Kiwango cha Ujinga wa Watanzania Kitaliangamiza Taifa

Mwaka 1961-1964 tangu taifa la Tanganyika litoke kupata uhuru lilikuwa na watu milioni 10+, na 88% walikuwa ni wajinga sana, 10% walikuwa ni wajinga wastani wakati 1% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Kutoka 1965-1985 sasa tukiitwa Tanzania, taifa lilikuwa linakadiriwa kuwa na watu milioni 30+, na watu 78% walikuwa ni wajinga sana, 12% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 7% walikuwa ni werevu, na 3% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 1985-2000 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 40+, watu 68% walikuwa ni wajinga sana, 22% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 8% walikuwa ni werevu, na 2% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 2000-2013 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 44+ watu 76% walikuwa ni wajinga sana, 30% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 5% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Sababu za kushuka kwa ongezeko la werevu na kupanda kwa ongezeko la wajinga miaka ya hivi karibuni kunatajwa kuwa kumechochewa na mfumo mbovu wa elimu nchini.

Sasa kwa wafanya siasa hii ni rahisi sana kwao kwakuwa haiwalazimu kutumia sheria ya MIMMK ambazo humuongoza mwanasiasa kuendesha siasa zake!

Taifa la wajinga hushangilia uovu na kuuchukia ukweli!
Yericko Nyerere Via JF
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahaha ee hehe! haa mi nacheka cjui na mimi ndo walewale wajinga!! jaman sasa tufanyeje? na ndo tushakuwa wajinga!!!

    ReplyDelete
  2. mi mwerevu admin

    ReplyDelete
  3. Ni nchi ya kusadikikika hii,inaongozwa na Mfalme juha,kiss kuwe na asilimia kubwa ya ujinga.....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad