Lulu Michael na Nando wa Big Brother Mambo Hadharani si Siri Tena

Stori: Musa Mateja na Mayasa Mariwata

Mambo hadharani! Uhusiano wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013, Amir Nando umewekwa kweupe.

Kabla ya wawili hao kufunguka, kulikuwa na madai mazito kuwa Lulu na Nando ‘wanachepuka’ mara tu baada ya Nando kutolewa BBA kwa ukosefu wa nidhamu.

Kuna habari kuwa Nando ndiye aliyevujisha ishu hiyo, jambo ambalo Lulu hakupendezwa nalo hivyo kumpiga chini.

Baada ya kunyetishiwa ishu hiyo, gazeti hili lilimtafuta Nando ambaye mwanzoni alifanya kama utani akidai Lulu ni mwanamke anayefaa kuolewa (wife material) lakini alipoulizwa kwa msisitizo, alikana kuwa na uhusiano na mrembo huyo.

“Lulu ni mkali, niko tayari kumuoa lakini sijamwambia, akikubali freshi nitamuoa. Kwa sasa ni mshikaji wangu tu na napenda kazi zake. Huwa ni mtu ambaye napenda kufuatilia ishu zake,” alisema Nando.
Kwa upande wake Lulu alishtuka na kudai kuwa aulizwe huyohuyo Nando na si yeye kwani haoni sababu ya yeye kuulizwa.

Alifunguka: “Hebu muulizeni Nando kama ni Lulu mimi au mwingine? Yeye akishatoa jibu sina la kusema.”

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuma tu,kinembe we.

    ReplyDelete
  2. Kheee sijui why anapenda mapenzi ya siri kma enzi zake na marehem k...why anaficha ficha asajulikane yupo nanani..?umalaya tu..

    ReplyDelete
  3. Kawaida ya mtu mwizi na michepuko lazima afanye siri coz anataka kote kote

    ReplyDelete
  4. SASA HUYO MALAYA ANAWEZA KUKUBALI KUA YUPO NA MTU FLANI MANA YY NI CHA WOTE YYT MWENYE PESA NATOMBA KUMA YA LULU HUNA PESA HUTAMTOMBA MSHAHALA WA DHAMBI NI MAUTI ANGOJE KUFA VIBAYA..ANA WANAUME MIA KIDOGO HATWEZA KUSEMA KWELI MANA YY ANATAFTA PESA HATAFTI MAPENZI KM MNAVYOFIKIRIA NINYI WATANZANIA

    ReplyDelete
  5. Nando uwe unavaa element dogo balaa sana huyo

    ReplyDelete
  6. Element zitamletea mapunye kichwani bora asivae

    ReplyDelete
  7. Wazunguu ni wetu wametuletea condom lkn watu hawavai.wanataka nyama kwa nyama.harara na muwasho zinahusu Sanaa.namkianza kuumwa msidanganye kama mnasheli au sukari mwitu.semeni tu mimi nimeukwaa umeme.kwawotee wapenda ngono zembe wenyewanawake au wanaume zaidi ya mmoja hii inawahusu tumieni dozi lkn msifiche kujakuua wasionahatia.kilamtu aupate kwamdawake akiutafuta sio utumie pesa au mwili Wako kuambukiza wengne

    ReplyDelete
  8. hamna mke hapo... kopo la komba na mastaa wengine....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad