Maskini Penny Yupo Hoi Kitandani Apumulia Mashine

Ni siku ya tatu sasa yule mtangazaji wa Radio mpya ya EFM na ex-girfiend wa Diamond Platnumz , DJ Penny akisumbuliwa na ugonjwa wa Asthma  na hali yake kwasasa bado haijawa nzuri.

Kwasasa penny anasaidiwa kupumua kwa mashine kutokana na Asthma hiyo kufika pabaya.

Mungu amsaidie DJ Penny aweze kupona mapema na arudi akiwa mwenye  afya njema
CREDIT : VIBE

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole penny mungu akuponyee.nyie team ushuz sikilizia mtakavyoharisha nakunya nakujamba.

    ReplyDelete
  2. Kuachwa kuachwa kuachwa ni shughuli pevuuu hana ugonjwa wala nini kamloga dai weee amrudie kaona harudi anakulaa bata na wema ndo presha inapanda utakoma mbwa wewe kuiba wapenz wa rafikio na bado kundu lako

    ReplyDelete
  3. kwani penny alikua shoga ake wema?

    ReplyDelete
  4. We fara mbona una harisha?

    ReplyDelete
  5. Anonymous 1.10,walikuwa mashoga hasaaaa.
    chezea Diamond !

    ReplyDelete
  6. kumbe basi diamond mshenzi vilevile

    ReplyDelete
  7. tusubiri wadudu wakianza kucharuka.

    ReplyDelete
  8. Mtoto mzuri....mbona huendani na jina lako?? Bwana mpe pole mwanamke mwenzako..hayo ya kuachwa kwake Penny ww hayajakuongezea chochote wala kukupunguzia....kwa sisi watanzania wapenda Amani tunasema Pole sna Penny inshaallah allah atakupa afueni

    ReplyDelete
  9. Kikubwa ni pole na kumuombea Penny apone,ni mwenzetu kwa namna yoyote mtake,msitake,watakaochochea ujinga mwingine waalaniwe,waugue wao.roho mbaya tu

    ReplyDelete
  10. Mmmmm...pole penny

    ReplyDelete
  11. penny ugua pole dada,,, mtoto wa kingazija nackia unawivu mkali sana kwenye mapenzi dah

    ReplyDelete
  12. Yoote Ni tamaaa alidai Mali za diamond anashare nae sasa share imekufa presha inapanda,Huyu penny ,jambo linalokuepuka ktk maisha shukuru Mungu,unaona ya Vicky kamata?

    ReplyDelete
  13. Diamond Yuko south Africa anakula bata na baby yake

    ReplyDelete
  14. W n D nyoko, wanajikula bata Tu south

    ReplyDelete
  15. Hahahahaaaaa.....mnachekesha sana.....pole sana DJ penny

    ReplyDelete
  16. D loves p.....get weliiii suuuniiii vjay ndo ukubwaaa ukikjua kukwapua ujuage na kuwa mvumilivu unapokwapuliwa na we..presha isipande mchezo ukizingatia hta bagamoyo hajawah kupelekwa na bebi

    ReplyDelete
  17. mwe penny pole mamy ila nahis unajuta moyon kumkubali diamond we c ndo ulimwambia wema "tuache tulale" ona sasa watz wanavokuzodoa lkn get well soon kila mtu ana mapungufu!

    ReplyDelete
  18. Huyu nae kwa mikope feki sijui asipoweka atafananaje,.ugua pole lkn

    ReplyDelete
  19. P. pole ma baby,i will always love you,i promise.

    ReplyDelete
  20. Nani alimfata mwenzake kati ya diamond na penny?

    ReplyDelete
  21. werawera chezea kuachwa roh inaum na itang'oka pumbf kumroga mtt wa wa2 mwixh mmuue xaxa roh diamond na wema wanakula bta we wapumulia machn potelea pote but polee!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad