Inawezekana hili likawa moja kati ya maswali uliyonayo na hujawahi kupata nafasi ya kumuuliza muhusika au inawezekana ikawa ni ishu ambayo umewahi kuisikia au kuisoma kwenye chombo chochote cha habari.
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ambae ni mtoto wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete kwenye exclusive interview na millardayo.com anasema >>> ‘kuwa mtoto wa Rais changamoto kubwa ambayo nimeiona mojawapo ni watu kukupa tafsiri ya vitu vingine ambavyo wewe huvijui, kumekua na malalamiko mengi sana kwamba huyu jamaa ana mali hizi na hizi’
‘Wanasema kampuni za mafuta, Oil Com, Camel Oil na Lake Oil ni za kwangu, sasa unajiuliza huyo mtu ambae anaweza akatengeneza kampuni tatu zinazofanya shughuli moja kwa nini asianzishe kampuni moja ikawa kubwa zaidi ?? kwa hiyo kumekua na manenomaneno mengi, hizo ni changamoto mfano kwenye siasa huku, watu wengi aidha hawajui nimetokea wapi au wanajitoa akili katika maana kwamba hawataki kujua nimetoka wapi’
‘Kuna kipindi unaweza ukashangaa Mwandishi wa habari anachukua kalamu anaandika maneno mpaka unashangaa kayatolea wapi? sitaki kuamini kwamba Mwandishi unaweza kuandika kwamba Ridhiwani kapata UNEC kwa sababu ya baba yake, ungechukua muda ukamsoma Ridhiwani vizuri ukauliza watu waliokaa na Ridhiwani, uliza huyu ameshawahi kuwa kiongozi??’
‘Wako watu ambao kwa kuwa wamemjua Ridhiwani baada ya Jakaya Kikwete kuingia Ikulu basi nao wanaanzia hapohapo Ikulu lakini hawajui Ridhiwani kabla ya baba yake hajawa Ikulu alikua anaishije, mimi nimekua naishi maisha ya kawaida nimekaa boarding school nimesoma Mkwawa baba yangu akiwa Waziri, nilikua na uwezo wa kwenda kusoma Ulaya lakini nimesoma chuo kikuu Dar es salaam pale japo nilikua na uwezo wa kwenda popote pale ninapotaka ila ni kwa sababu tu mzee wangu alitaka kuona naishi kama watu wengine’
Hujajibu hoja,hujaondoa.kiu ya watanzania kujua chanzo cha utajiri wako,japo umetaja makampuni matatu ya mafuta kutuchanganya.Ridhiwan tuambie uhusika wako kwenye Lake Oil inayoendeshwa na mpambe na rafiki yako Mosha.Pia ni kwa vipi unahusika na uporaji wa shirika letu la umma la UDA kwa bei ya kutupa?.Iweje Tanganyika kazi ni moja tu,kuiba na kukana,imagine mpaka leo haijulikani ni nani mmiliki wa Richmond,Deep Green,Kagoda na kampuni kibao za kitapeli?
ReplyDeleteRidhiwani kwa nini ni wewe tu na mama yako Salma kwa mara ya kwanza Tanzania nzima,ndo mliingia NEC bila ya kupigiwa kura eti mlipita bila kupingwa?
ReplyDeleteUday saddam Hussein,Gamal Hosni Mubaraka,Major General Kainerugaba Yoweri Museveni,Bilionare Gideon Arap Moi, Qussay al-islam Saddam Hussein, Saif Al-Islam Gaddaffi
ReplyDeleteMheshimiwa Ridhiwan Kikwete tayari huna kosa lakini unazo hizo tuhuma za ufisadi, maelezo yako hayatoshi kabisa kukuweka nje ya tuhuma hizo zilizotapakaa nchi nzima kuwa una utajiri wa kutisha. Kitaaruma wewe ni mwanasheria, unatakiwa maelezo yako yatuondolee mashaka ya tuhuma hizi, jitakase, jitakatifishe tukulejeshe katika kundi la wengi la WAKULIMA NA WAFANYAKAZI TULIOPORWA CCM YETU>
ReplyDeleteMambo yakurisishana nchi hayo Tanzania zaidi yauijuavyo wht next kulahela mpaka uridhike.uongozi mmemchagua wenyewe so stay tuned
ReplyDeleteMdogo wangu hapo umechokoza nyuki . Wajanja wenye kujua u
ReplyDeletedokozi wanakaaga kimya wanapochokonolewa mambo yao.....Umelikoroga dogooo.;
wewe kijana mzimu wa mwalimu unakusikia utakufa kifo kibaya sana wewe na familia yako yaani baba namama yako kwa kuwaibia watanzania wanyonge bila huruma.
ReplyDeleteukweli nikwamba bado kiu ya mtanzania hujaitoa tunaomba ueleze kwa undani tukuelewe mbona umetaja hzo kampuni lakini hujafafanua kuwa ni zako au sizako silazima kampuni iwe na jina moja kubwa kwani unaweza ukatofautisha majina kwa sababu nyingi tu kwahiyo tuambie kuweli wewekama hizo kampuni sio zako kwa kutueleza kwa makini sio kutupiga danadana
ReplyDeleteWatz wa sasa sio wa mwaka 47 we Ridhiwan na babako Kikwete na Salma wote wezi tu
ReplyDeleteTena umechukua tenda ya kununua mbaazi za wakulima wote babati na kuzuia wanunuz wengne na umeshusha bei toka sh 1000 hadi 600 kwa kilo ucvyo na huruma
ReplyDeleteWATANZANIA NI WAPUMBAVUU NAN ALIWATUMA MMCHAGUE HUYU KUKU MANA BABA AKE KAWAIBIA NA YY MNAMPA AIBEE SO WHAT NEXT KM SIO KURISISHA NCH MIKONON MWA KIKWETE FAMILY HUYU DOGO ANAKOELEKEA ATAKUA WAZIRI SUBIRIN MWONE MIAKA IJAYOO MTAJUUTA LABA LOWASSA ACHUKUE NCHI LKN KAMA HATACHUKUA HUYU DOGO ATAWAKALIA BABAYA BADAE..I HATE JAKAYA AND HIS FAMILY TO HELL
ReplyDeleteRidhiwani siku ccm ikiangushwa hapa.patachimbika,itabidi ujiue au ukimbilie ughaibuni ww 'a familia.yako.
ReplyDeleteWizi mtupu.
ReplyDeleteNani sio mwizi? Acheni roho ndogo. Btw..hatuwezi kuwa sawa. Mnategemea mtoto wa Rais awe sawa na mkulima? ,nchi gani duniani iko hivo..acheni pressure
ReplyDeleteNi mtoto gani wa mwl.Nyerere ni tajiri?
DeleteMatatizo yao binafsi. Mwaya Riz songa mbele. Tunakujua ulikuwa kiongozi toka chuo na tulikuwa tunapanda daladala wote..kamua kama inawezekana
Deleteumdhaniaye kumbe siyo
ReplyDeleteBila CCM tutayumba. Kamua Ridhiwani. if they can na wao waibe. as for ww kuwa mtt wa Rais na baadae km kuwa waziri nn shida. Baba na Mtoto Bush wa marekani wote walikuwa maraisi. Je Jk angekuwa daktari na Ridhiwani Nesi wangegoma kudundwa sindano. Acheni porrojaaa
ReplyDeletetatizo uyu raisi anakopi kutoka marekani uku aangalii nchi yetu changa sana sisi yetu macho atuna nguvu ila ile wao
ReplyDeletewe subil tu atasema yote maisha ya watanzania yanawalilia
ReplyDeletenon sense hakuna hoja za msingi.........wasomi gani hawa
ReplyDeletem naona upumbavu kusema riz anamiliki oil com na camoil au lake oil hapa tufanye mpango wa ss watz wakawaida kuwatoa hao watawala fake
ReplyDeleteLowasa akipewa nchi basi twafa,hyujamaa ni Sumu,ndg n'a Kagamé,waulizewaliowahifanyakazi mbulu nasehemunyingine
ReplyDeletemnauliza utajili?mtotowa nyoka nyoka tu,wanabank comoro,Richmond ya lwasa n'a kikwete. Fungukeni shika silaha.mwanasheriagani hajibuhoja?weziwote