Jamani Hii siyo Mechi ya Mpira Bali ni Usaili wa Kazi Uhamiaji

Jamani hii siyo mechi ya mpira bali ni hali halisi ya ajira nchini tz... hapa ni uwanja wa taifa wamejitokeza maelfu ya vijana kuja kwenye usaili uhamiaji. Nafasi watu wanaohitajika ni 70 tu..
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. urasimu tu.Na hizo nafasi 70 watoto wao je?BIG RESULT NOW

    ReplyDelete
  2. hii tz sio kabisa kila mahali mpk refa, ucpokua na refa upati kazi.... Hapo uckute wote watafanya usaili na wasipate wakaja kupewa hata ambao hawakufika kwenye usahili na tena ni watoto wa wakubwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad