Imegundulika Wadada Wamjini Hutumia Hizi Tight Kufanya Makalio Yao Kuwa Makubwa


Angalia Vizuri Picha ya Chini Huyu Mdada anaedaiwa kuwa na makalio makubwa Kenya Amevaa Tight ya Aina Hiyo Nyeusi ..Inasemakana Pia Hata Kina Agness Masogange Huvaa Tight Hizo ili Kubonyeza Makalio na Kuonekana Yametoka na Kuwa makubwa zaidi 
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawajitambui na hawana shuguli yakufanya wanawaza ngono tu wanaume wawaone na makalio makubwa halafu.?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ukiona mwanamke anategemea matako kuishi,ujue kichwani mwake ni boksi tupu,hamna kitu.

      Delete
  2. Wanawake bana na akili zao

    ReplyDelete
  3. Wanawake akili zao n fupi xana kama maisha ya funza

    ReplyDelete
  4. Aya kazi kweli kwani matako ndio nini hadi mtu anaangaika kiasi hicho wadada wa mjini bwana hawajikubali kabisa

    ReplyDelete
  5. mi naona ni poa tu, kuliko mchina.

    ReplyDelete
  6. Wanapata nini sasa kutunisha matako

    ReplyDelete
  7. Huyo vera ni yake mdau umebugi angalia alipovaa swim suit

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad