Lulu akana kushirikishwa na Mapacha, ‘I swear sina idea na huku kushirikishwa’

Kundi la Mapacha jana (June 23) wametambulisha ngoma yao mpya baada ya ukimya wao wa muda mrefu, wimbo ambao wamedai wamemshirikisha muigizaji wa Bongo Movie Elizabeth Michael aka Lulu. Lakini Lulu leo amekana kushirikishwa katika wimbo huo kwa kusema kuwa hana taarifa zozote wala haujui wimbo huo.


Hiki ndicho alichokiandika Instagram:



Mwe mwe mwe…!Mbona mnaninyasanyasa…’in Senga’s voice’
I swear sina idea na Huku kushirikishwa….au kuna Elizabeth Michael’Lulu’ mwingine!????
Dah…hebu mliosikia hyo nyimbo labda mniambieMana nashirikishwa ki miujiza jmn”.

Wimbo mpya wa Mapacha unaoitwa ‘Time For The Money’ umetengenezwa na Tudd Thomas.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. malaya nae huyo hana mpya hapa mjin akauze mwili tu apate pesa aache mashauzi yasiyo na mana hana mpya.hamna mtu hapo ni kopo tu

    ReplyDelete
  2. na kwauongo ana cheti,alitwambia hana bwana wiki moja tu kanumba kamfia mikononi.ss anasema hana idea,kesho atasema jengine.....muongo huyoooooooooooooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Akasema tangu kanumba afe ataki bwana baada ya wiki akatutambulisha Johnson Yule baba anaefanya kazi tanesco,mtu mzima Eti ndie anayempangishia nyumba tegeta

      Delete
  3. Mwacheni mtoto wa watu yaliyopita yamepita, heee asiongee. Mnamtonesha jeraha la moyo wake.

    ReplyDelete
  4. ivi amekosa nn mtoto wa watu jaman duuu mmezidi kwakweli

    ReplyDelete
  5. kiongo kikubwaa kilimuua kijana wa watuu ili kitombwe kila na mboo kionee kimekomaa uso km malaya wa miaka 30.utakufa vibaya .bora ungekufa wewe kuliko kanumba wa watu

    ReplyDelete
    Replies
    1. It might be u, dunia ni yetu wote leo kwangu kesho kwako na Mungu akusaidie.

      Delete
  6. Kwani huyo kanumba hata angekuwepo aasingekufa? Aaaghhh too much kanumba kanumba watu wamefiwa na wazaz hawalalamiki hivyo mmmmh kazi kwelikweli.

    ReplyDelete
  7. Lulu hakumwuua Kanumba Jamani. Dah!!! Mwacheni Mungu ndiye aliyeona kilichotendeka

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad