Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere, akiwasili katika Hospitali ya Kairuki kusubiri mwili wa marehemu. Steve alivalia tisheti yenye ujumbe 'Why always me'
Mke wa marehemu Tyson, Beatrice Shayo akiwa na simanzi wakati akiusubiri mwili wa mumewe.
Wema Sepetu akihojiwa na mwanahabari wakati wa kupokea mwili wa Tyson.
Mwigizaji Aunt Ezekiel naye alikuwepo kupokea mwili wa Tyson.
Msanii wa filamu za Kibongo, Kelvin akihojiwa kuhusu alivyopokea taarifa za kifo cha mwongozaji filamu, George Tyson.
GPL
Ni kweli Kazi ya Mungu haina makosa, lakini ukiangalia kwa undani wa hiyo misiba yote ya Bongo movie ni preventable/inaepukika, lakini kwa sababu ya negligence iliyojaa katika nchi hizo changa na kimaskini ndio kwa maana inatokea. Is like people don't care, from the top (leaders) to the bottom (ordinary people).......anyways RIP George Tyson!
ReplyDeleteWe chizi kweli kila mtu kaandikiwa siku yake ya kufa,usipingane na muumba
Deletehy yatupasa kuwaombea wasanii wetu manake wanakufa sana
ReplyDeleteNamhurumia Kicheche (Wema Sepetu) anavyopata shida na kuhudhuria misiba ya watu. Anahudhuria tu lakini sio kwa kupenda kwake. Halafu anaonekana amezeeeeka, sijui ni kwa sababu ya kuhudhuria misiba. Jamani Kicheche anaonekana Kijeba.
ReplyDeleteYani ww mkundu wote ukuwaona umemuona wema usituchanganyie habari apa chuki zako binafsi huko mbweha we
DeleteMbweha babako mdogo. Mke wa marehemu George Tyson anaitwa Beatrice Shayo na sio Kicheche Monalisa. Upo hapoooo mbweha mkubwa weeee
DeleteLulu Michael Kanumba jamani yuko wapi?? Mbona haonekani kwenye Misiba ya wenziye???? Yuko kajificheni gani huyo mtoto?????......Kwa kweli tuna miss yeye na hizi Stress za Misiba.
ReplyDeleteChonde Chonde Steve Nyerere asije kumpiga mtu ngumi kwenye huu msiba. Huyu Mwenyekiti majangaaa.....
ReplyDeleteNilitaka kushangaa George Tyson na u handsome wote Huo akose mke pamoja na Mona kumpiga chini mumewe Wa ndoa tena ya kanisani,
ReplyDeletePole mwaya Beatrice shayo
ReplyDeleteJamani tuombe mwisho mwema na hili ni funzo kwa wote mauti hayana saa muda wala tarehe mda ukifika hayana hodi.
ReplyDeleteDu mi sitaki kufaaaa jamaniiii Mungu nisikilize sala zangu,ibilisi mtoa roho za watu ushindweeee na ulegeee
ReplyDeleteVifo vingi bongo vinaweza kuepukika ,hakuna ubishi ,japo Mungu ndie mwamuzi,ukiangalia ajali na uzembe,na barabara zetu,hakuna hata uzio sehemu nyingine,mitaro iko wazi,alama hakuna,
ReplyDeleteWatu hawacheki afya zao,for sure,we are behind the world,we can avoid most of the death,
Huduma ya kwanza watu wafundishwe ,mashuleni,mtaani,,vituo vya mabasi,nimeshuhudia haya mambo ,jamii iko mbali a hiz