Kila Anayenitongoza Namwona Hafai

Naamini wote mu wazima wa afya.
kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.

Mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.

Hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.

Mawazo yako yatakayojenga please.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wakutake nn? Watu wanataka pesa toka kitambo we ringia uzuri na kuvaa vizuri huku hujajenga! Upo hapo

    ReplyDelete
  2. fanya maendeleo yako kwanza bi.dada w.ume hawaish ni wengi utawachagua tu

    ReplyDelete
  3. hili tatizo ni la wanawake wengi hasa wale wanaoamini kuwa wao ni wazur

    ReplyDelete
  4. Weka picha halisi ili usadifu maudhui, kwa muonekano huo huwezi kataa less. Nyoooooooooooooooo!!!! chezea pesa wewe!!!!!,???,

    ReplyDelete
  5. Una pepo wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad