JOHARI: Baada ya Vifo Mfululizo Wasanii Tumenyooka

MKONGWE kwenye sanaa za Kibongo, Blandina Chegula ‘Johari’ amesema kufuatia vifo vya mfululizo vya wasanii, kwa kiasi kikubwa wasanii wamebadilika kitabia

Akipiga stori na paparazi wetu alisema, wasanii hao wamejitambua kuwa duniani watu wanapita, jambo ambalo kwa muda mrefu walikuwa wamelisahau na kuponda raha mfululizo.

“Tangu wenzetu wafariki mfululizo, wasanii wengi tumepata mshtuko na kujitambua, naona wengi wamebadilika, wamenyooka na kuanza kumrudia Mungu,” alisema Johari.
Vifo vya wasanii vilivyotokea hivi karibuni ni pamoja na cha Adam Kuambina, Sheila Haule ‘Recho’ na George Tyson.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nini hicho!!! Mmh johari upendezi jamani'mm mmmmm! Sijui unakunywa sn!!!! Una MVUTO

    ReplyDelete
    Replies
    1. anony hapo juu naona una tatizo la h na u. HUNA MVUTO sio una mvuto. kiroho safi

      Delete
  2. Anajitambua nini miziwa nje?? Ndiyo kumpendeza mungu huko??kutwa kugombea mabwana

    ReplyDelete
  3. Mkibadilika tabia tutaona wenyewe siyo kujigamba kwenye media.

    ReplyDelete
  4. wewe unaejitia mkenya,kwani hatuwezi kusoma hayo magazeti mpaka wewe uweke hapa?unataka mume wa tz?

    ReplyDelete
  5. hahaha tena atukome. akawaandike al shababu hukoo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad