Siku zinavyozidi kusonga mbele hapa jijini naona asilimia zaidi ya 75 ni wafupi, sijaelewa ni nini kimetokea ila ukweli ni kwamba wanawake warefu wamekuwa wachache sana Dar es Salaam.
Hata ukija na jazba, ukweli ndio huo kuwa wanawake warefu jijini Dar wameadimika sana.
MCHUNGUZI HURU
But ni wazuri mno wanavutia pia..wakivaa heels pia wanapendeza sana..
ReplyDeleteWarefu tushawaoa hao wafupi waache wapige ma'chapi' tu
ReplyDeletepoa xna
ReplyDeleteHaa haa haa nawafupi siku zote wana matatizo
ReplyDeleteKwetu watu wafupi tunawaita NAKANDU
ReplyDeleteDar ni jiji la wazaramu lazima wawe wafupi ukitaka warefu nenda msoma
ReplyDeleteWw hapa hakuna cha Uzaramo..umeambiwa wanawake wa Dar..kwahiyo ata awe Msukuma....so mm naona sababu inawafanya wanawake wa dar kuwa wafupi ni ngono yaan utakuta kabinti kameanza kufanywa kakiwa ata akajakomaa vzuri sasa unafikiri katapata wapi urefu...alafu huwa hawapendi KIBAMIA wanapenda MATANGO ndio yanawadumaza jamani
ReplyDeleteHahahaha!!Hehehehe
ReplyDeletehahaahahahhahaha....et kabint kadogo kanapenda ngono...........anonymus hapo juu u made my day.................dar kuna mchanganyiko wa makabila mengi mostly huku pwani..........halafu wanavitambi uyafkiri wanamimba...tembelea kanda ya ziwa wako natural n cute dar too much artificial yaan mtu kajirundikia mikope bandia macho km jin, miwig mrefu km ngongoti, kucha km jin, mkorogo ndo usiseme chaaa...............too much fake hata hawana radha...............
ReplyDeleteHao wamusoma warefundio lakini siwazuri kivile mpaka wajipake vikolombwezo waonekane.utamkuta Dem anavaa kiatu no13 kisa urefu mpaka ahangaike kutafuta viatu vyanambayake apate kizuri Hasa nileo?bora uwe mrefu wastani hukosi namba zaviatu nguo nzuri nyingi.
ReplyDeleteNapita mie
ReplyDeleteww pumbavu mwandishi kwani sisi tulipenda kuzaliwa wafupi umeniuziiii hujafa hujaumbika unaweza kupata ajali ukakatwa miguu yote ukatamani hata huyo mwanamke mfupi
ReplyDeletevifupi na vinavitambiiiiiiiii
ReplyDeleteshort woman short mind
ReplyDelete