KOMBA Amwagia Misifa Mkewe…Asema Hajawahi Kuona Mwanamke Mzuri na Mwenye Imani Kama Mkewe

Sijawahi  kuona  mwanamke  mzuri  na  mwenye  imani  kama  mama  Komba ( Salome ) jamani, unajua  kulea  watoto  ambao  mama  zao  wapo  duniani  ni  kazi  sana,” alisema  Komba  katika  kipindi  cha  mkasi  kinachorushwa  na  East  African  Television

Mheshimiwa  Komba  alisema  ana  watoto  tisa  wakiwemo  wa  ndani  ya  ndoa  na  nje ya  ndoa  na  wote  wamelelewa  na  mke  wake  Salome  na  ndio  maana  anampenda  na  kumjali  kila  siku  za  maisha  yake  kwani  anastahili  kuitwa  mwanamke  haswa…..

John Komba  aliyasema  hayo  siku  chache  baada  ya  kuonekana  picha  zake  mbaya  za  kimahaba  alizopiga  akiwa  na  msichana  anayedaiwa  kuwa  ni  mpenzi  wake…..

Katika  mahojiano  na  kipindi  cha  Mkasi, John Komba  aliongelea  mambo  mengi  na  kusema  kuwa  ukiwa  kiongozi  na  mtu  mkubwa  nchini  ni  lazima  uzushiwe  mambo  yakiwamo  maradhi  makubwa  na  kashfa  mbalimbali…..

Sioni  ajabu  kuzushiwa  mambo  ambayo  sijayafanya  kwani  wanamuziki, wanasiasa  na  hata  viongozi  mbalimbali  wanakutana  na  mambo  ya  kuzushiwa  kwa  kuwa  wanajua  wakifanya  hivyo  watawaangusha  kutokana  na  vyeo  vyao  lakini  bado  tupo  bana,” alisema  Komba  huku  akicheka.

Komba  aliendelea  kuzungumza  kuwa  mwaka  2015  utakuwa  mwisho  wake  kuimba  na  anakusudia  kuwarithisha  vijana  wapya….
Mheshimiwa  Komba    alihitimisha  kwa  kusema  kuwa  katika  maisha  yake  hafikirii  suala  la  kufa  kwani  kifo  kipo  tu  hata  ukifikiria  na  kukaa  kuwaza  jambo  hilo  ni  kujitafutia  mkosi  tu  katika  maisha  yako.
Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Komba kwa unene wako huo wa kukalia viti vitatu kwa pamoja ,usinidanganye eti unaweza kutomba,hao wasichana wakulia tu hela zako na kukuongezea mgawo wa maradhi.

    ReplyDelete
  2. Leo hii baada ya picha zake za kufanya ufuska na watoto wadogo kutoka ndio kaona mke wake ni mzuri kuliko wanawake woooteee hapa Duniani. Siku zote alikuwa wapi kumsifia kama sio unafiki. Sasa huyu ndio aina ya kiongozi ambaye wananchi wanamtegemea katika kusimamia mambo mbalimbali ya maendeleo ya nchi. Tutajuaje kama hafanyi unafiki katika kusimamia hayo maendeleo ya wananchi??....sasa hiyo ndoa yake imeingia kwenye matatizo tayari. Huyo mjamaa ameonyesha ya kuwa sio mwaminifu kwa mke wake. Sasa kilichobaki dawa ya moto ni moto. Huyo mke atafute mjamaa wa kumchapa mara moja moja. By the way na hicho kitambi alichokuwa nacho sidhani kama ni kweli anamridhisha huyo mke wake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kipind kilirekodiwa kabla ya kusambaa kwa picha

      Delete
  3. Ukimwangalia vizuri huyo Mke wake Komba aitwae Salome haonyeshi kama ni aina ya mwanamke anayeweza kuvumilia ujinga wa Mme wake wa kufanya ufuska na vitoto vya shule. Kwa hiyo inawezekana kabisa na yeye anachapwa vilevile na majamaa huko nje ingawa ni jambo ambalo huyo Komba hajalidhibitisha ama analijua lakini kwa sababu za protocal za uongozi inabidi Mzee mzima akauke huku majamaa wanakula vyao kiulainiiii......hahaha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wehapojuu unaakili kweli acha achapiwe maana nayeye anachapa unene sihoja anapenda mtinango komba sana navitoto vidogo.halafu bahili ndiomaana wanawekwa mitandaoni.kupenda vyaraisi wataanikwasana wasichana wenyewe cheap cheap.

