MKONGWE kwenye sanaa za Kibongo, Blandina Chegula ‘Johari’ amesema kufuatia vifo vya mfululizo vya wasanii, kwa kiasi kikubwa wasanii wamebadilika kitabia
Akipiga stori na paparazi wetu alisema, wasanii hao wamejitambua kuwa duniani watu wanapita, jambo ambalo kwa muda mrefu walikuwa wamelisahau na kuponda raha mfululizo.
“Tangu wenzetu wafariki mfululizo, wasanii wengi tumepata mshtuko na kujitambua, naona wengi wamebadilika, wamenyooka na kuanza kumrudia Mungu,” alisema Johari.
Vifo vya wasanii vilivyotokea hivi karibuni ni pamoja na cha Adam Kuambina, Sheila Haule ‘Recho’ na George Tyson.
Nini hicho!!! Mmh johari upendezi jamani'mm mmmmm! Sijui unakunywa sn!!!! Una MVUTO
ReplyDeleteanony hapo juu naona una tatizo la h na u. HUNA MVUTO sio una mvuto. kiroho safi
DeleteAnajitambua nini miziwa nje?? Ndiyo kumpendeza mungu huko??kutwa kugombea mabwana
ReplyDeleteMkibadilika tabia tutaona wenyewe siyo kujigamba kwenye media.
ReplyDeletemalaya tu huyo
ReplyDeletesoma kuhusu tendo la ngono kati ya diamond na sister ake
ReplyDeletewewe unaejitia mkenya,kwani hatuwezi kusoma hayo magazeti mpaka wewe uweke hapa?unataka mume wa tz?
ReplyDeletehahaha tena atukome. akawaandike al shababu hukoo
ReplyDelete