Maskini:Mwanafunzi wa Chuo Anusurika Kifo Baada ya Kuchomwa Moto Akidhaniwa ni Mwizi
10
June 25, 2014
Imagine guys kuna this guy mtanashati anasoma chuo cha ruaha a.k.a ruco huku iringa. Alikuwa sheria mwaka wa nne. Ameitiwa mwizi kumbe sio akachomwa moto. Ameungua ila hajafa, hivi ndivyo alivyo..
Tags
Dah inasikitisha, hz sheria watu wanazojichukulia mkononi ni shida, maskini sijui km atamalizia chuo maana keshaathirika kisaikolojia kurudi km mwanzo itachukua muda.
ReplyDeleteDah inasikitisha, hz sheria watu wanazojichukulia mkononi ni shida, maskini sijui km atamalizia chuo maana keshaathirika kisaikolojia kurudi km mwanzo itachukua muda.
ReplyDeleteDaaah!
ReplyDeleteKwani mwanachuo hawezi kuwa mwizi,tupe mazingira ya tukio
ReplyDeleteDuh!
ReplyDeleteDAAa
ReplyDeletekwa nini ahisiwe yeye ina maana hawakuwepo watu wa karibu ku identify yeye ni nan?au kweli alikuwa kibaka?kwa nini yeye afuatwe?
ReplyDeletestori ilielezwa vizuri kwenye magazeti ya tarehe 24 june 2014, alikua ametoka kuangalia mpira kombe la dunia anarudi chuo alipopita sehemu kuna nyumba ya kulala wageni na glosary akawa anaingia glosary ndio walinzi wa sehemu hiyo akiwemo mmasai kuhisi ni mwizi kwasababu ilikua ni usiku sana wakaanza kumkimbiza ndio kumtia moto kijana wa watu. tumuombee apone na apate msaada wa kwenda nje akafanyiwe sugery
ReplyDeleteHii picha kuna mahali nimeiona nafikiri ni jamii forums alikuwa anaomba msaada wa kwenda India ilkuwa kabla ya world cup na wakarudi kutoa feed back wameshapata 1.7m mbona kama wananichanganya tena walidai ni mzenj
ReplyDeletemmm au ishu ya mademu wenzie wakamfanyia maana mambo ya chuo bwana hasa kwa iringa I know how they are,coz kwa hali ya kawaida wananchi najua hawawezi kumsulubu mwanafunzi hivi mbona wanafanya mabo mengi ila huwa wanapelekwa vituoni there something behind
ReplyDelete