      Delete
  4. Kitambi hicho kuna kitu hapo chini,si analiwa hela tu??

    ReplyDelete
  5. Admin acha kuokota okota habari,kipindi cha juzi ni marudio ya mwaka jana katika mfululizo wa marudio ya vipind kusubiri msimu mpya!so hili alilisema kabla hata ya hii skendo!be updated admn usihusishe hiyo kauli na kilichotokea juzi kati!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante genius,mi nimeshangaa kweli eti sasahv ndio imekua ishu wakati hiki kipindi cha mwaka jana,tatizo admin anacopy na kupest habar za watu.......

      Delete
    2. Kama anataka kuunganisha habari afatilie fifa world cap kuna habari nying za nje ya uwanja anaweza kuzihusisha kama maswala ya burudan

      Delete
  6. Duniani kuna watu wasanii na wanajua kudanganya, na pia kuna watu wajinga wakutupwa. sijui elimu ndogo au ni nini? Mimi nimesoma graphics 3yrs i knw about graphics in and out, zile picha ni Real kabisa na si fake, Asidanganye watu na anaeamini kwamba ni fake basi ni mjinga number 1 duniani kote.

    ReplyDelete
  7. msimu mpya wa Mkasi unaanza June 16,sawa admin!Watu walivyo vichwa boksi wamekuamini kwamba Komba amehojiwa na Mkasi baada ya skendo
    ila sio,kwa sababu ni Udaku Specially endelea ku2piga fiksi na dizain wabongo wengi walivyo mazombi yameamini na kukubaliana na wewe,afu wewe uliyesoma graphics miaka 3,rudi tena shule ukasome vizuri!
    big half genious

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante mdau,sometime admin anaboa,akawakamate masikio hao hao

      Delete
  8. et mke wake mzuri kuliko wanawake wote??? sasa ilikuwaje komba awe na watoto wengine nje ya ndoa??? kwanini alifanya mchepuko?? hilo ni malaya tu kama malaya wengine ila linataka kuua soo na kumpumbaza mke wake aonekane kweli anapendwa apumbazike kisha apoze hasira,

    ReplyDelete
  9. et mke wake mzuri kuliko wanawake wote??? sasa ilikuwaje komba awe na watoto wengine nje ya ndoa??? kwanini alifanya mchepuko?? hilo ni malaya tu kama malaya wengine ila linataka kuua soo na kumpumbaza mke wake aonekane kweli anapendwa apumbazike kisha apoze hasira,

    ReplyDelete
  10. et mke wake mzuri kuliko wanawake wote??? sasa ilikuwaje komba awe na watoto wengine nje ya ndoa??? kwanini alifanya mchepuko?? hilo ni malaya tu kama malaya wengine ila linataka kuua soo na kumpumbaza mke wake aonekane kweli anapendwa apumbazike kisha apoze hasira,

    ReplyDelete
  11. alihojiwa zamani..admini ananyege..ao mademu wenyewe njaa zinawasubua na pia komba ananyonywa kichululu na pia wanamkalia juu wanamtomba yeye anawapa vipesa wakafie mbele .

    ReplyDelete
  12. na kweli mkeo ni mke hasa maana kama kuvumilia na zaidi ya uvumilivu sijui ndo anaitafuta pepo mwe hongera mama komba mungu kakuandalia pepo kwa uvumilivu wako

    ReplyDelete
  13. unafikiri huyo mama mjinga amwache MBUNGE! ungekuwa BALOZI wa nyumba kumikumi ndo ungeuona uvumilivu wake nyumbu maji ww!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mi hata Angekuwa Rais ningemuacha naogopa naona aibuuuu kuukwaa ugonjwa Wa aibu mbele ya jamii(ukimwi)

      Delete
  14. kama mkeo ni mzuri hivyo kitu kinachokuangaisha hivyo na wanawake wa nje nini?

    ReplyDelete
  15. inaonekana mke wa komba kwao ni masikini sana vituko vyote anavyofanyiwa na mmewe ,anavumilia tu umalaya wakuyembea na wasichana wadogo.au sababu ni mbunge .nenda kwenu hata kama kwenu masikini utalala chini.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad