Huyu Ndiye Kidume Anayemfaidi Agnes Masogange

Kama mnavyojua dada yetu MASOGANGE kwa muda sasa yupo nchini SAUZI na amekuwa sio mchoyo wa PICHA zake, wakati wote amekuwa anashare nasi picha zake kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM

Sasa mimi sijajua SAUZI anafanya nini...(Kwa hapa huwa anajishughulisha na kazi ya u-VIDEO KWINI)
Kupitia kile anachoweka huko INSTAGRAM hatimaye imedhihilika wazi kwa jamaa hapo pichani anaitwa Louis Dolnard.... ndio mpango mzima kwa dada yetu...TEMBEA NAMI


kwanza ya huyu jamaa alipost miezi miwili iliyopita!!
Wambea tukapotezea!!! Dah

Wiki iliyopita alitupia tena picha ya huyu jamaa bila kuandika chochote ......washambenga tukahisi kuna....MAUMIVU NIACHE ....MAHABA NIKUMBATIE hapa....hahahahahaha!!!!


Na kweli toka jana usiku fujo ikaanza huko INSTAGRAM..Masogange aliweka picha hapo chini na kuandika"Mtoto si unanielewa, in Diamond Voice
 punde jamaa nae akaposti the same picha na kuandika "With my Everything


Daah kumbe nilikuwa nachelewa...jamaa kitambo alishawekawazi kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM.....

Alikuwa anawekapicha za Masogange na kufunguka ya moyoni......Jionee mwenyewe!!!
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mfile2 sisi mashabiki

    ReplyDelete
  2. U-star bongo kitu simple sana,hiv huyu ukiulizwa utoe sababu mbili za yeye kuitwa star kiasi cha kkufatiliwa habari zake kafanya nini cha maana nchi hii,hadi leo sijapata jibu kitu gani kilimvumisha kama uvideo qeen wanawake wengi sana wamecheza video,?au hilo tako wangapi wanayo?coz kavuma sana kabla ya skendo ya unga!mi sijui jaman labda mshamba ila kiukweli kuna vitu vinatupotezea muda sana,kama muda huu niliotumia kuulizia huu upuuizi unaoendekezwa na mablogger na magazet ya 200!

    ReplyDelete
  3. huyo ni drug dealer mwenzio.tako lazima amle..drug zenyewe wanaiinhizia mkunduni.full kifilo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad