Instagramers Wamshambulia Diva na Kusema Ameedit Picha zake ili Aonekana na Makalio Makubwa

Katika Hali Isiyo ya kawaida kuna baadhi ya watu ama Vikundi Instagram wameanza kumchimba Diva Loveness Baada ya Kujitoa Team Wema, Sasa leo wamekuja na Mpya na Kusema kuwa Diva anajiongezea makalio kwenye picha zake kwa kutumia Photoshop, na Wameenda mbali zaidi na kutoa ushahidi wa baadhi ya Picha jionee mwenyewe hapo chini na Ujudge mwenyewe kama ni kweli ama la kwa kuziangalia hizo Picha:




Angalia hiyo Kabati ya Viatu Ilivyopinda pinda

Angalia Ukuta na Frame ya Mlango ilivyopata Dhahama

Angalia Kiti hapo nyuma na Juu ukuta kwenye rangi ya blue ukuta umeyumba na tako
Wataalamu Kazi Kwenu kutuambia kama ni kweli ama wanamsingizia ..
Khaa Ustaa Kazi Kweli Kweli

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahahahaaaaa haki ya Mungu wadada wa mjn kaz mnayoo

    ReplyDelete
  2. mbona ya kawaida tu mnapenda kukuza mambo

    ReplyDelete
  3. Hakuna jipya hapooo.

    ReplyDelete
  4. Yaani baadhi ya wanawake wenzangu hawajiamini! Sasa kukuza vyote hivyo na kupiga pcha matako shida nini! Mwisho wa yote bwanako anakuona live bila tako wala hips! Jiamini mwanamke utapendwa tu jinsi Mungu amekuumba.

    ReplyDelete
  5. Mlango umepata dhahama! Mbav zangu mie........

    ReplyDelete
  6. aicee kazi ipo ni kweli kabisa ukiangalia background yake imeyumba kisa nini duuh! balaaa kaz wanayo kisa umaarufu jamani na wanaokufahyamu live je inakuwaje duuh pole zake photo shop imemuumbua.......... hdi ukuta unayumba lol!! kali xanaaaaa

    ReplyDelete
  7. Kama huna tako huna tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad