Star wa filamu na muziki wa Bongoflava Baby Madaha anadaiwa kuwewesekea penzi la Diamond Platnumz na kumtaka Wema Sepetu awaachie na wao Diamond a.k.a Sukari ya warembo ili wafaidi kama anavyojiachia.
Chanzo kimoja kilicho karibu na Baby Madaha ambacho pia kinafanya juu chini kuwika katika filamu kwa masharti ya kutotajwa jina lake kikizungumza na Swahiliworldplanet wiki iliyopita kilisema kuwa:
“Nawapa habari, Baby Madaha anamtaka Diamond hata kule kumponda kwenye media sio kwa dhati ni njia ya kumshawishi amtongoze.
“Sikia nikwambie, katika Kill Awards (mwaka huu) Madaha alikuwa na lengo la kumbusu Diamond kwa stage lakini alikuwa anamhofia Wema na Team Wema wangeweza kuja juu ikawa habari mpya…
“Anamtaka ila anashindwa tu kusema wazi, unajua Wema anambana sana Diamond, anataka Wema amwachie” kilisema chanzo hicho huku kikisisitiza kuwa kisitajwe jina lake .
Baby Madaha : 'Wema Sepetu Tuachie Na Sisi Huyo Diamond Tumfaidi '
9
June 25, 2014
Tags
hiloo kuku la kazi gani dogo kula vitu kwa madamu achana na hilo gumegumeee..hakina mana mjini chezeiya wema wewe utalala na babaa akoooooooo
ReplyDeleteWewe si ulisema huwe kulala na diamond, au akufanyie ka irene
ReplyDeleteMh udaku smtym mnapenda kuchonganisha na kutufanya tunaocomment ni wajingajinga flani hivi ambao tunajaji kwa maneno ya kusikia tu mwe haya mi nmeona bwana
ReplyDeleteKiukweli ww umenena hapo juu.
DeleteWaandishi ni wachonganishi mbaya.
Kazi yao ni kuchonganisha watu kila cku halafu mtu anacomment tu bila kujali chanzo cha taarifa kama kimekaa vzr au ni uzushi tu......
mwandishi mchonganishi kweli,pumbavu
ReplyDeleteKuma lako kweli mwandishi
ReplyDeleteudaku ni wachonganishi sana
ReplyDeleteWachonganishi wakubwa Baby madaha sio mpuuzi kiasi hicho wew mwandisha matako yako.
ReplyDeleteWachonganishi wakubwa Baby madaha sio mpuuzi kiasi hicho wew mwandisha matako yako.
ReplyDelete