Sakata lenyewe lilianza hivi:
Baada ya Picha Feki ya Mama Wema Kuwekwa mtandaoni na instagram account ijulikanayo kama Homa_ya_jiji_Team_Dengue na Account Nyingine Maarufu ya Kumtetea Wema Ijulikanayo kama Dogiemasta13 ilifanya kazi ya ziada kumshawishi Homa_ya_jiji_Team_Dengue kuidelete hiyo picha na baada ya muda ilideletiwa , kwa Masharti kuwa Dougiemasta13 aifunge account yake, na account ikafungwa kweli
Sasa Jana katika kutafuta nani mwenye account ya Homa_ya_jiji_Team_Dengue akaibuka Mshabiki maarufu wa Wema Anayejiita Tilda_Mati kwenye Insta na kusema kuwa Aliyehusika kuweka picha ya Mama Wema Insta ni Mwenye Account ya Usipojipanganitakupanga nitakupanga ambae nae pia ni mshabiki wa Wema kwa maana kuwa ana account mbili kwa tofauti moja ya kumponda wema na ingine ya kumshabikia soma hapa alichosema:
Leo Asubuhi huyu Tilda Mati account yake imefungwa nadhani baada ya watu wengi kuireport Instgram, Pia account ya Homa_ya_jiji_Team_Dengue nayo imefungwa, Dougiemasta baada ya kufunga account yake ya dougie masta 13 amefungua account nyingine leo kwa jina la dougiemasta 14 na kusema haya:
Vita vya wenyewe kwa Wenyewe Vyaendelea .....Hizi Team zina Mambo angalieni tu msitoane Macho, Wema Mwenyewe Wala Hana Habari na Team Zenu na Alishasema Hajamtuma Mtu Kufanya huo Ujinga na kutukanana .
UdakuSpecially
UdakuSpecially
Napita tu
ReplyDeleteMakubwa madogo hana nafuu
ReplyDeleteHATA KM HANA HABARI ANAJUA KUA TEAM HIYO IPO NA ANAJUA WANAMPENDA
ReplyDeleteMnmpenda au ndio unafki huo wa Uswahilini.....yaan watu wakikosa kazi basi shughuli zao ndio hizo kukaa vibarazani.....mpaka Uzee unawafikia hawana lolote walichokipata
ReplyDeleteTwampenda sana wema jamani
ReplyDeleteUzuri cnaga insta so watajijua huko
ReplyDeleteWEMA MIMI PENDA WEWE SANA
ReplyDeleteWema mdg wangu kataa hizo team si watu wema hao na uwapime kwa comment zao wanatukama,sana hao wamatumiwa ma muovu hao ni kama vinyonga jitahidi kupiga stop hizo team ! Japo wanasema wanakupenda na kiukweli kupendwa raha ila pia ukubali na karaha ni watukanaji wamepitiliza si uungwana kabisa
ReplyDeletepole sana wema mimi nimeiona hio pch kwa kweli inasikitisha muachie ALLAH atakulipia hphp duniani..na huyo alofanya hivyo mimi nadhani hajazaliwa.....kashushwa ss muache anafikiri yeye hakuna aliyemuona amesahau kama ALLAH .anaona popote........ISHALLAH......ALLAH atakulipia maumivu yako
ReplyDelete2nampenda wema n we'll fight 4 her. i lov mati n dougimasta. hao wengne wanatafuta kiki kuptia wema. ila aliyephotoshop that pic Mungu atamuonesha
ReplyDeleteKwani uwongo usipojipanga ndo homa ya dengue yule ni mnafiki sana akishirikiana na manyema nai nai aneishi temeke huko mama sohail huyu dada kazi yake ni umalaya tu yey kutwa umbea hn kazi na wanaume na shogaake samtende huyo ndo mnafiki balaaaaa mtu mzima lkn hn kazi yey ni kujiuza na kujifanya maarufu kila mtu anamjua yey kumbe tapeli tu anakigrocery logho uwanja wa sanaa ndo anapodanga na huyo mama sohail anatoka temeke anaenda kujiuza na mwenzie usipojipanga anawatumia hawa kutafuta wateja wa kuedit pic za watu na kuwatisha anawapost au anatafuta story za nyuma anakutafuta muhusika mnabagein usipompa pesa anakudhalilisha pia kuna chakubimbi mwingine anaitwa gracesarakikya housegirl huko kawe bondeni nae usipojipanga akamtumia ktk kutengeneza ishu ya ney wa mitego ajifanye katekwa alafu yy atamtafuta ney amwambie toa hela la sivyo tunakulusha insta upayr aibu ney mbish akagoma akasema fanya unavyoweza ss mliomfollow muwe makini huyu usipojipanga anaingia insta text anakurubuni akiona tu km mjanja hv anakwambia nikupe dili ndo hapo ss anapokuset akutumie ktk utapeli.kuweni makini nae mliopo insta hafai ata shetani amemkimbia
ReplyDeleteUsipojipanga tapeli jmn mlioko insta muwe makini nae
ReplyDeleteUsipojipanga anamtumia wema kujitafutia umaarufu na pesa na mjanja sn anawatumia hawa kufanikisha utaoeli ss na nyny muwe makini mtakuja kukosa heshima ktk jamii kuna gracesarakikya huyu ni housegirl mmoja hv na anasimamia salon ya bosi wake pale kawe bondeni barbrn kabsa huyu alimseti ajifanye katekwa na ney wakaenda mpk clouds ili ney aogope kuchafuliwa amtoe hela kirahis ney mmbishi akuambulia kitu anatabia akikuona km uko vizr ktk acc yako yaan mjanja anakufata inbox insta text mpange mipango ataanza kukuuliza hv huna skendo ya mtu unaejua anahela tuvute mm nitampost pic yake km unayonipe ndokazi zake lkn yuko nyuma ya team wema mm nampenda wema kumbe linafiki tu njaa ndo anaimalizia instgram so tuwe care juzi kapostiwa text zake anazoomba hela
ReplyDeleteUmakini unahitajika insta hasa mnajifanya usipojioanga kamanda wenu anatabia za ajabu anaweza kukudhalilisha kwa mambo ya ajabu mtu gn hajawai kujionesha sura yake ni tapeli yupo kibiashara kawateka wadada wanaojiweza kidogo kwa manufaa yake mm sio mdau wa insta ila unajiuliza hv hawa wa dada hawana waume maan busy na insta na hiyo insta na wanawake ndo mnatabia hiyo badilikeni social network wenzetu ulaya wanatumia kwa maendeleo cc umbea na mabifu tu usipojipanga ndo kawa mjanja anawapigia watu pesa
ReplyDeleteAliyefanya hiyo dhambi ajiuluze haya. NINA MAMA? NINI THAMANI YA MAMA? TUNAFUNDISHWA NINI KUHUSU WAZAZI? ukishapata majibu nenda kaombe msamaha la sivyo hukumu ya Mungu itakutafuna. Hata kama ni malumbano ya ujana tuwape heshima na kuwaogopa wazazi wetu, tusiwahusishe wazazi na ujinga wetu. Mmefanya jambo ambalo ni laana kwenu na kama hamtaniamini subirini matokeo ya hilo mlilolifanya.
ReplyDeleteusipojipanga ni tapeli sana anawatumia watu kuwatapeli na kuwadhalilisha hana lolote mi mwenyewe keshanidhalilisha bila sababu za msingi kwakua sikumpa hela ....cna ham nae mungu atamuonesha tu cku moja...mbaya zaid kanifanya hata kazini niwe mtu ambae cna maana.....usipojipanga ni muuaji kabisa mimba yangu kidogo itoke kwaajili yake...nimepata misukosuko kwa ajili yake had boyfriend wangu alitaka kuniacha lkn yote kwayote namshukuru mungu kwakuwa upande wangu
ReplyDeleteSEMA WEW MUMY ILA NOW NIMEFURAHI MUNGU KAMUUMBUA SS HV HT COMMENT ZIMEPUNGUA KILA MTU ANAMUOGOPA FLANI HV KABAKI NA HAO MATAPELI WWNZIE MSHENZI MUNGU HAMFICHI MNAFIKI ACC TATU TATU HUKU MWEMA HUKU ADUI WEMA HUYU USIPOJIPANGA KAAA NAE MBALI HAFAI HATA TONE
DeleteAdmin umeongea lin na wema akakwambia hazitambui hii team? Wema anajua tupo tunaompenda kwa dhati kbsaaaa... so acha kupotosha uma. Af back to the mada ni hiv hyo usipojipanga ni tapeli mkubwa alikua akimsema wema direct msg insta akiwa na skina semtende na ganya mwny mwili mkubwa km furushi la mavi af wakirud insta wanajifnya kushow lov... af kuna hyo gracesarakikya hyo dada na msira wake ulomvmba km nguruwe pole anatabia ya kutafta kick na ndo aliesingzia nay kamteka had gossip akamrusha ila kwa vle ana nyota ya paka kupendwa na wachaw kick hakupata na nay mgumu hawakupata kitu. Bado hakutulia akaitumia misiba ya mastaa iliyotokea hapo juz kutafta kick.. wakapanga na usipojinyeautajifila kua wamchambe maimatha jesse na grace ndo awe shuhuda nalo.likabuma, akaanza kila msiba ukiwa leaders anajilwatua anaenda kumtafta madam apige nae pic akamuomba hadi auntie ezekiel amuunganshie kwa wema, wema akatosa coz alikua anamachungu sn.. ss akaona hyo haitosh akamuomba LEMUTUZ wapige pic bas hyo pic akaanza kuitangaza oooh lrmutuz anantongoza, snantaka, ananlazmisha anioe mim cmtaki ana meili mkubwa na sura kubwa ss ukijiuliza kwa sura ipi alonayo hy dada ya kumtoa kasoro hb lemutuz? Mara oooh kanambia atanibaka nicpomkubali, yn kifup n kwamba kuna team wema 4 real na team wema uozo ndo akina usipojifila, semtrnde, ganya,kayvila, grace, hyo semsenge nae alikua snamsema chagga bibi kua anauza papuchi UK analala gheto, hana gari anaazima na mdg ake tilyalose nae kaachwa coz mchafu ananuka na hawawez kuish na mama yao coz washalala na baba yao... imagn huy hbr zote hz anaztoa wapi? Mara wema anachezewa na daimond coz anawasiliana na penn.. yn n hvii hawa team mavi watupishe wachaw wakubwa. Wakauze papuchi inatosha. Sio lazma wote tuwe teamwema
ReplyDeleteHee kuna Team Wema kweli,ni kweli nyie ndio mliotengeneza keki na kadi mkaenda kumtupia Peny mlangoni kwenye nyumba anayoishi?
ReplyDeletehehehe mjini ni shidaaaa, huku kijijini mi najilia mlenda na ugali
ReplyDeleteJmn nimemuona samtende jn insta jachambwa yule ni malaya mno mtu nzima kajichubua mpk dhambi yupo legho anakigrocery bubu bc ndo abadanga ni muongo hakuna km yeye malaya mzee asiwashtue hn lolote mjin hn kazi waka buzz zaidi ya kuuza uchi wanae wale loooohhh samtende badilika mtaani usemwe wew insta wew punguza kiherehere wew changu mzeeeee na cream hz utapata cancer mmama wew kann unataka usichn wew ni mzeeee tambua hilo na punguza uwongo kwa kujifanya matawi sasa kumbe mchovu tu
ReplyDeleteAaaaaaahhh jmn atakoma km anaakili maana ig nzima yey ndo anajifanya mjuaji kumbe anaungua jua nyoko zake samtende jitambue achakushoboka achaujuaji umalaya wako fanya mwenyew kwa shida zako
DeleteTeam wema na nyny ss yuke grace mbn anatia aibu hv team wema wote warembo yuleee mlimuokota waoi housegirl wa sarakikya maan nae kanunua andoid bc insta anajiweka hivyo hivyo anachejeshaje ss mmmhhh kick yann anatafuta ili hiyo salon ya boss wake ijaze au nae apate mabwana bc mshaurini abadilike maan anaonekana mchafu mshamba swaga hn yupo yupo tu hanahadhi ya kuwa team wema kabisa
ReplyDeleteAaaaahhh demu mshamba insta nzima wakishimundu huyo ngoja nikamchungukie ndo anatumia gracesarakikya yaan demu atahatii nyege sura mbovu sn huyo usipojipanga nae hv ney akachukue uchafu ule apeleke wapi ss mbn dunian inaelekea siko yule housegirl kabsa
DeleteHv serikali kwann haimchukulii hatua huyo tapeli usipojipanga na yule ni mwanamme mwwnye tabia za kike ni mwizi anaiba hadharani alafu ni mchonganishi anaweza kuleta machafuko huwezi kudhalilisha watu mara ampost mtu uchi mara anadaiwa ss yey mahakama au anafanya kazi ya kudai kwa kibali gani eeehhhh na watu wanamuangalia ss km wadau tunaomba TCRA imshughulikie huyo usipojipanga kwa kumfuatilia ktk acc yake awekewe mtego yy si anapenda pesa akamatwe yupo insta na anatumia usipojipangantakupanga tunaomba mumpange serikali huyu ni mchochezi kabsa ktk mitandao ya kijamii na mwizi na tapeli akamatwe ashitakiwe kwa sheria za nchi anamatumiz mabaya ya mitandao ya kijamii
ReplyDeleteAkamatwe ni km jambazi anajipatia hela kwa njia zisizi sahihi usipojipanga ni mshenzi yule mbwa anamtumia jina la wema kutafuta followers wema wasiliana na ma I.T wafunge ile acc kabisa km ni kufungua afungue upya kwa jina lingne coz wale wote wamemfollow kwa mapenz yako wew sa watu wanachukuliwa pesa na kudhalilishwa ishukuriwe team wema ya group la whatsapp kwa kujadili na kuliona suala hilo la utapeli wake na kutumia jina la madam wao kuibia watu na kutangaza biashara za watu usipojipanga ashughulikiwe kabsa ili akome utapeli wake
ReplyDeleteNi kweli kabsa mdau uliechangia afungiwe ile acc mara moja mm nina ma i.t ntawasiliana nao ikibidi ategwe akamatwe live apandishwe mahakamn ni mvunjifu wa amani na anatengeneza makundi ya uchochezi kuanzia ss afuatiliwe na mliomfollow huyu anatumia marfk zenu kuwafuatilia backdround zenu ili awapost mmpe pesa wengi waliopostiwa madeni na pic za uchi ni watu wa karibu yenu ndo anawachunguza kuweni makini nyie mliomfollow
Deletemmekosa kazi na shughuli za kufanya
ReplyDelete