Je Kuna Ugonjwa wa Hamu ya Kufanya Mapenzi Au ni Kujiendekeza..Hawezi lala Bila ya Kupata Dozi


Wakati nasoma sekondari kuna dada alikua hadi anazimia mara adondoke yaani tabu tupu.

AKIPELEKWA HOSPT MADAKTARI WANATUULIZA je ana mpenzi?( maana tulikua tunatoka sehemu moja hivyo tulikua tunamsindikiza) japo tulikua bodin

kwa uoga tulisema HANA lakini alikua nao na akigombana na one of them ndo anaumwa

na kujaamiiina ilikua kawaida sana kwake 

Sasa basi juzi nikaambiwa mtu flani muacheni tu awe hata na watoto maana hawezi lala bila kujamiina

SASA NIKABAKI NA SWALI JE HUO NI UGONJWA au nikujiendekeza?

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna ugonjwa huo , nikujiendekeza tu.

    ReplyDelete
  2. inasemekana kila mtu anawadudu wake wa ngono mwingine wengi mwingine wadogo kwa mwezi mara moja sawa, lkn kuna wengine mwe hawezi pitisha siku ni shidaa,

    ReplyDelete
  3. daah...unanikumbusha nilikuaga na demu wng fln ivi yan alikua kama huyo ila alikua hazimii,yan nilikua napata shida hata kama nimechoka mwenzangu atanipandia pandia juu mpaka mpaka muhogo utamuingia hapo ndo atalala....lakini nili mtreat akawa badilika anahtaji mchizi wake amu assist mdogo mdogo....hako kana nyege za kijinga na akizubaa jamaa atakua anamegewa bila kujua......uzijiendekeza we malaya umesikia eenh..

    ReplyDelete
  4. Mbooo tamu asaa ukimpata anayekutoshereza co mdudu mautam tuuui hayo. Mm mwenyewe silali bira ya chakula yangu

    ReplyDelete
  5. We hap juu jifunze Kiswahili na kuandika vizuri,pumbu zako mbichi

    ReplyDelete
  6. pepo la ngono

    ReplyDelete
  7. Sasa hii habari inamuhusu Beverly au mwandishi umeamua tu kutumia picha ya dada wa watu. Mbona hauna maadilk?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad