Kitale Akanusha Kuwa na Mahusiano na VJ Penny

Msanii wa filamu za vichekesho, Kitale, ambae kwa sasa anatambulika zaidi kwa jina la ‘Mkude Simba’ amekanusha kuwa hajawai kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Vj Penny ambae aliwai kuwa mpenzi wa zamani wa Diamond.

Kitale akizungumza Global TV hivi karibuni ,amekanusha uvumi huo, ambao uliambatana na picha ambazo zinaonyesha Penny wakati akimbusu Kitale.

“Penny mimi sina mahusiano nae yoyote, siyo kweli sina mahusiano nae , mimi nina ndoa yangu na nina mke wangu na nina mtoto, naiheshimu ndoa yangu”Alisema Kitale.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. unategemea atasemaje

    ReplyDelete
  2. Kwan ye mwendawazimu mpk akubali tu kirahisi wkt anamke vitu vingine siyo vya kungoja majibu

    ReplyDelete
  3. Mi namtetea penny nyie amuoni mipicha Yake na wasagaji wenzio anayabusuuuuu Kama machizi vile,

    ReplyDelete
  4. acha uoga brother kula huyo malaya cheki anavojipendekeza.......hata ivo umeshamla tunamjua huyo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad