Kama Sio kwa Vitisho Alivyovitoa Zitto kwa CHADEMA Nahisi yangemkuta kama ya Chacha Wangwe

Ladies and Gentlemen.

Friends and Enemies.

Nadhani mnayakumbuka maneno haya...

''MIMI NIMEAGA KWETU NA YEYOTE ANAEFIKIRIA KUNIGUSA KWA NAMNA YOYOTE SIDHANI HATA PANYA HUKO KWAO KAMA ATASALIMIKA''...

Hayo yalikuwa ni maneno ya zitto kabwe kuwaambia wanachadema wenye hila za kila aina na husda kwake za kisiasa na kimaisha kwa ujumla.

Hivi majuzi chuki hizo na uzandiki za chadema zimejidhihirisha zaid baada ya viongozi wa juu wa chama hiko kukacha kuhudhuria mazish ya mama mzaz wa zitto kabwe na kukimbilia kwenye harusi ya mbunge wao huko Arusha.

Hicho ni kipimo kidogo sana cha utu na uwajibikaji hata kama kifo hutokea bila taarifa lakini kwa ulimwengu wa sasa na ufanis wa usafiri wangeweza kuchukua hata chopa kwenda kuonesha ubinadamu wao.

Kwani ukiachilia mbali kuwa mama yule kuwa mzazi wa hasimu wao zitto kabwe pia alikuwa ni mjumbe wa kamati yao kuu ya chama.

Thats why nawaambia kuwa chuki ambayo wahafidhina wa chadema especially top level of management wanayo dhidi ya zitto kabwe siyo ya kifani.

Nashawishika kuamin kama zitto kabwe asingetoa vitisho vike dhidi yao leo hii yangeshamkuta yaliyokamkuta marehemu chacha wangwe.

Hawa jamaa sio watu.

Hakuna asiejua kwamba CCM HAS FAILED US AS A NATION.!!

We cant denie that...CCM HAS FAILED US POLITICALLY EVEN ECONOMICALLY.

UCHUMI WETU UNAPUMILIA MASHINE.

HALI YA UMASKINI HUKU VIJIJIN INATISHA.

THE GAPE BETWEEN THE HAVES AND HAVES NOT LINAZID KUONGEZEKA KILA SIKU.

Tuna kila sababu ya kubadilisha uongozi huu wa CCM.

Especially kama sisi wanakusini ndio kabisa.

In 50 years of indepedence barabara toka Mtwara to dsm haijaisha up to this very moment lakin gesi with less than a year wanauwezo wa kuifikisha bagamoyo kwa bomba.

Its very fascinating.

Sasa basi nani wa kumpa trust ya kuwapa taifa hili??chadema or cuf?

Hell no.

I think punishment ya kuwapa CCM ni kama vile walivyofanya kenya.

Kuwanyima ubunge kwa kura nyingi sana na kuwapa urais tu ili kuondoa kabisa mfumo wa kijinga kule bungeni wa 'Ndioo' na wengi wameshinda.

Sisemi kwamba chadema au cuf wasipewe kura la hasha.wapewe kura nyingi za ubunge ikibid lakini sio kuwakabidhi funguo za taifa hili.

Watatupoteza moja kwa moja wanasiasa sio watu wa kuwaamini.

Binafsi naona chadema wana kazi nzito sana kuwaaminisha watanzania walio wengi kwamba kwenye mobb yao hakuna kasumba za ukanda udini na ukabila.

Mwenye macho haambiwi tazama.na mwenye maskio haambiwi sikia.

Taifa letu tutalijenga au kulibomoa wenyewe.

Wasiaminiwe kiivyo hawa wanasiasa.

Lao wote hawa ni moja tu.

Sema kuna wenye nafuu kias flan lakin kwa chadema mimi nimenawa mikono.

Kukacha msiba kisha kukimbilia harusini!!!?

Daaaah...
Written By THE BIG SHOW Via JF
Toa Maoni Yako
Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. chadomo Amna viongozi Bali wafanya biashara tu ao wakina boye

    ReplyDelete
    Replies
    1. We mkundu kunuka mi bowe au mboye?unaongea kaa unamboo matakoni kwahio ccm ndio kuna viongozi sio?kuma yako!

      Delete
    2. we na wewe unaemkosoa mwenzio kumbe na ww ni mbulula tu, hujiongezi na kuhisi labda ni typing error, unaropoka tu na mitusi juu nyie ndo machokoraa hamna hamna hata chembe ya maadili toka kwa wazazi, mfyuuuuuuuuu!

      Delete
    3. Na we mkundu uko ccm nini?kimekuwasha nini sasa hapo au ndio kutafuta bwana?maadilibkwa mama yako sio humu manina wewe!mijitu mingine bwana.mijitu ya ccm huwa haina akili kama maviongozi yao tu.

      Delete
  2. Ni kweli Chadema hakuna viongozi msiba kitu kingine kabisa wameshinda Ku share msiba wa mama zito watawezaje kutuongoza sisi?hao wanakiua chama chao wenyewe walizani wasipoenda msibani mama ht zikwa au?wapumbavu wote kwanza shule inasaidia hao wote hawajaenda shule msomi ni zito na halima mdee na tundu lisu ila lisu nae hajitambui bora ya mdee ht msibani alikuwepo hao wengine wote sio viongozi kabisa hawatufai

    ReplyDelete
  3. mtatukana na kuongea hadi mapovu la maana hakuna,
    kazi kutamanisha watu tu eti watashika nchi,lina sasa jamani,maana 2015 ni ccm tena.

    ReplyDelete
  4. Zitto hakuwahi kuwa cjadema.moyoni,si chadema na hatakuwa chadema milele.Zitto ni adui wa chadema na wanachadema wote.Chadema ilimuuguza mama yake na.bendera ikapepea nudu mlingoti,je hiyo hzitoshi? Harusi ya Nassari ilikuja baada ya wiki mbili,kwa hiyo kuna wapumbavu walitaka Nassari asioe na viongozi wake wasihudhurie kwa sababu mama Zitto kafariki? This is absolute nonsense!

    ReplyDelete
  5. death is one way nd wedding the same bt complimentarly.it my home chadema were with zitto in the moment of surrowful 2 him bt in different version.it not easily as party to attend as whole coz of the nature of the event.

    ReplyDelete
  6. Wewe ni mshirikina.na muabudu uchawi kama Zitto anayejivunia tunguri zake,kama ww na zitto na washirikina wenzako mnao ushahidi kuhusu kifo cha Wangwe ,mnasubiri nini kuupeleka polisi ili wahusika wakamatwe? Kama si fitna ,mbona mtoto wa.Wangwe ni.kamanda wa Chadema.na alikwisha tangaza nia ya kugombea ubunge kwao Tarime.kwa tiketi ya chadema? Wewe mnafiki ndo mwenye uchungu na Wangwe kuliko familia yake?

    ReplyDelete
  7. Kwenda inafahamika kuwa chadomo ndio waliucka na mauaji ya wangwe kwani siri?hiyo iko wazi then Huyo anaesema zitto hakuwahi kuwa kiongozi wa Chadema ni muongo kumbukeni zitto ndio kawavutia vijana wote mpk sasa wamejikita kwnye siasa acheni ujinga Chadema mnaangukia pua wasenge nyie wewe hapo unaesema eti walitaka nasari asioe na ww ni mjinga akili huna msiba na harusi nini kilianza kutokea?msitetee ujinga wakati kitu kiko wazi wasenge nyie wote ndio wale wale mnatetea upuuzi kwa taarifa yenu majibu mshayapata kwnye udiwani tunawangojea mwakani hamna Sera kwa sasa chama chenu kushnei mmedondokea pua vibaya mno chezea zitto kabwe nyie?ht panya hazitasalia majumbani kwenu sio wote wanajalibika washenzi nyie ditto oyeeeeeee!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndg yangu apo juu umenena vyema sana,nmeipenda sn comment yko. Hongera sn. Hao misukule ya chadema acha iendelee kuamini kila kitu hata kama ni ujinga,binadamu yyte anatakiwa awe kwenye positive n negative side hata kama angekua mwanao chadema au ccm ukiwa cku zote huoni mapungufu alonayo hata kama kakosea bac ww akili yko ichunguze upya. Tatzo vijana wote wanaoivamia chadema ni mburuuuuuuuula mpk bac. Washinda vijiwen tu,hawana uwezo wa kufikiri ila wamekariri tuuuuu. Plz tumien akil zenu kupambanua jema na baya. Kwa hili la kutohudhuria mciba hata mm limeniudhi mno.

      Delete
    2. Ccm! ccm! Ccm! Ccm! Ccm!ccccccccccccccccccmmmmmmm!!!

      Delete
    3. Ww piga tu kelele kumtetea msaliti Zitto,ameachwa na chadema juani ananyauka taratiiiiibu.

      Delete
  8. UKIWA UNAENDEKEZA VISASI HUWEZI KUWA RAIS UTAKUWA MTU HATARI SANA NYERERE ALIMWITA KENYATTA NYANG'AU LAKINI WALITEMBELEANA,KIKWETE WALITOFAUTIANA NA KAGAME LAKINI RWANDA ILIKARIBISHWA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA TANGANYIKA NDIO SIFA ZA RAIS

    ReplyDelete
  9. Nyerere aliwasemehe lini kina kambona,kassanga tumbo,zuberi mtemvu,mtikila , chifu fundikira,lifa chipaka,kitwana kondo,saibuli,Tuntemeke sanga,mobutu,kamuzu banda na iddi amini? Kama hujui historia piga kimya.

    ReplyDelete
  10. Hii nchi hakuna wa kuitawala bora Jeshi la Wananchi Tanzania lichukue dola tu maana cjaona kiongozi CCM au CHADEMA.Kama vipi bora tuwe na mgombea binafsi tu na co chama wanawaza kupiga hela tu manina zao

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad