Jamani Hii siyo Mechi ya Mpira Bali ni Usaili wa Kazi Uhamiaji
2Udaku SpecialJune 13, 2014
Jamani hii siyo mechi ya mpira bali ni hali halisi ya ajira nchini tz... hapa ni uwanja wa taifa wamejitokeza maelfu ya vijana kuja kwenye usaili uhamiaji. Nafasi watu wanaohitajika ni 70 tu..
hii tz sio kabisa kila mahali mpk refa, ucpokua na refa upati kazi.... Hapo uckute wote watafanya usaili na wasipate wakaja kupewa hata ambao hawakufika kwenye usahili na tena ni watoto wa wakubwa
urasimu tu.Na hizo nafasi 70 watoto wao je?BIG RESULT NOW
ReplyDeletehii tz sio kabisa kila mahali mpk refa, ucpokua na refa upati kazi.... Hapo uckute wote watafanya usaili na wasipate wakaja kupewa hata ambao hawakufika kwenye usahili na tena ni watoto wa wakubwa
ReplyDelete