Tukio hilo limetokea usiku wa saa nane katika Kituo cha Polisi Kimanzichana ambapo askari walikuwa lindo. Wakaja watu kama wanne hivi kwanza wakiwa na mwenzao ana bandeji akijifanya majeruhi wamekuja kuchukua PF3 wakamtibie. Kumbe ni majambazi wana mapanga wameyaficha kwenye makoti.
Ghafla wakaanza kuyatoa na kuwashambulia askari na mgambo waliokuwa kituoni. Askari Ngonyani ambae sasa ni marehemu alijitahidi kupambana nao lakini alizidiwa nguvu na kumkata kata kwa mapanga pamoja na mgambo wawili waliokuwa kituoni hapo.
Baada ya tukio hilo, majambazii hayo yalipora bunduki mbili za poliso aina ya SMG na Magobore mawili yaliyokuwa yakihifadhiwa kituoni hapo.
Nje kulikuwa na sakari mmoja wakike alikuwa nje kwenye gari alijificha kwa kuwa hakuwa na silaha muda huo, na ndiye aliyetoa taarifa kituo kikuu cha Mkuranga mjini kwa OCD.
Bw. Ngonyani alifia hospitali ya wilaya akipatiwa matibabu, na mgambo wawili wanaendelea na matibabu, ila mmoja hali yake imekuwa mbaya na amehamishiwa Muhimbili.
du hatari
ReplyDeleteduu binadamu wengine ni wanyama!!!! hadi kituo cha polisi duuu!!! polisi nao waliji sahau cjui mwee!! lkn hamjatuambia kama uchunguzi unaendelea au hao majambazi yashakamatwa.
ReplyDeletenow that's too much! Wamethubutu kufanya jambo kama hilo, Wakikamatwa wasifike hata Mahakamani hao.
ReplyDeleteWatu wengine ni wanyama.
ReplyDeletedaa hawa majambazi sikuizi lazima watakua wanajeshi na mapolisi sababu wanajiamini sana
ReplyDeleteHao polisi wamezidi kuchukua rushwa na kudhulumu haki za raia, tumechoka nao. Kitu kidogo mpelelezi katoka, mpe nauli aende, hiyo bajeti yenu inafanya kazi gani?
ReplyDeleteR I P_ Ngonyani
ReplyDeletenaona ndugu yangu hata haujui unachangia mada inayohusu nn maana naona kama umelewa hv,habu angalia nature ya tukio halaf ndo ulete hayo mambo yako yasio na kichwa wa miguu,kumbuka wale ni binaadam wenzettu na sio wanyama
ReplyDeleteHao majambazi ni wale wanajeshi au mapolisi wanaotimuliwa makazini kwa sababu za kisenge ndio wanaokuja kulipiza vizasi kwa hiyo wakuu wa polisi au wa jeshi mjipange
ReplyDeleteRest in peace afande ngonyani. Serikali ihakikishe family ya Askari huyu inatimiziwa mahitaji yao.
ReplyDeleteafazali majambazi hawa ningewajuwa ningewapa zawadi aise. tena ni bora wangechoma kabisa hicho kibanda cha polisi. mana 2mechoka na rusha zao.
ReplyDeleteKuna mijitu humu ina roho za ajabu, polisi ni binadamu kama ww na si wote ni wabaya, unamaanisha huna jamaa, ndugu au watu wako wa karibu walioingia au watakaoingia polisi??? Polisi atachukuaje rushwa bila ww kutoa!!! Kwann utoe rushwa kama hauna matatizo ya ubongo ww!!! Rest in peace Afande, tuko nyuma yako tunakuombea!!!
ReplyDeleteacha ujinga cjui umetokea wapi au unajifunza ku coment akili zako cnzuri kumamayo tutolee usenge wako humu
ReplyDeletemsiwe mnalewa kwanza ndo mna comment bangi humu,? RIP afande.
ReplyDeletecamera za cctv ndio mpango mzima,serikali mlipe kipaumbele hilo,nchi inakwenda pabaya,hata ambao hatukuwepo enzi za mwalimu tunaona bora enzi za utawala wake kuliko hivi sasa.
ReplyDelete