KOLETA: Bado Nakula Ujana, Sina Mpango wa Kuolewa

Mwanadada kutoka tasnia ya filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amesema kwamba suala la yeye kuolewa siyo la leo wala kesho na kwamba anakula ujana kwanza.

Akipiga stori na paparazi wetu juzikati, Koleta alisema kwa sasa hafikirii kabisa suala la kuingia kwenye maisha ya ndoa kwa kuwa, kila jambo na muda wake na bado Mungu hajamuonesha mwanawume wa kweli, ni bora akaendelea kuwa ‘singo’.

Kuolewa! Mmmh! Hapana kwanza, bado niponipo mpaka pale Mungu atakaponipa mwanaume sahihi wa kuwa naye. Ndoa kujipanga bwana, si kukurupuka tu, acha nile ujana kwanza,” alisema Koleta.
Tags

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na hutompata wa kukuowa na jiso lako baya hilo!

    ReplyDelete
  2. huna mpango au hakuna wa kukuoa?

    ReplyDelete
  3. yaaan hajui kama anajichoraaa hamnaa anaemwangalia mara mbilmbil kwa ajil ya kua mke wa mtu..LOL

    ReplyDelete
  4. pole xana Dada angu,wanaume ni kama dhahabu kumpata akupendae kwa dhati c kaz ndogo,by Marwa lucas!

    ReplyDelete
  5. sio huna mpango wakukuoa wewe ndio hayupo huna sifa yakuolewa ndio maana bdo hpo fia mbli utatobwa sana.

    ReplyDelete
  6. HAHAHAAAAAAA,et unakula ujana,au unakula uzee sasa hivi we subiri wasimbe walofiwa na wake zao hao ndo saiz yako

    ReplyDelete
  7. Na uzee huo bado ujaingia kwenye ndoa? ki ukweli mimi najuaga unao watoto watatu. utakuwa dei waka mpaka lini? wewe ujioni umri umeenda sana?ndugu zako awakuambii? eti unajiproud kabisa eti nakula ujana shame on you!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Seriously spikn mpka saiv hujaolewa, damn! Thats so bad kuskia hivo, actually i thought u hav kids nw, wake up, unakula ujana utatapika uzee

      Delete
  8. I swear huyu bidada kaniacha hoi.sio kweli bana ana watoto wawili acha kujishaua ww sura imekuparama hivyo wewe ukosi 44years. acha vischana viongee sio wewe koko umetombwa na mboo za dizain zote kwishney kwanza niambie mimba utabebea wapi kizazi unacho? mimba mchezo. we kula uzee shogaa ukizingatia uzee mwisho MSATA mjini BABY. eheheheheh kantagazeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee limekuganda shooo.

    ReplyDelete
  9. Kwani watoto nini unazaa unakula ujana kama hujapata wakukuoa usubiri nini.endelea mwaya hutoitwa mgumba coletha kulaujana namaisha yako waseme wachoke asikubabaishe mtu.utaitwa Malaya lkn wote Malaya tu ndomana unabikiri huyu unaoa mwingine.wote Malaya tu asikutishe mtu.

    ReplyDelete
  10. Mwachen mtotoooo

    ReplyDelete
  11. hakuolewa na waliozalisha ataolewa ba nanitena??? hajampata wa kumwambia nakuoa aache uongo wakeeee

    ReplyDelete
  12. mwacheni bib ale ujana uzeeni jaman

    ReplyDelete
  13. Unakula nini wewe????

    ReplyDelete
  14. kura uzeee sio ujana bibi bwege ww

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad