Jirani zetu Kenya Wanazidiwa Nguvu na Alshaabab, Tanzania iko wapi?

Ni muda sasa jirani wetu Kenya wanapata mashambulizi kutoka kikundi cha magaidi wa alshaabab.

Karibu kila siku mashambulizi ya mabomu ya kutegwa na risasi hutokea ktk miji ya Nairobi na Mombasa huku ikiua ndugu zetu wakenya.

Ni alshaabab wanaojipambanua kuwa wanahusika na mauaji hayo ukizingatia alshaabab waliwahi kusema;

"Kenya imeingiza majeshi somalia, hivyo itajuta kuingiza majeshi somalia, tutaishambulia kenya".... "Tofauti yetu na Kenya ni kuwa, Wakenya wao wanakuja kupigana vita Somalia huku wakiogopa kufa, sisi tunapigana vita huku tukiwa hatuogopi kufa.."

Nimetafakari sana hatua ambayo watanzania tumechukulia wenzetu wa kenya kushambuliwa na wahuni wa alshaab huku tukiwa kimya tu. kwa nini nasi tusipeleke jeshi letu Somalia kama walivyopeleka wenzetu wa KENYA na UGANDA?

Hivi alshaabab wakipata nguvu wakishuka wakatake over Mombasa, je pwani yetu itakuwa salama? Tanzania itakuwa salama?

ALSHAABAB WAKIONA WANAIWEZA KENYA, MAJIRANI HATUTOKUWA SALAMA HATA
Tags

Post a Comment

44 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SULUHSHO LA KENYA KUTOKUSHAMBULIWA HALITAPATIKANA KWA TANZANIA KUPELEKA MAJESH SOMALIA BAL NI KWA SERIKAL YA KENYA KUONDOA MAJESH YAKE KWENYE ARDH YA SOMALIA

    ReplyDelete
  2. nadhani mwandishi wa habari hii kafanya kukurupuka tu....hayo yanayotokea kenya soon yataanza kutokea TZ ka tukipeleka wanajeshi wetu.

    ReplyDelete
  3. Unadhani ni ugomvi wa Abdallah na Juma ambapo John anaweza kuuingilia?chunguza na kuchambua kabla ya kuandika na ndio utajua kwa nini Tanzania haijaingilia mpaka sasa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Achaneni na msenge huyu aanze kupeleka mkewe nawatoto naukoo wake wakapambane na alshaabab km ye anaona rahisi pumbavuuuuu

      Delete
  4. WE KWELI MAVUZI...pilipili ya shamba ya kuwashia nini Kenya walishaambiwa watoe majeshi wamekuwa vin'gang'anizi sasa unataka na TZ waende hizi habari zako za kisenge utapata muda kweli wakuziandika?...TAFAKARI CHUKUA HATUA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lakini kumbuka al shabab ndo waliianza Kenya kwa kuteka watalii wa Kenya. Usishabikie tu kwa kuwa wewe ni mfuasi wa yule mungu anayefurahia wafuasi wake wakiua wasiowapenda

      Delete
    2. Lakini kumbuka al shabab ndo waliianza Kenya kwa kuteka watalii wa Kenya. Usishabikie tu kwa kuwa wewe ni mfuasi wa yule mungu anayefurahia wafuasi wake wakiua wasiowapenda

      Delete
  5. am a kenyan I agree kenya is being attack we are in middle of crisis but dis information dis writer is writting its a lie. Its nothing abt dat next tym fanya uchunguzi si wajiandikia n esp dis sensitive matter dat is happenning coz u dnt knw da whole truth wacha kudanganya watu ww esp wen da matter is sensitive like dis

    ReplyDelete
  6. fanya uchunguzi sawasawa coz pia jeshi ya tanzania iko somalia n ulijuaje hawaogopi kufa

    ReplyDelete
  7. USHAURI WANGU KWAKO MWANDISHI, JICHUKUE WEWE MWENYEWE NA NDUGU ZAKO TAFUTENI SILAHA HARAFU NENDENI HUKO SOMALIA ILI MKAWASAIDIE WAKENYA KAMA UNAHURUMA SANA NA MSITUMIE JINA LA TANZANIA MAANA MTAWEZA KUTUPONZA SISI WAPENDA AMANI. HAO JAMAA HAWAFAI KABISA UKIJITIA KIHERE HERE NA SHOBO LAZIMA UJUTE. MILIO YA PANCHA ZA MATAIRI TU TUNAOGOPA ITAKUA MILIO YA MABOMU?. Tena usirudie kuandika upumbafu wako tena kama umeshiba bora ukalale usituletee upumbavu wako na taaluma zako za uchochoroni. Pumbavu wewe!
    YA NGOSWE MUACHIE NGOSWE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hee anony umenchekesha hadi mbavu zaumaaa yani inaonyesha jinsi gani watz tulivyowaoga wa vita. jaman nmecheka mieee.

      Delete
    2. Hahahahahahaaaaa!! Anonu happ juu umeniuwaaaaa!! Hujakosea yani 'ivoivo' in Erik's voice! Asituletee balaa..

      Delete
    3. Hahahahahahaha mbavu zang mie nipo hoi kwa kucheka mdau umeuaaaaaaa

      Delete
  8. ww mwandishi wa jihabari hili acha michepuko ya siasa!

    ReplyDelete
  9. Mm nakufa mbavu jamani. Mwandishi kashiba ugali uyo anataka vita duh!

    ReplyDelete
  10. uyu mwandishi kuma.la mama yako.na boro la baba ako tanzania vita wapi.na wapi tena nakwambia boro la baba

    ReplyDelete
  11. uyu mwandishi kuma.la mama yako.na boro la baba ako tanzania vita wapi.na wapi tena nakwambia boro la baba

    ReplyDelete
  12. kenya kulinda mipaka na posili wao wako sawa lakini ujasusi ndio tatizo zima....wamebaki wanauliwa kama kuku

    ReplyDelete
  13. Muandishi wa post hii msimshangae jamani,ni product ya wale waandishi waliosomea manzese na tandale baada ya kupata div 5!!

    Ushauri wangu kwake,kama kashiba ugali mpaka umemlevya akakojoe,ajambe then akalale!! Asijitie unafiki wake.

    ReplyDelete
  14. hahahahahahhhaaaaaaaaaa.........al shabab noma sana tusiwachokoze.......mambo ya ngoswe muachie ngoswe

    ReplyDelete
  15. wa kenya wamezid kihelehele,wao wana tutenga vikao vya east africa,ss tuwasaidie ili?

    ReplyDelete
  16. Hahshshahaaaaaaaaa..!! Dah watanzania bwana kwa hiz coment inaonyesha hatutaki shida kabisaaaaaa na hatuziwez though hawa Alshabab sio wa kuwatajataja jamani! Hii issue ni hot we mwandishi acha upumbavu!! kuna mengi yakuandika hili halikuhusu ohoooo! Km umechoka kuish sema tukuchangie nauli uende somalia afu ujitambulishe ww nimkenya uone km utachukua sc 2.

    ReplyDelete
  17. Mku.ndu wewe kwani Uganda ikowap?

    ReplyDelete
  18. mbavu xina mimi jamani

    ReplyDelete
  19. ww mvimbiwa wa uandishi kama unadhani hao alshabaab ni mgambo jeje! wapeleke ndugu zako kwanza Somalia kama wakenya wakatujie na taarifa kamili ndo nasisi tufanye huo uxenge.

    ReplyDelete
  20. Mdau 5:10 umenena kweli hatujazoea sisi inaelekea adm. hajawahi kuona tairi liki-burst jinsi wabongo tunavyohangaika wapi tutaweka roho zetu, wapitanjia walioko kwenye hilo gari wote roho mkononi, asirudie tena kuandika upuuzi kama huu. Huyu nae wa 5:05 sijui msomali? tukome usituletee balaa lako kabisa.

    ReplyDelete
  21. al shabab sio M23 wao awapigan vita vya ana kwa ana wao mkiwapiga wanashambulia wananchi acha ujinga mwandish nenda wewe kwanza alafu usijitambulishetanzania sema wewe mkenya uone moto kama utakaa ata masaa matano wala usichochee ujinga tutawapa mafuta ges na kambi za wakimbiz lakin jesh noooooo watu wanakuja wanne wanauwa sitin looo nenda wewe... sie mhmh atutaki

    ReplyDelete
  22. ila mi nashangaa hata sielewi lakini kwa nini sasa watanzania wamepeleka majeshi huko somalia? halafu hapohapo wakenya wanashambuliwa na wasomali, unajua sielewi elewi. haha lkn ya ngoswe kweli mwachie ngoswe huyo uhuru kenyata sitaki kukumbuka walivyotukana na kagame wake kuhusu umoja wa afrika na akahamisha na bandali dar na kupeleka kigali halafu leo tumsaidie nini atajibeba ye si jeuri si ndo mara mbili lol

    ReplyDelete
  23. Jaman hiy mikanda au risasi mi kuchanganyikiwa mwenzenu

    ReplyDelete
  24. Hahahahaha!naiman64 una hasira!,pengine admin hajaona tairi likiburst,basi hata hatafakari yaliotokea gongolamboto au mbagala watu walivyopotezana wengine wakaja kuonana kwa muda wa wiki?Admin ni mwandishi mchochezi asiyejua kupima lipi akiandika atawakwaza Wa-TZ.kwa ufupi hatujazoea kabisa.

    ReplyDelete
  25. Hawafai kabisaaaa hata kuzungumziwa ww mwandishi jifanye kidume JUST IMAGINE Westget walienda 4 tu!!! Jeshi zima lakenya lilihama Westget na hawakumkamata hata mmoja!! Picha zilionyesha walipata hadi muda wa kusali!! Lakini wakenya walikesha wanawatafuta!! Hadi leo namatukio yote hajakamatwa hata mmoja!! Jamani hamuwashangai hawa!! Km kuna mtu anajifanya hawaogopi atakua muongo mm binafsi hata kulitamka jina lao sitaki!! Hawa sekunde wanauwa 10 MWANDISHI KOMA!

    ReplyDelete
  26. Oyaaaaa kwani hili boya linakaa wapi tukalikabidhishe kwa Alshabab???? Km linaham ya kubakwa hivi!?? Wataje tu km hawajakuoa..

    ReplyDelete
  27. Hapo sasa! Admin umepima maji mengi wakati unga kiduchu,utasonga ugali kweli?Kwendraaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  28. Naona atapika uji

    ReplyDelete
  29. haaaaaaaaaaaa watu mna misemo jamani

    ReplyDelete
  30. Alafu Admin hakomagi na post zake zakifala.

    ReplyDelete
  31. Admin sometimes huwa anawashwa.

    ReplyDelete
  32. majanga. hv na kusali wanasali huku wanaua!

    ReplyDelete
  33. Hahahahah!!Hehehehe!!watu mnamambo kwa kweli..eti tairi la gari likipasuka mtu mbioooooo anawaza hata aingie kwenye mfuko wa suruali au sharti!!Hahaha

    ReplyDelete
  34. Kweli jamani,wabongo wasikia mshindo wa magari kugongana au ajali yoyote ni mbioooooooooooooo kukimbilia kwenye tukio,lakini mlio wa risasi thubutu mtu ajitokeze! hii ndio kusema hatujazoea,tuombee nchi yetu isifikie huko kamwe.

    ReplyDelete
  35. wewe admin bwege nini? kwahiyo bdiyo unasemaje? kwahiyo suluhisho ni kwamba na sisi tupeleke majeshi yetu ili hao wahuni waanze panga mashambulizi kwetu? ulikuwa umelewa nini kuandika utumbo huu?

    ReplyDelete
  36. Wewe unataka Tanzania ifanyeje?

    ReplyDelete
  37. KIAZI WEEE,Hapan jihusisha na al shabab TENA HAPANA MSITULEE TEE MADA ZENU ZA KIPUMBAV NZQIIIIIIIIIIIIIUUUUUUUUUU.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad