Mambo 6 kutoka hapa Durban South Africa kuhusu Diamond Platnumz na tuzo za MTV

Wote mpaka sasa tunafahamu toka siku nyingi kwamba Diamond Platnumz ni mwimbaji pekee kutoka Tanzania aliechaguliwa kuwania tuzo kwenye tuzo za MTV BASE ambazo zinatolewa leo June 7 2014 hapa Durban South Africa ila kuna mengine mapya yamejitokeza hatukuwa tunayafahamu.
1.Diamond alipokelewa kistaa na kama mastaa wengine wote walivyopokelewa ambapo meneja wake Bab Tale anasema ‘imefika sehemu unaona kabisa jamaa wanatukubali sasa hivi, Airport tumepokelewa na magari matatu… mi sijawahi kupokelewa na kuendeshwa na Mwanamke mzungu yani ila kiukweli Diamond amepokelewa kifahari kama wengine’
2.Babtale amethibitisha kwamba Diamond ndio atakua msanii wa kwanza kufungua show leo kweye utolewaji wa tuzo hizi ‘kitendo cha msanii kupewa nafasi ya kufungua, kwa sababu MTV ni kubwa…. kitendo hicho ni kikubwa kwa msanii pia‘
‘Wakati wa mazoezi tulikutana na  Mafikizolo wasanii kutoka Afrika Kusini ambao wamekuja wenyewe kuomba kolabo na Diamond, wao wenyewe wanasema bwana tunaomba kolabo na wewe…….. sisi tulitakiwa kurudi bongo Jumapili lakini wao ndio wamesema watalipia gharama za sisi kuendelea kukaa hapa na mabadiliko ya ticket yetu ili turudi Tanzania Jumanne’ – Bab Tale

‘Hatukua tunajua kwamba Diamond ndio atafungua show kwenye utolewaji wa tuzo hizi za MTV, jana wakati tukiwa kwenye mazoezi ndio tukaambiwa’
‘Muziki unahitaji elimu na kujitambua, hata Mafikizolo walivyokuja kwetu wanasema kabisa wanahitaji umoja wa Afrika wakati nyumbani bongo tu yenyewe kwa wenyewe hawazimiani, Mafikizolo walivyofanya mkutano na waandishi wa habari yani kwa jinsi walivyoelezea kuwa na ndoto ya kufanya kolabo na Diamond….. imeonyesha ni jinsi gani Diamond ana nguvu’ – Bab Tale
Msimamizi mwingine wa Diamond ni meneja Mkubwa Fela ambae amethibitisha kwamba kwenye safari yake ya kuja South Africa ameambatana na Watanzania wengine saba ila kilichomfurahisha zaidi ni kwamba amekuja kukuta washkaji zake zaidi ya 20 wanaoishi Durban wameshanunua ticket tayari kwa ajili ya kumshangilia Diamond’
Wakati wa chakula cha jioni, Ommy Dimpoz ambae nae yuko hapa Durban alitania baada ya kuisikia hiyo habari kwenye AMPLIFAYA na kusema ‘yani sipati picha Diamond akishinda ile tuzo, shangwe zitakazotoka kwa hawa wabongo ni kama goli la Taifa stars’
Watanzania waliofunga safari kutoka Tanzania mpaka Durban ni pamoja na Wema Sepetu, Aunt Ezekiel, Bab Tale, Salam ambae pia ni meneja wa Diamond, Mkubwa Fela, Watangazaji Sam Misago, B12, Adam Mchomvu, Millard Ayo, Shadee lakini pia Nancy Sumari na mpenzi wake Lucas, Ommy Dimpoz, Shetta na mpiga picha Michael Carter Mlingwa.

Post a Comment

30 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. heeeee haya diamond inabidi tukubali tu kilazima we mkali best wishes!!!!

    ReplyDelete
  2. Jaman Diamond anapendwa mm npo Germany tena ni vijijin bt u cnt believe wimbo wa nataka kulewa na ukimwona zinavyopendwa kupigwa bar na hz nyimbo ni mwanafunzi tu frm bongo kazileta

    ReplyDelete
  3. Afadhal kakosa maana tusingelala mara team wema,mara team diamond,magazet yangekuwa yeye mwez mzima tungeambiwa ziara kichukua tunzo imegharimu milion mia na wakati kapelekwa bure!kiukwel devido anastahili tuzo kaishika Africa,diamomd tunamjua sisi Africa magharibi na kusin hawamjui,kavideo kamoja na collbo moja tusione ndo kashavuka mipaka!alikba kaimba na r.kelly itakuwa devido

