Mama Kanumba kumfuta mdogo wa marehemu Kanumba "Seth Bosco" kwenye kampuni ya Kanumba

MAMA-wa Marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amemchimba mkwara mzito mdogo wa marehemu, Seth Bosco baada ya kuona amefanya kosa na kuamua kumtishia kuwa atamfuta kwenye Kampuni ya Kanumba The Great. 

Mama huyo pasipo kuweka wazi moja kwa moja tatizo, alisema kuwa kuna kosa kubwa Seth alilifanya na alishindwa kulivumilia hivyo kumuonya kuwa atamuondoa kwenye kampuni.“Ni juzi tu amefika nyumbani kwangu kuniomba msamaha nimemsamehe kama mtoto ingawa kwenye kampuni hatashiriki kwa sasa kwani ameanza kazi zake nyingine,” alisema.


Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mh!mama yetu acha basi mikwala, unapomsimamisha kazi utazifanya wewe mamaaaa!

    ReplyDelete
  2. Kame honga malaya hela za kampuni nin ? Funguka maza

    ReplyDelete
  3. Asante mama mtu akikosea unamuonya hakuna kumuonea haya maana kampuni ikifungwa watakucheka wewe kaza buti mama

    ReplyDelete
  4. Huyo mama me simuelewi kwanza ye akili yake mali tuu siku zote,kumbuka na ww utakufa utaziacha

    ReplyDelete
  5. daaa ni shida huyo

    ReplyDelete
  6. Kama mpaka leo hajatajirika na huo msiba wa mwanae basi tena we mtoto akikosa lazima ukatangaze we hizo kazi za movie unazijua au unasukumwa tu na tamaa ya mali.kumbuka mwenye mali ashatangulia mbele za haki na vyake vitamfata hukohuko mama chukua jembe kalime achana na mambo ya mjini kwanza kila kitu umekula mwenyewe huyo mtoto ulimuokota porini hana baba

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad