Majanga Mengine Bongo Movies-Mzee Small Afariki Dunia

Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar. Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili. Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole kwa Family rafik jamaa na watu wa karibu na marehem na mungu ailaze roho ya marehem mahal pema pepon

    ReplyDelete
  2. Inalillah wainallilahi rajiun, allahu mafilahu warahamuu wasakanahumfiljana, said ngamba.

    ReplyDelete
  3. pumzika kwa amani

    ReplyDelete
  4. Watu wengi wanaaga dunia kila kukicha siyo ma celebrity tu. Watu wa media ndiyo wanaokuza mambo na kupamba kurasa za mbele za magazeti yenu kama vile watu wengine hawapotezi maisha ni bongo movies tu. KILA NAFSI itaionja mauti. Pumzika kwa amani Mzee Small..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad