Ivory Coast 1-2 Colombia

Ivory Coast sasa wanahitaji kushinda mechi yao ya mwisho dhidi ya Ugiriki ilikuwa na matumaini ya kumaliza katika nafasi ya pili ya kundi hilo na kusonga mbele katika hatua ya maondoano.
Colombia inaongoza kundi hilo ikiwa na jumla ya alama 6 huku Ivory Coast ikiwa ya pili na alama 3 kufuatia ushindi wao wa kwanza dhidi ya Japan.
Japan inashikilia nafasi ya tatu.
Ugiriki ni ya mwisho katika kundi C.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. da wamenihuzunisha sana lilikuwa ni tegemezi la africa

    ReplyDelete
  2. Ndiowashatoka kwani?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad