Naamini wote mu wazima wa afya.
kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.
Mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.
Hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.
Mawazo yako yatakayojenga please.
Mh!!!!!.
ReplyDeleteWakutake nn? Watu wanataka pesa toka kitambo we ringia uzuri na kuvaa vizuri huku hujajenga! Upo hapo
ReplyDeletefanya maendeleo yako kwanza bi.dada w.ume hawaish ni wengi utawachagua tu
ReplyDeletehili tatizo ni la wanawake wengi hasa wale wanaoamini kuwa wao ni wazur
ReplyDeleteWeka picha halisi ili usadifu maudhui, kwa muonekano huo huwezi kataa less. Nyoooooooooooooooo!!!! chezea pesa wewe!!!!!,???,
ReplyDeleteUna pepo wewe
ReplyDelete