Maimatha Akwaa Skendo ya Utapeli..Ni Kuhusu Dawa za Kukuza Makalio

Stori: Gladness Mallya

SKANDALI! Prizenta maarufu Bongo, Maimatha Jesse amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukwaa skendo ya utapeli kutokana na dawa za kukuza maungo anazoziuza kuwa hazifanyi kazi.
Sosi ameibua utapeli huo wa Maimatha kwa kusema:

“Maimatha anatapeli watu na dawa zake, yaani tumepaka mabinti wengi hazitusaidii chochote, ni wizi mtupu, laki mbili bila chochote kweli roho inauma.”

Baada ya kunyaka madai hayo, Ijumaa Wikienda lilimtafuta Maimatha akakanusha:
“Hao wamejisikia tu kuongea hata siwafahamu na wala sijawahi kupata kesi kama hizo, mbona nilishawauzia wengi? Mimi mwenyewe zimenisaidia, wazushi tu,” alisema Maimatha.
GPL
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yani mkorogo noma, kaharibikaje?

    ReplyDelete
  2. Kamajini kipusa haya wapenda mkorogo mmemuona Mai mkisemwa mnachukia mnajikoboa km vinyago bwana.bdo kubondeka makalio endeleeni kutumia dawazake na cancer zipo

    ReplyDelete
  3. we maimatha, umekua sasa hv badilika na mikorogo unayopaka umekua kama uchi wa mtoto mchanga sura imebadilika mno, jumlisha hayo makope kama lipopo bawa, acha bwana mkorogo umekukataa sasa hv, harafu huwa una sura mbaya, basi tu hizo make up mzishukuru, acha kabisa wala hupendezi mumeo hakushauri? Au na yeye anapenga kukuona sura kama nguruwe? Jiongeze basi umeshakuwa sio mdada wewe ni mama kabisa.

    ReplyDelete
  4. Mmm kumbe mastaa without make up ni wabaya hivyo,na huo mkorogo ulivyokunyonya mfyuuuuu

    ReplyDelete
  5. mai kawa fake mpaka anatisha hata mile anaafadhali mh kama mdoli jamani kha

    ReplyDelete
  6. sikutegemea kama ni mbaya kiasi hiki,anamalienge kabisaaaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad