Kuoa wanawake waliokulia maisha duni, ni kujichimbia kaburi.. hawana shukrani

Heshima kwenu wadau..

Nipo kijiweni bar ya jirani hapa tunacheki world cup Brazuca..

Kuna jamaa amezua hoja nzito kwamba kamwe hawezi kuoa mwanamke anaetoka familia ya kimaskini maana wengi wao hawana shukrani maishani.. anakwambia angalau watoto wa kishua japokuwa wavivu kazi za ndani ndogo ndogo but wanajua kupenda na hata cheating ni ngumu sana.

But mwanamke anaetoka familia yenye dhiki wengi wao vigeu geu mwepesi sana kubadilika badilika.. na ametoa mifano hai mingi tu ya ndoa za tunaowafahamu..

Wadau hii mnaonaje? je kuna ukweli wowote hapo

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndomana nchi hii kuendelea vigumu mko kwenye Mpiraa mnaacha kujadili mada za maendeleo mnajadili upuuzi huo,pole sana,

    ReplyDelete
  2. acha ujinga ww we una taka watoto wakimasikini wasipate wapenzi au

    ReplyDelete
  3. Yan,hata sijaelewa nini maana yako unataka kuleta Mambo ya ubaguz wa kipato, Kama wahind? Kama nyinyi maskin basi mtakuwa maskin....

    ReplyDelete
  4. shukran n tabia ya m2 binafsi haina uhusiano na hal ya m2 kiuchumi...

    ReplyDelete
  5. Sasa mdau nskushangaa ni nn hasa kilichokufanya uiweke hii mada!hivi unajua maana ya ubaguzi wewe?tabia ya mt inatokana na malezi na sio umaskini kama unavyodhani!jitahidi kutafuta mada za kuelimisha sio kuleta mada za kipuuzi zisizo ns mshiko!

    ReplyDelete
  6. mleta mada ni mjinga sana analeta nambo ya kibaguzi nenda India uko ndiyo kun mambo km hayo baba akiwa dobi lzm nawe uwe dobi si apa bongo baba domi mm dr upo apo

    ReplyDelete
  7. mada hiyo inaukweli kabisa watoto wakimaskini wengi wanawivu wakijinga muda mwingi wanawaza kulinda zaidi ya kufikiria maeneleo.wasumbufu wao na familia zao utasaidia mapaka utabaki maskini bado utaambulia lawama tu ,kutoka kwake na ndugu zake .kwanini ujitese tafuta tafuta ambaye kidogo kwako haueni ya maisha ipo!!!!!!!!!!!!!!!1

    ReplyDelete
    Replies
    1. duu jaman mi kwetu maskin ila maneno uliyoongea ww mkaka yameniumiza so sisi hatufai kupendwaa na wenye uwezo!! mweeeee eti wasumbufu na familia zetu duuu

      Delete
  8. Maskini akipata matako ulia mbwata, ni kweli kabisa wadada wengi wanaoolewa kutoka family duni huwa ni vigeugeu mpaka utashangaa hii inachangia ni limbukeni ya maisha wanashindwa kujizuia,

    ReplyDelete
  9. Kweli, nakusapoti, japo tabia ni ya mtu binafsi, ila kwa wale waliotoka familia duni, aisee ni pasua kichwa sana... Na usiombe uyumbe katikati ya safari, hawana uvumilivu wanasahahu walikotoka..

    ReplyDelete
  10. duh mdau ni kweli mimi ilikwisha nitokea niliishi na muuza sura mmoja ambaye huwa anajifanya mjuaji ila siku alinipeleka kwao duh chokaaa basi mimi nikajitwisha zigo lile wew !baba alivyofariki zigo kubwaa ila mwisho nilichoambulia!sasa karudi mtaani eti anatafuta maisha na mtoto niliachiwa wa miezi saba!.

    ReplyDelete
  11. Na mwanaume masikini je?

    ReplyDelete
  12. na mwanaume maskini je? wadada tu ndo mmeona....mbona mnakujakuja wenyewe nyie mnaosema maskini ni tabu!!!!!! shm on yu!

    ReplyDelete
  13. Wake kutoka katika familia maskini ni shida

    ReplyDelete
  14. Life z how u make it!!! meen hakuna ukwel hapo ww unategemea uoe ndo mkeo akutoe kwan wasomi si wanafundishwa na wa2 km ww unashindwa kua mbunifu na creative na kuongea ujinga ndo maana hatuendelei ama kweli nimeamin msemo wa rafik yang 1

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad