Mbunge Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Samwel Nassari amefunga ndoa

Mbunge Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Samwel Nassari amefunga ndoa na Anande Nko kwenye Kanisa la Pentekoste lililopo Kilinga, Arumeru ikifuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika Viwanja vya Usa-River Academy jirani na Hoteli ya Ngurdoto.
Sherehe hiyo ilianza mishale ya saa 7:00 mchana ambapo watu wote walialikwa wakiwemo ndugu, marafiki, jamaa na wananchi wote wa Arumeru Mashariki ambao wamepiga ‘mpunga’ wa kutosha na vinywaji hadi kila mtu akaondoka akisema ‘Nassari ameacha historia’.
Tags

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aaaaaah haaaaaa mchagua Nazi uchagua Korona!!! Aluuu alichumbia Kila kona akapigwa kona!!! Wewe wapi Glory" Zion""" chezea

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haaaaaa Glory kaaya??? Wapi na Wapi angeonekana Bibi mzaa baba!!! Duuu hamna MVUTO Hapo sijapenda mwanamke Si mrembo, ila tunavyomfahamu Huyu Nasari Huyu dada Aombe sn pepo la Uzinzi!!!! Aweke pamba kwenye maskio

      Delete
  2. Hahaha wap paselina jaman dah!kaa mwagwaaa Nasari ni nooouma

    ReplyDelete
  3. Huyoo ni mdogo ake bana mke wake ni mzuriiii sana ttena msoomi ni mwanasheria

    ReplyDelete
  4. Mmependeza au vipi siyo suti kila Mara.

    ReplyDelete
  5. Nassari nakupa dole.'Alichounganisha Mungu binadamu asitenganishe'

    ReplyDelete
  6. Hamna lolote wivu tu mikundu yenu wewe 9:42 unawashwa peleka mkundu ukapate kifilo ulale ulitaka amuoe mama yako? Sura yako mbovu ka pumbu nyambafff!

    ReplyDelete
  7. Nassari alimualika Sioyi Sumari lakini hajafika mpaka wakati.nimelewa bia 12.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Si Arusi ya kilokole hii jamani???

      Delete
    2. Walevi tulikunywa bar ya jirani iitwayo.Mazengo Pub.

      Delete
  8. Wivuuu tu, mlitaka muolewe ninyi? mkewe mzuri na ni bonge la model. Mjipangeeeeeeeeee na zenu tuwaone wenu.

    ReplyDelete
  9. Nimeipenda sana mkao wenu big up 4 U , Kaka Nasare.

    ReplyDelete
  10. Mh Nasri, what a big step in life. You have started another journey of family life, the life of commitment, fidelity and love. May God be your guide and protector, may He always be at the center of your family.
    I wish you also amazing political life, be a man of the people and for the people. May your political ambitions bring change and development.
    Happy Marriage! Auguri! Bravissimo! Molto felice per te e il tuo moglie!

    ReplyDelete
  11. achen siasa za maji taka.mpeni hongera mwenzenu..HONGERA NASARI

    ReplyDelete
  12. Hivi yule mzungu kibonge vp mlimwagana au?nakuuliza nasari

    ReplyDelete
  13. hongera bro nasari!thats very great step in life,but just to remind u!marriage is full of challenges!just after that ceremony there,everyone gone in her and his home!and u and ur life hav to stand for eachother forever!and for better and for worse!welcome into this wolrd!just comitment and prayers are weapons!with that im sure u and anande wl make it.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad