Mbowe na Viongozi CHADEMA Wahudhuria Warusi ya Nassari, Wakwepa Msiba wa Mama Zitto

Kweli Dunia ina mambo. Hivi karibuni kulitokea msiba wa Mama yake Zitto Kabwe huko Kigoma lakini jambo la kushangaza viongozi wa juu wa Chadema akiwemo Freeman Mbowe hawakuweza kuhudhuria lakini la kushangaza leo ameweza kuhudhuria harusi ya Joshua Nassari huko Arusha.
Kutokana na hili unapata picha gani juu ya Chadema na viongozi wake?
Tags

Post a Comment

36 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Picha gani wapi wewe kima acha kutuchonganisha msenge wewe umetumwa na mafisadi sio!kwani wewe unapata picha gani mpaka uje upost uharo wako humu?tango pori wewe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. fisadi baba yako mboye mpenda pilau si mazishi ya watu wake kaoge km limekukera au kunywa maja nyangau ww

      Delete
    2. Chadema ilimuuguza mama.Zitto,ikatoa rambirambi nono na kupeperusha bendera nusu mlingoti,ni heshima tosha!

      Delete
    3. Sooo,kwa hiyo kwa kuwa mama zitto kafariki,Nassari asioe.na viongozi wa chadema wasihudhurie? Ni umaskini wa fikra!

      Delete
  2. hahahaha fitin mpaka kifo kwel kazi ukiona mwenziyo kanyolewa ww tia maji mfyuuuuu aibu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msiba wenyewe ulipelekeshwa fasta.na.zitto kukwepa aibu na kujitafutia.huruma.

      Delete
  3. Hahahaaaaaaaaaa!!!! Mdau hapo juu umenichekeshaje, inaelekea unahacra Sana mana mmmmmhhh!!!!

    ReplyDelete
  4. Shule inasaidia sana....ni vzr kujua unachokifikiria kabla hujakomenti....hapo unajua kuwa kuna ufinyu wa fikra na kupenda kuropoka tuuu.....haisaidii kutukana.....na pia matusi si dawa bali ni kujikusanyia mazambi tuu kwa kumtusi mtu bure...

    ReplyDelete
  5. hahahaha kati ya pilau na kilio bora nn hahaha chezea mboye ww wengine mjifunze ata km aliwakosea kweli mpaka kifo bado uwadui mmmh makubwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakika chadema haina maisha marefu. sitaki tena. mambo ya siasa

      Delete
    2. Hakika chadema haina maisha marefu. sitaki tena. mambo ya siasa

      Delete
    3. Hakika chadema haina maisha marefu. sitaki tena. mambo ya siasa

      Delete
    4. Chadema haitakufa wewe ukiwa duniani.

      Delete
    5. We ndo maiti tembea. Unaangalia chini kama kuku huwezi kuona mbali. @Nkya

      Delete
  6. Samani sana,Kwani Zitto ni Chadema jamani? Zitto.si chadema,hajawahi kuwa chadema moyoni na kamwe hatakuwa chadema.Aendelee na.hicho chama chake cha ACT anachotembea nacho mfukoni mwake (briefcase),kinachafadhiliwa na.ccm chini ya ulezi wa sokwe mtu Steven Wassira.

    ReplyDelete
  7. Unaweza ku comment kitu ukajua ni kidogo,lakini ......nyie ndio mnasababisha watu wasiwapigie kura katika chaguzi mbalimbali

    ReplyDelete
  8. acheni kutukana nyie,kweli chadema hawajatenda haki hata kama walikua na ugomvi na zito ila mama yake c mjumbe wao wa kamati kuu? kwelu unasusia msiba kisha unanda harusini,tuache siasa za aina hii jamani

    ReplyDelete
  9. yaaaan ni aibu hawa wakipata nchi watatuua kabisa roho mbaya gan iyo kwa njua iyo ajatupata kabisa heeee makubwa kumbe awajaenda kweli aibu kwao ata ww!!!

    ReplyDelete
  10. chadema z getting worse,nawakubali xana ila huo ni use....ee wanafanya

    ReplyDelete
  11. Ni vibaya kutokuhudhuria misiba, watu hupatana misibani lakini nyie mnakoleza chuki kipindi cha misiba heeeee nyie watu wa ajabu jamani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau hapo juu umenena.

      Delete
    2. Hivi wangeenda huko msibani na wakapigwa mawe na mashabiki wa zitto???
      Wanalijua hilo ndo maana walisepa

      Delete
  12. Kwani harusi na msiba vilikiwa kwa wakati mmoja? mbona msiba umepita karibu wiki sasa na harusi ilikuwa jana sasa mlitaka kwa vile hakwenda msiba na harusi pia asiende ndio mfurahi kwani nyie ndio mnaratiba ya mitoko yake .fanyeni yenu muache kuhukumu msiyoyajua mbona zito mwenyewe hajaongea au nyinyi ndio mna uchungu kuliko zito mwenyewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Au mbona zitto hajaenda kwenye harusi??? Alinyimwa kadi au?.
      .bwahahaha

      Delete
  13. Jaman watu wa kgma walisema hawataki kuwaona viongoz wa cdm huko, hata kama n wew utaenda? achen kuchafua watu wadau.

    ReplyDelete
  14. WEEE WACHAGA UNAWAJUA? SISI WACHAGA HATUINGILIANI NA KABILA LOLOTE HASA LA HAWA WAHA WA KIGOMA WASIOKWENDA SHULE,MASKINI, HATA BARABARA HAWANA YAANI SISI TUTEMBEE KWENYE VUMBI? NO, NO. KWANZA HATUWATAKENI NYIE WATU WA KIGOMA KWENYE CHAMA CHETU. KAMA TUKICHUKUA NCHI TUNAUA WAHA WOTE ILI KUTOKOMEZA KABILA HILI LA WASALITI

    ReplyDelete
  15. Anonymous 9:52pm samahani wadau, nimesahau kuandika jina langu,mimi naitwa mheshimiwa Mwigulu Lameck Nchemba.

    ReplyDelete
  16. Du! Amakweli dunia ni tambara ...... walimwengu hawana wema msiba umeisha watu wasubiri mpaka tanga ndugu tuwe waungwana mbowe big up

    ReplyDelete
  17. achene usenge. kwanza aliye post uharo huo ni kuma. nasri kapata mke imekuuma nini. kazi kufatilia ya watu,

    ReplyDelete
  18. mbona zito hakuudhulia mazishi ya wale waliofariki kwa mabomu pale arusha!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hio nayo Point

      Delete
    2. Zitto pia hakuhudhuria msiba wa dadake mbowe aliyefariki kwa ajali ya gari mkoani Tanga.

      Delete
  19. chadema ni wa kupigwa chini tu,

    ReplyDelete
  20. Chadema ishapoteza mvuto, chama cha wachaga hicho full udini na ukabila puuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad