Johari Amtupia Vijembe Chuchu Hans Msibani


Staa wa Bongowood, Blandina Chagula ‘Johari’ anadaiwa kumtupia vijembe kiaina msanii mwenzake , Chuchu Hans ambaye ‘anabanjuka kimalovee ’ na mkurugenzi mwenza wa Kampuni ya RJ, Vincent Kigosi ‘ Ray TheGreatest’.

Tukio hilo lilichukua nafasi kwenye msiba wa mwigizaji Sheila Haule ‘ Recho ’ Sinza -Palestina , Dar , hivi karibuni ambapo vijembe viliibuka baada Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘ Nyerere ’ kumuuliza kwa lugha ya utani Chuchu kuwa RJ itachangia nini msibani hapo.

Johari akadakia: “Kampuni yangu si ya uchochoroni au ya chumbani , ninaTIN namba kabisa siyo kama hiyo nyingine ,iweje umuulize asiyehusika.” Baada ya Johari kutamka maneno hayo ,waombolezaji waliokuwepo msibani hapowalipigwa na butwaa na kuhoji kulikoni? 

Johariamekuwa akidaiwa kuwa na uhusiano na Ray kipindi cha nyuma huku kukiwa na taarifa kuwa Chuchu ana kampuni iitwayo Chura ikimaanish aChuchu na Ray hivyo ilitafsiriwa kuwa alikuwa akiipiga kijembe kwamadai kuwa haiwezi kufikia levo za RJ.

Alipofuatwa na mwanahabari wetu ili kupata ufafanuzi juu ya ishu hiyo , Johari hakuwatayari kwani alisema ana majonzi yakuondokewa na kipenzi chake Recho hivyo hakutaka malumbano na watu katika kipindi hiki kigumu .

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole johari kinakuuma kwani wanaume wameisha jitu lenyewe sasa linaonekana linaroho mbayaaa.hatahupendez kuwanae.kakaa kichawi

    ReplyDelete
  2. Johari dada. Ray sio muoaji we fanya maisha yako. Wasikuumize vichwa hao utajikuta unaaibika ww kila cku

    ReplyDelete
  3. Johari ulivyojichubua umekua kama nguruwe mzee

    ReplyDelete
    Replies
    1. bora ulivyonisaidia maana anatutisha kama nyago

      Delete
  4. make up zinakuzeesha na pombe, vp ustaadh juma na musoma ...mmeishia nae wapi

    ReplyDelete
  5. mbona huyo Ray hana mvuto jamani.wanawake tuache kuwa zoazoa..

    ReplyDelete
  6. wewe nana umepima?

    ReplyDelete
  7. TAtizo huyo dada bado anaweweseka na penzi la ray jitambue dada kakutumia kaona ushazeeka moveon utpata mwingine

    ReplyDelete
  8. Johari wake up kuachana na Ray sio mwisho wa maisha yako mpnz,jitambue sasa. Siku zote mwingine akisema cha nini,mwingine anauliza ntakipata lini tulia utapata anaekupenda kwa dhati utasahau machungu yote

    ReplyDelete
  9. Dada joha mbona umekua nasura ya ajabu au ndohuo mkorogo du!hupendezi kama zamani,anyway sizanikama huyo ray nibora kuliko maisha yako move on my dear!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad