Mafikilizo Wamkubali Diamond Kwenye Kuimba Ona Picha Mbali Mbali Wakiwa Studio Jana
8
June 10, 2014
Hatimae mpango wa Mafikizolo wa South Africa ambao ni mastaa wa hit single ya ‘khona’ waliochukua tuzo mbili kwenye MTV Africa music awards 2014 kufanya kolabo na Diamond umefanikiwa kwenye usiku wa June 9 2014.
Diamond pamoja na mameneja wake wawili ambao ni Salam na Bab Tale waliongozana mpaka kwenye studio za msanii mkongwe aitwae Oskido ili kurekodi kolabo hiyo ya Mafikizolo, kundi la Afrika kusini lililorudi kwenye chati kupitia mikono ya Oskido.
Mafikizolo waliomba kurekodi wimbo na Diamond baada ya kushawishika kufanya nae kolabo hivyo wakaahidi kushughulikia gharama zote za kumuongezea Diamond muda wa kuendelea kukaa South Africa pamoja na kubadili ticket ya ndege ili wakamilishe kazi yao.
Go Diamond
ReplyDeletemake them mad
ReplyDeletesijawai kuona msanii bongo anaepambwa kama domo
ReplyDeleteDiamonds are forever
ReplyDeleteDomo domo juuu watajibeba waso kupenda
ReplyDeleteUbaya wke niushamba angalia wenzake wako na redem ya kuimba
ReplyDeleteYeye apanuwa domooo..
usiwe kama choko mbwa ww kazi kukandia afu weng wenu mna maisha magumu ad shida kmmmmmmmmmmmmmmmmk
Deleteacha usenge wewe mshamba mwenyewe.....ulitaka mdomo auweke kwemye mkundu wako.
ReplyDelete