Ki Ukweli Davido Alistahili Kupata ile Tuzo na Kumbwaga Diamond


Kwa Mahesabu ya Haraka haraka Ukiangalia nani alistahili kushinda tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kiume lazima ungempa Davido badala ya Diamond no matter What ....
Kwa haya Mawili tu utakubali kuwa ni Msanii Bora kumzidi Diamond :

1.Nyimbo zake Mbili Skelewu na Aye Zimetamba sana Africa nzima na nje ya Nchi na Kwenye TV nyingi zimeshika chat ya Juu sana, Diamond nyimbo iliyofanikiwa kushika chat ya Juu nchi zingine ni hiyo moja ya Remix ya Number One ambayo nayo alisaidiwa na uwepo wa Davido.

2. Katika Ufanyaji wa Show Davido Amfanya Show Nyingi zaidi nchi Mbali Mbali Ikiwemo Hapa Tanzania kuliko Diamond Alizofanya sana nje ya nchi  hasa Africa, Kenya Ndio huwa nasikia anafanya Show na huko UK na USA.

So huu Davido Hongera Sana, Diamond Huo ni Mwanzo Mzuri Usikate Tamaa Kazi Mgongo Mwana
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Am vry hppy kwa kukosa tuzo huyu mtoto domo maana duh,

    ReplyDelete
  2. watu wanafki mfyuuuuuuu.....we mwenye blog ulikua wap ucongee ivyoo ckuzote eti saa iv ndo unajidai mchambuzi looooh!

    ReplyDelete
  3. Admn wee mnafk tu

    ReplyDelete
  4. Blog za bongo kweli nomaa nyie si mlimpamba Nasibu kua yuko juu kwa kura nyingi, Davido atajuta kushirikishwa na Domo, leo tena mmegeuka? Very sad ila bora kakosa maana tusinge pata pa kupumulia
    .

    ReplyDelete
  5. Kila siku kabla matokeo......ooohh...diamond amfunika davido....na flow chart inaoneshwa....mwisho wa siku....imepinduliwa kabwagwa.....i know our tanzanian singers weakness...vzuri amekarikibia....japo amekosa.. Lkn ameng'arishwa...may be nextime...keep it up mtu wetu nassib abdul domo

    ReplyDelete
  6. Jaani kweli uzalendo hakuna

    ReplyDelete
  7. Madame kimyaaaa,wapi penny?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad