuuizi unaoendekezwa na mablogger na magazet ya 200!
ReplyDeletehuyo ni drug dealer mwenzio.tako lazima amle..drug zenyewe wanaiinhizia mkunduni.full kifilo
ReplyDelete