Flora Mbasha alikuwa na mchumba anaitwa Imma Lushanga Ambae Baba yake ni Mmiliki wa Mabasi ya Lushanga huko Mwanza kabla hajaja Dar akiwa amechumbiwa tayari Wiki mbili kabla ya kufunga ndoa Flora akapata safari ya kwenda UK ambako wenyeji wake walimshauri kwamba kwa uzuri wake atapata Mume mzungu mwenye pesa kuliko Imma yule wa Mwanza. Ili kumkimbia Imma Flora na familia yake wakamtengenezea ishu Imma mchumba wake kwamba ana Ukimwi kwa hiyo Flora hawezi kuolewa naye, Hii Nakumbuka ilikuwa Stori kubwa Sana Mwanza Kipindi Hicho zaidi ya Miaka kama Kumi na nne iliyopita mpaka leo Imma hajawahi kuoa tena na wala hana hamu
Mchumba wa Kwanza wa Flora Mbasha Afunguka, Kumbe Nae Alibambikiziwa Skendo
33
June 05, 2014
Tags
mmmmmhhhhhhh makubwa haya!!!!!!!!!!!! wacha muvi lienendeleeee
ReplyDeleteWalokole wengi ni feki,flora mbasha na mchungaji Gwagima wameokoka kuanzia kiunoni kwenda juu tu,chini ya kiuno ni ikulu ya shetani.poooo!
Deletehapo utatungwa uongo wa kila aina cha msingi yataibiliwa ha yaliyokuwa chini ya uvungu kaaaaaaaaa sipend kwani alikuwa wapi kuyasema siku zote mpaka aone moto unawaka ndo anasema anasikia njaa acheni ndoa za wenzenu na nyie tafuteni zenu kaaaaa!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHa ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Lete mamboooø!!! Jaman mi napitaa tu.
ReplyDeletemambo mengine bwana,kwa nini imma asingepima akapeleka vipimo kwa mchungaji wao kama walivyochumbiana?mbona baada ya hapo Imma kila anapochumbia akiambiwa kupima ukimwi akawa hataki,kwa nini?mwanamke ni flora tu,msitudanganye hapa.mbasha kabaka.
ReplyDeleteUndeni team mbasha na team flora tuone nani atakua na followers wengi
DeleteMmmmmmm.....kama ulikuwepo
ReplyDeleteKwa uzuri upi alokuwa nao mbona hakupata huyo bwana huko alipokwenda haya huyo mzuri Mbasha ndio matokeo yake haya,malip[o hapahapa duniani
ReplyDeletenakumbuka hii kitu vuzur na wakazi wa mwz wengi wanajua
ReplyDeletehuu uvumi uliotokea ila nilikuwa sijui kwenye hiyo familia kuwa ni flora
Frola Mbasha kinywa kinaimba injiri anonekana kuwa karibu na pepo kumbe sio kweli kwa kuwaliza wanaume. Mwizi zake ni arobaini, sasa zimetimia pole Emma Mbasha kwa kusingiziwa.
ReplyDeleteDuuuh.Hugo Imma hajasema uongo yaani ni very true. Sie wetu wa Geita tulijiandaa kwa harusi ghafla harusi ikaota mbawa kisaaa bwana harusi kaathirika
ReplyDeleteNi kweli yani nimekumbuka mbali enzi hzo cc tupo mwanza sec doo frola alikuaga anajiona mzurii puuuu ila alivyokuja dar na ubonge wake katulia frola hana upole wowote ni mshenzi tu. Afu alikuaga anajitongozesha kwa wanaume loh Frola badilika Imma bora umefunguka malipo ni hapa hspa
ReplyDeleteImma mshenzi tu hana hamuvya kuoa wakati kweli muathirika na dawa anachukua kituoni kwetu, acheni ukweli utajulikana kama mbasha kabaka au kagusa tu.
ReplyDeletempendwa hri ungemomba mbasha talaka kimya2 kuliko unavyozalilika hukutumia hekima ya kimungu ukaamua kutumia hekima ya kidunia haya sasa aibu au nawewe ni msani ulitaka kujichora
ReplyDeleteYaani wanawake wanamatatizo sana....mungu mlaani flora kama kweli amemtengenezea zengwe Ahmed wetu
ReplyDeleteahmed gani tena, duh watazuka wengi safari hii, maana kaanza mbasha mara kaibuka ima, tena ahmed.....hahahaaaa wacha movie iendelee
ReplyDeleteangeiga mfano wa bahati bukuku mbona katalikiwa na bado tunampenda na nyimbo zinafanya vizuri.maisha yake yanamuendea watu tumeelewa tu kuliko hii aibu ya mbasha.
ReplyDeleteDizaini kama flora ametoka nje ya ndoa......so lazima moto uwake.....kaona utamu kaamua kuchonga mzinga....gym anarudi saa sita usiku...na gym ya asubuhi anaenda alfajiri anarudi saa 4..duh
ReplyDeletefrora wewe nimshenzi sanaaaaaaaaaa umeubuka
ReplyDeletefrora wewe nimshenzi sanaaaaaaaaaa umeubuka
ReplyDeletebora ukaimbe taarabu kwaya imekushinda. una tena Roho wamungu.
ReplyDeleteMi nakumbuka hiii hishu ila sikujua kama ni frola mbasha ima namufahamu sababu mi nilikuwa nasoma geita hiyo inshu ililiki sana
ReplyDeleteWe flora nyimbo za dini na pande zingine mambo ya ngono unafundisha nini kwanza kapime coz kule mwanza ulikopita usije ukatumaliza wengi dar
ReplyDeleteMh! huko geita kunani? wananchi mbona mnajionea mambo ya dunia,mara vicky mara flora ,ukistaajabu ya musa....
ReplyDeletemmmh
ReplyDeletejamani kama kweli frola umefanya haya mrudie MUNGU wako
ReplyDeleteflora changudoa..kumbe mlikuwa amjui.
ReplyDeletekwa kweli.......hakuna kuiona mbigu....bila toba ya kweli....na matendo yaliyomema mbele za mungu.....Mungu wetu hadhihakiwi....kamwe......ila hakuna baya lililositirika ambalo halitafunuliwa siku zile....mbele...za Mungu.....kazi kwenu Mr and Mrs Mbasha......
ReplyDeletepole mbasha.............
ReplyDeleteMungu kakutaa hadharani maana uyatendayo si yale uliyoyaapa wakati wa ndoa yako.......
ReplyDeleteKumbuka wimbo wako wa maisha ya ndoa.....halafu jichunguze nafsi yako na ukatubu..mungu atafunga kila mlango aliokuwa kakufungulia.
Mungu kakutaa hadharani maana uyatendayo si yale uliyoyaapa wakati wa ndoa yako.......
ReplyDeleteKumbuka wimbo wako wa maisha ya ndoa.....halafu jichunguze nafsi yako na ukatubu..mungu atafunga kila mlango aliokuwa kakufungulia.
MUNGU WASAIDIE UKWELI UPATIKANE
ReplyDeleteMUNGU WASAIDIE UKWELI UPATIKANE
ReplyDelete