Nimeshangazwa, eti Kikwete ataudhuria Tamasha lililoandaliwa na Clouds Media Dodoma, tena ataambatana na mawaziri.
Najiuliza, hivi ni kwa nini Clouds wanapo mtaka Mh Rais huwa anapatikana kilahisi namna hii, lakini taasisi nyingine zinapomualika katika mambo ya msingi ya kitaifa kwa mfano, Katika mijadala ya Katiba mpya, katika midaharo ya hali ya kisiasa hapa nchini, kikwete huwa haonekani?? lakini mambo ya clouds tena mengine yanafanyika usiku kabisa kama lile tamasha la kitapeli lililowahi kufanyika pale leaders, mh rais alihudhuria mpaka late night.
hii imekaaje WADAU: au ndo ule msemo wa Lipumba unajidhiirisha kuwa kikwete ni hodari wa matamasha??
atajua yeye kwa nn cha maana ata ukilalamika aisaidii
ReplyDeletemmeanza umbea ndo unawasumbua, msemeni na kwanini anahudhuria na misimba mpaka ya wasanii?
ReplyDeleteMtoa mada umeuliza swali la msingi sana ni kweli kina vitu vingi vya msingi ambavyo huyu rais wetu huwa anapuuzia!kwa kweli mimi sijawah kumuona kwenye mjadala wowote wa katiba niseme ukweli wangu.
ReplyDeleteAlistahili kuwa waziri wa Starehe (Prof. Lipumba)
ReplyDeleteYeye hawezi kuhuzuria sababu ushasema mdahalo.....ule utasababisha uhasama ndani ya jamii....maana anaweza kuweka msimamo wake afu wale wanaopinga wakaona kiongozi huyo hatufai....nyie fanyeni yenu yeye atatoa ufafanuzi tuu...
ReplyDeleteUhasama aulete mara ngapi?kwani bungeni si alishaonge utumbo wake?kwa ufupi humo hamna rais kabisa kashashindwa nchi huyu!
DeleteKumamayo mpe Baba yako aongoze msenge wewe kashindwa ndo alivyokwambia mmekaa unafiki Tu wakati Kuna mambo mengi ya msingi kayafanya hamsemi wasenge nyie..
ReplyDeleteUkweli utabaki kuwa pale pale hakuna Raisi aliyeipokea nchi katika wakati mgumu kama Kikwete na akaifanyia mambo mazuri kama Kikwete ukweli utabaki palepale mkitaka msitake..
DeleteWewe mkundu kunuka hapo juu 2:39 kuma la mama yako kama kakusaidia ni wewe na wasenge wenzio sio wote!unatombwa na vibwengo nini kuma kibuyu.
DeleteMh! Ngoja nipite mie!
ReplyDeleteUsipate shida Hama nchi kama umeona hajakufanyia chochote wala usilalamike
ReplyDeleteUtakuwa shoga wewe si bure!
DeleteKikwete Ni Rais wa watu. Anahudhuria misiba,matamasha,makongamano,semina,mikutano n.k. Habagui,yeye ni Kiongozi wa wote. Mbona hamuwahoji wale wanafiki wanaokwepa misiba na kuhudhuria harusi? Acheni chuki zisizo na maana.Umiza akili au umiza mwili utafanikiwa,sio kila kitu Rais,Serikali na kulia lia.
ReplyDeleteWatanzania hambebeki so acha tupelekwe hivyo hivyo. sababu hamna wema sijui mlitaka kila siku apite nyumba moja moja atoe ela eeeh jishughulishe uone maisha matamu umekalia umbea na majungu yasiyo iva eti hamna Rais fyuuuuuuuu mpeleke baba ako ikulu basi
ReplyDeleteWaambie wasenge hao wamekalia maneno ya vijiweni Tu nyokonyoko nyokonyoko wanangoja sehemu akiteleza wapate la kusema kwenye mazuri hawasifii kumanyoko zao
DeleteWatanzania hambebeki so acha tupelekwe hivyo hivyo. sababu hamna wema sijui mlitaka kila siku apite nyumba moja moja atoe ela eeeh jishughulishe uone maisha matamu umekalia umbea na majungu yasiyo iva eti hamna Rais fyuuuuuuuu mpeleke baba ako ikulu basi
ReplyDeleteWatu wengine kama wa.......nge vile kazi umbeya tu hakuna raisi kwa hiyo kuna nini acheni kuleta chuki na majungu fanyeni kazi mtafanikiwa sio kila siku majungu tu
ReplyDeletemi nakushangaa sana uliyeandika mada hii. ni maoni yako binafsi au umetumwa? una ushahidi?ulishawahi kumualika?usiandike mambo usokuwa na ushahidi nayo.
ReplyDeleteNamkubali sana Raisi wetu. amejitahidi sana kuleta maendeleo. kwani uongozi ni mgumu ila watu hawajui na wengine wanajua ila wanavunga kisa upinzan wa vyama. mimi na CCM damu damu kwani ndio iliyonilea. R.I.P chadema mlianza vizuri na mmekwisha sababu ya ukabila. CCM oyeeeee!
ReplyDeleteDuu
ReplyDeleteCyo dhambi kuuliza' kikwete ana mazur yke na mabaya yake pia ana mapungufu yke'anapenda sana burudan ndo sbb ana mafafiki weng watu wa burudan' uwezo wake alitakiwa awe waziri wa sekta kama hzo na cyo rais' kwangu mm CCM ni kama BUNDI' ila kwa wenye maslah nayo na wenye upeo mdogo ni kama 'DHAHABU kwao
ReplyDeleteUmemaliza mdau hapo juu,kweli tupu.....
ReplyDeleteKikwete mtoto wa mama tu, hana hata future yupo kama domo
ReplyDeleteClouds ni opportunist wale na ccm wakipata watu wa kuwatumia ili waendelee kuwapumbaza watanzania watawatumia kweli kweli!!! Kwani wewe huoni vile vipindi vilivyokuwa vizuri sana vya kuelimisha jamii clouds FM siku hizi vimegeuzwa vipindi vya propaganda chafu za serikali na ccm!!!hata serikali ifanye upuuzi gani utasikia Kibonde na wapuuzi wenzie pale clouds wanasifia sifia tu!!! Ukitaka kujua unafiki wa clouds ngoja serikali/ccm itoke madarakani uone watakavyojifanya kujikomba kwa serikali/chama tawala.Clouds wote pale ni waganga njaa kwa kulamba kiatu watawala tofauti na radio nyingine zinazofanya kazi za kuelimisha jamii
ReplyDeleteumelonga mdau nakupa 5!
DeleteKikwete anadai yupo bored na anasema hakuna.kazi.nyingi ikulu.Haandiki wala.hasomi vitabu.Huangalia.soka za ulaya hadi usiku wa manane na huamka kesho yake saa 3.Hupata pia
ReplyDeletemuda wa kulala mchana.Rais huyu hana pressure wala stress.Kikwette anasema eti yeye ni rais bora.na ameleta maisha bora kwa kila mtanzania.Huyo ndie rais wako bwana,aliingia ikulu bila maono wala agenda yeyote ,kwake ni 'bora liende'.
Nakumbuka prof Lipumba aliwahi kusema kule Pangani na hapa ninamnukuu'Ndgu zangu wa Pangan mkitaka nchi yenye maendleo ya kiuchum na fursa kedekede za maendleo mchagueni prof Lipumba lakn mktaka rais wa kufungua matamasha ya mziki,mamic na sherehe mbalmbal bas mchaguen KIKWETE!
ReplyDeleteNakumbuka prof Lipumba aliwahi kusema kule Pangani na hapa ninamnukuu'Ndgu zangu wa Pangan mkitaka nchi yenye maendleo ya kiuchum na fursa kedekede za maendleo mchagueni prof Lipumba lakn mktaka rais wa kufungua matamasha ya mziki,mamic na sherehe mbalmbal bas mchaguen KIKWETE!(Hii ni nukuu isiyo rasmi)
ReplyDeletehiyo clouds siku hizi imepoteza hadhi yake ya kuwa redio ya watu na kugeuka kuwa shina la wakereketwa wa ccm.kwa sasa sioni tofauti yake na TBC TAIFA!
ReplyDeletejinsi ya kutengeneza pesa kupitia computer yako
ReplyDeleteKikwete
ReplyDelete