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wivu + Joto Hasira

      Delete
    2. hahahaha chezea davinow we apeleke uko misifa ya kijinga

      Delete
  4. Haya we mzalendo mbona hujapiga kura!bado bwana mdogo kwenye soko la kimataifa anakuzwa na vyombo vya habari

    ReplyDelete
  5. Dah kwa kweli afadhali kaikosa. Kwa maana hayo mashauzi ambayo tungepata mbona tungekoma. Na hivyo vikandambili akina Wema na sijui Aunt Ezekiel alivyovibeba na uchafu uchafu wao eti kwake yeye ndio entourage yake....lools......wameenda kupeleka mavumbi yao na uchafu wa Mbagala pale Durban. Halafu majamaa wamewashtukia. Arudi haraka hapa Bongo na aendelee kuimba mchiriku wake ambao sisi huku tumeishauzoea. Eti kolabo....kolabo aje aimbe na mapaka shume wenzake akina Ommy Dimpoz huku na sio kwenye nchi za watu.....looools....

    ReplyDelete
    Replies
    1. huu ndo ujinga wet wa Tanzania,At least mwenzetu amejaribu kujitangaza ktk solo la kimataifa,Tue na uzalendo wa kupenda na kuthamini vya kwetu na so kila kit kukandia tu pasipo sababu ya msingi,ukweli uongelewe hata km hautopendwa,kwa wasanii walioko ktk Industry ya mziki Tanzania Kwa salsa Diamond anajitahidi na alipofikia ndugu yet so padogo,inafaa tumpongeze na kumpa moyo,tuwache chuki binafsii....haitisaidii kitu.amejaribu na angalau wa south Africa wamrshaelewa km Luna msanii anaitwa Diamond from Tanzania...huko undo kujitangaza kimziki,wasaniu wakubwa wakubwa wanakosa tunzo na wana move on.kukosa tunzo sio kigezo change poor perfomace...tuwe na uzalendo

      Delete
  6. Inabidi aje ajiandikishe Shule. Kwa sababu Elimu yenyewe hana ya kushinda hizo International Awards. Basi at least afikie hata College level kama hawezi pasua Uni. Hivyo vijisenti vyake inatakiwa aka invest pale kwa Shule. Aaachane na tabia za Mbagala za ku invest hela kwa hivyo vikandambili vichafu vichafu ( Wema na Aunt Ezekiel).

    ReplyDelete
  7. Wacheni chuki na Majungu Wabongo! Infacts Dimond yupo juu Tanzania nzima hamna anaemuweza,uyo Ally kiba kafika hapo alipofika Dimond angalau kushiriki tu,kuweza pia kuwa Nominee wa BET award kunadhihirisha jinsi gani DIMOND alivyokuwa juu kimziki,na hata km hatoshinda hizi awards zote mbili haimaanishi km kaangukia PUA,ila ni First time PERFOMENCE,aloshindana nao pia sio wasaniii wadogo kiivyo,Mm binafs najivunia efficiency ya DIMOND kwa mziki wetu Tanzania....ni sawa na Bidii alizokuwa anazifanya STEVEN KANUMBA wkt wa uhai wake,aliifkikisha Tanzania sehem nzuri ktk Tasnia ya Filam,leo hayupo watu ndo tunauona mchango wake km ulikuwa muhm kwa nchi yetu....Respect bro Dimond.....Don't Give up,Safari moja huanzisha nyengine....Next tym yu will be Good.....Congratulations!

    ReplyDelete
  8. Wanasubir afe ndo wakubal kuwa dai mkali...wasenge manyoya nyie.....dai katufuta jasho watz mamae zenu kumsusha haiezekan afu kila siku ndio kwanza anapanda thaman....tan kila siki mtamu zaid ya Jana...as nyie mikundu kuwaka na team kuachwa mtasubiri sana mamae

    ReplyDelete
  9. shida imeanza walipopewa ofa ya kusafiri bure na fastjet. basi wapambe nuksi wakarundikana, na huyu omy dimpoz sijui kawa bodyguard wa diamond, kila anapokwenda ye yupo matakoni na jana eti alikua anamuimbia diamond ili ashinde. Hao wapambe nuksi na wapambe ndo wanaleta gundu!!

    ReplyDelete
  10. av accepted defeated bac.mlionipa support ahsante ila bado ntajikaza.i hav a long way to go actually.A good master Of the English language is a recipe to winning International Awards,av realised..Narudi kujifunza Kigereza...alafu nyie walala njaa jaribu kucomment Kingereza kwa page Ya BET

    ReplyDelete
  11. Mbona P- Square hawajachukua tuz hata moja inamaana hawajui? Mikundu ya mama zenu.

    ReplyDelete
  12. Mungu akutangulia Diamond, amekuwezesha kufanya mengi mazuri naamini ktk hili pia atakusimamia. All the best brother.

    ReplyDelete
  13. Huyo diamond mwenyewe hana uwezo kama ally kiba wakati yy kipaji chake kinakuzwa na vyombo vya habari ataweza kumshinda davido hiyo ni ndoto jamani

    ReplyDelete
  14. Nabii hakubaliki kwao.....diamond kaza buti ipo cku yatakuwa tuuu

    ReplyDelete
  15. diamond ni msani mdogo sana!tatizo amelewa sifa anazopewa na vyombo vya habari.

    ReplyDelete
  16. Mafikilozo wanamjua Alikiba au mnashoboka tu.diamond msaan wa kmataifa east africa hakuna anayemfikia.davido halistaili tuzo.lkn mwenyewe kijasho kilimtoka chezea waasaf but next time atawin

    ReplyDelete
  17. nilishasema hapo nyuma kuwa Tanzania hatuna celebraty hata mmoja.Vyombo vyetu vya habari ndo vinawaharibu hawa wasanii wetu na kujiona wako juu na kulewa sifa zisizo na mshiko.
    Huyu Diamond tunamjua sisi tu hapa East Africa.Hawezi kujulikana kwingine sababu Haimbi kiingereza (local artist).Hizo nomination mbili alizopata ni kwa sababu amejilazimisha kufanya collabo na msanii mkubwa anayeimba kiingereza Davido.na collabo yao isingeshinda kwa sababu wameimba viruga.
    Watanzania tubadilike tuache kujikweza tuachane na magazeti ya kijinga.vinginevyo huyo Diamond atarudi kuwa kama Mr Nice tu

    ReplyDelete
  18. Hongera diamond lakn kingereza kaka, cjui kwenye intervw uwa inakuaje soma bas

    ReplyDelete
  19. yani mijitu ni joto jumlisha hasira d yk juu kuna msanii gan amefikia level ya d hilo li aly k liko wapi sasa hv big up diamond kwako watasubiri sana

    ReplyDelete
  20. izo promo tu AY kawai shindania izo tuzo za MTV akufanyiwa promo ivyo acha sifa dimond ww

    ReplyDelete
  21. Izo promo 2 d bado mchanga sana ila2 media za hapa bongo zna mbeba mbona CPWAA na AY walishawania lkn walpo shndw w2 hawakuonge inamana jinsi m2 unavyo jigamba ndvyo w2 watakujaji kama sasa huyu bwana mdogo d ivi mmlitegemea amshide davido kwa kiwango gan alchonacho au nimlzan nimagzt ya udaku yanashdanisha msani mwenye vimbwanga na skendo nchn kwao ingekua hvyo ange wn mdogo wang d zilen intrntn awards sio za local na mprsntr wabgo achn ushankunanku mlfatan nanyinyi ndyo mna mhrb dgo kwakumdanganya anawza kmbe bado sana snyny mnao mbeba sa2 yako wp1? Na ww unayesfiwa unaweza ally k anza sasakuonesha uwezo, Cpwaa umenda shl game lanje unawza kulmudu ka9a.Nihayo 2

    ReplyDelete
  22. diamond nmelia xan ulpokoxa tuzo ila nmefurah xan kwajins ilivyokuw kweny xhow na xhughul nzm nakupenda xan naseeb mungu akupe neema nyingi na akuzdishie mafanikio mengi na maisha marefu.

    ReplyDelete
  23. Can sum1 tell me in simple english wat u guys r complaining bwt wat Diamond dd n wat Mafikizolo had 2 do wth it plz m begging url

    ReplyDelete
  24. Am a kenyan bur namkubali dy sana mbona wa tz ivo hampendi mastaa wenu kabisa u have to support them for them to. Shine. Bryter big up naseeb nakufagalia sana

    ReplyDelete
  25. Hallow wa TZ,do you believe kuwa English ndio tatizo la Diamond kukosa tuzo,if so mbona miss wold ,CNN,huwa sio lazima English?Hata kama anaongea broken lakini kaeleweka,tatizo bado mchanga,asaidiwe akue.

    ReplyDelete
  26. kuma nyie,xubrn muonea bum bum ya diamond ft inyanya ndo mtaxbitxha kua jamaa n noma

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad