“Sijawahi kuona mwanamke mzuri na mwenye imani kama mama Komba ( Salome ) jamani, unajua kulea watoto ambao mama zao wapo duniani ni kazi sana,” alisema Komba katika kipindi cha mkasi kinachorushwa na East African Television
Mheshimiwa Komba alisema ana watoto tisa wakiwemo wa ndani ya ndoa na nje ya ndoa na wote wamelelewa na mke wake Salome na ndio maana anampenda na kumjali kila siku za maisha yake kwani anastahili kuitwa mwanamke haswa…..
John Komba aliyasema hayo siku chache baada ya kuonekana picha zake mbaya za kimahaba alizopiga akiwa na msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake…..
Katika mahojiano na kipindi cha Mkasi, John Komba aliongelea mambo mengi na kusema kuwa ukiwa kiongozi na mtu mkubwa nchini ni lazima uzushiwe mambo yakiwamo maradhi makubwa na kashfa mbalimbali…..
“Sioni ajabu kuzushiwa mambo ambayo sijayafanya kwani wanamuziki, wanasiasa na hata viongozi mbalimbali wanakutana na mambo ya kuzushiwa kwa kuwa wanajua wakifanya hivyo watawaangusha kutokana na vyeo vyao lakini bado tupo bana,” alisema Komba huku akicheka.
Komba aliendelea kuzungumza kuwa mwaka 2015 utakuwa mwisho wake kuimba na anakusudia kuwarithisha vijana wapya….
Mheshimiwa Komba alihitimisha kwa kusema kuwa katika maisha yake hafikirii suala la kufa kwani kifo kipo tu hata ukifikiria na kukaa kuwaza jambo hilo ni kujitafutia mkosi tu katika maisha yako.
Komba kwa unene wako huo wa kukalia viti vitatu kwa pamoja ,usinidanganye eti unaweza kutomba,hao wasichana wakulia tu hela zako na kukuongezea mgawo wa maradhi.
ReplyDeleteLeo hii baada ya picha zake za kufanya ufuska na watoto wadogo kutoka ndio kaona mke wake ni mzuri kuliko wanawake woooteee hapa Duniani. Siku zote alikuwa wapi kumsifia kama sio unafiki. Sasa huyu ndio aina ya kiongozi ambaye wananchi wanamtegemea katika kusimamia mambo mbalimbali ya maendeleo ya nchi. Tutajuaje kama hafanyi unafiki katika kusimamia hayo maendeleo ya wananchi??....sasa hiyo ndoa yake imeingia kwenye matatizo tayari. Huyo mjamaa ameonyesha ya kuwa sio mwaminifu kwa mke wake. Sasa kilichobaki dawa ya moto ni moto. Huyo mke atafute mjamaa wa kumchapa mara moja moja. By the way na hicho kitambi alichokuwa nacho sidhani kama ni kweli anamridhisha huyo mke wake.
ReplyDeleteKipind kilirekodiwa kabla ya kusambaa kwa picha
DeleteUkimwangalia vizuri huyo Mke wake Komba aitwae Salome haonyeshi kama ni aina ya mwanamke anayeweza kuvumilia ujinga wa Mme wake wa kufanya ufuska na vitoto vya shule. Kwa hiyo inawezekana kabisa na yeye anachapwa vilevile na majamaa huko nje ingawa ni jambo ambalo huyo Komba hajalidhibitisha ama analijua lakini kwa sababu za protocal za uongozi inabidi Mzee mzima akauke huku majamaa wanakula vyao kiulainiiii......hahaha.
ReplyDeleteWehapojuu unaakili kweli acha achapiwe maana nayeye anachapa unene sihoja anapenda mtinango komba sana navitoto vidogo.halafu bahili ndiomaana wanawekwa mitandaoni.kupenda vyaraisi wataanikwasana wasichana wenyewe cheap cheap.
DeleteKitambi hicho kuna kitu hapo chini,si analiwa hela tu??
ReplyDeleteAdmin acha kuokota okota habari,kipindi cha juzi ni marudio ya mwaka jana katika mfululizo wa marudio ya vipind kusubiri msimu mpya!so hili alilisema kabla hata ya hii skendo!be updated admn usihusishe hiyo kauli na kilichotokea juzi kati!
ReplyDeleteAsante genius,mi nimeshangaa kweli eti sasahv ndio imekua ishu wakati hiki kipindi cha mwaka jana,tatizo admin anacopy na kupest habar za watu.......
DeleteKama anataka kuunganisha habari afatilie fifa world cap kuna habari nying za nje ya uwanja anaweza kuzihusisha kama maswala ya burudan
DeleteDuniani kuna watu wasanii na wanajua kudanganya, na pia kuna watu wajinga wakutupwa. sijui elimu ndogo au ni nini? Mimi nimesoma graphics 3yrs i knw about graphics in and out, zile picha ni Real kabisa na si fake, Asidanganye watu na anaeamini kwamba ni fake basi ni mjinga number 1 duniani kote.
ReplyDeletemsimu mpya wa Mkasi unaanza June 16,sawa admin!Watu walivyo vichwa boksi wamekuamini kwamba Komba amehojiwa na Mkasi baada ya skendo
ReplyDeleteila sio,kwa sababu ni Udaku Specially endelea ku2piga fiksi na dizain wabongo wengi walivyo mazombi yameamini na kukubaliana na wewe,afu wewe uliyesoma graphics miaka 3,rudi tena shule ukasome vizuri!
big half genious
Asante mdau,sometime admin anaboa,akawakamate masikio hao hao
Deleteet mke wake mzuri kuliko wanawake wote??? sasa ilikuwaje komba awe na watoto wengine nje ya ndoa??? kwanini alifanya mchepuko?? hilo ni malaya tu kama malaya wengine ila linataka kuua soo na kumpumbaza mke wake aonekane kweli anapendwa apumbazike kisha apoze hasira,
ReplyDeleteet mke wake mzuri kuliko wanawake wote??? sasa ilikuwaje komba awe na watoto wengine nje ya ndoa??? kwanini alifanya mchepuko?? hilo ni malaya tu kama malaya wengine ila linataka kuua soo na kumpumbaza mke wake aonekane kweli anapendwa apumbazike kisha apoze hasira,
ReplyDeleteet mke wake mzuri kuliko wanawake wote??? sasa ilikuwaje komba awe na watoto wengine nje ya ndoa??? kwanini alifanya mchepuko?? hilo ni malaya tu kama malaya wengine ila linataka kuua soo na kumpumbaza mke wake aonekane kweli anapendwa apumbazike kisha apoze hasira,
ReplyDeletealihojiwa zamani..admini ananyege..ao mademu wenyewe njaa zinawasubua na pia komba ananyonywa kichululu na pia wanamkalia juu wanamtomba yeye anawapa vipesa wakafie mbele .
ReplyDeletena kweli mkeo ni mke hasa maana kama kuvumilia na zaidi ya uvumilivu sijui ndo anaitafuta pepo mwe hongera mama komba mungu kakuandalia pepo kwa uvumilivu wako
ReplyDeleteunafikiri huyo mama mjinga amwache MBUNGE! ungekuwa BALOZI wa nyumba kumikumi ndo ungeuona uvumilivu wake nyumbu maji ww!
ReplyDeleteMi hata Angekuwa Rais ningemuacha naogopa naona aibuuuu kuukwaa ugonjwa Wa aibu mbele ya jamii(ukimwi)
Deletekama mkeo ni mzuri hivyo kitu kinachokuangaisha hivyo na wanawake wa nje nini?
ReplyDeleteinaonekana mke wa komba kwao ni masikini sana vituko vyote anavyofanyiwa na mmewe ,anavumilia tu umalaya wakuyembea na wasichana wadogo.au sababu ni mbunge .nenda kwenu hata kama kwenu masikini utalala chini.
ReplyDelete