Katika Harakati za Ney wa Mitego kuonesha Mali zake ambapo juzi ametuonesha gari lake aina ya Murano lenye Thamani ya Milion 36, Jana ameonyesha nyumba yake mpya yenye Thamani ya Mil 170 ambayo ipo Maeneo ya Kimara , Katika tukio hilo la kuonesha nyumba pia alimsuprise mpenzi wake Siwema Ambae alikuwa hajui Kama anajenga ambapo kitendo hicho kilimfanya Siwema Atokwe na Machozi ya Furaha ....
Angalia Picha hizo za Nyumba yake Mpya hapa Chini:
Picha:Bongo5
udakuspecially.com
bravo!
ReplyDeleteHapo mwake jo!
ReplyDeletesiwema analia nini?
ReplyDeleteSiwema analia yeye ndo kachangia hiyo nyumba chezea pedeshee wewe
ReplyDeleteAnalia kwa vile hakujua Ney anajenga. Hawakawii watoto wa mjini wakiachana kudai alimjengea. Hongera Ney,na ni vizuri umetujulisha ni jasho lako,Siwema hakuchangia.
ReplyDeleteHongera sana Ney.
ReplyDeleteNi yake kweli? isije kuwa movie inaendelea?? Maana hawa wasanii wetu!!! Kama ni yake kweli hongera zake kwa kweli atakuwa amefanya jambo la maana sana.
ReplyDeleteHongera sana kaka.
ReplyDeleteKama siyo yake anajidanganya mwenyewe,kama yake anastahili pongezi.maana kuna watu wanajua kutunza pesa kwa kumwaga kwenye majukwaa akili ya kujenga hawana,naamini watajifunza,kimbiza ney.
ReplyDeleteOmmy Dimpoz,pozi kwa poziiiiiiiiii. Tupogo...bado...tupogoooo!!!!! Fainali uzeeeni.
ReplyDeleteHa ha ha haaaaa! Acha ncheke mie
Deleteje ni.muzik Gani.
ReplyDeleteMara bangi
Mara sembe...?
Hongera sana tena sana...mjengo ndio mpango mzima mjini hapa
ReplyDeletewenzio wanahonga madem we unajenga safi sana
ReplyDeleteile swimming pool yetu imefikia wapi vileeee
ReplyDeleteile swimming pool yetu imefikia wapi vileee
ReplyDeleteWow awsomee. Ney
ReplyDeletesasa ya diamond itakuwaje? maanake kwakweli sijui huyu ney ameuza album ngapi mpaka apate huu uwezo mkubwa, angekuwa diamond kwakweli nisingeshtuka saana, maana ya diamond at least yanaonekana kwamba ndiye anaongoza kwa mapato na hata mauzo ya album zake, sijui lakini!!!!
ReplyDeletemzik+ sembe.=
ReplyDeleteSASA MBONA COMMENT ZA KUPONDA TU, WEKENI NA NYIE ZENU TUZIONE! HUYO KAJENGA USWAHILINI KAMA ANGEJENGA MBEZI BEACH KARIBU NA KWA KUSAGA INGEKUWAJE? BIG UP MTOTO WA KIMANYEMA TEMA CHECHE TU . KESHO KUTWA TUNATAKA KUONA NA ZA OMMY DIMPOZ.
ReplyDeleteMIE NIMEPITA TU
ongera sana kaka,maana daaaaaah ni noma saana.
ReplyDeletehiyo ni kweli jamani jamaa anajitahid sana hata nyumba yake ya kimara naijua mana nakaa huku. ni msanii anayejitahid sana japo matatizo madogomadogo yapo kila mahali
ReplyDeletekeep it up
ReplyDeletehaina thamani ya m17 hata sisi tunajenga nyumba ya m17 siyo mchezo bwana
ReplyDeletekwa muziki gan?na hyo nyumba si ya million 170,acha ushamba watu wana vitu na wamekaa kimya itakua ww?au umezipata ukubwan?ila sishangai ni kawaida yenu wa.......ga.
ReplyDeleteina mana ck hizi mziki unalipasana eeh?najaribu kuvuta picha wale wakongwe wamejikokotasana mpaka kujenga nyumba na kununua magari ya kifahari,ila mmmm........... itajulikana tuu,za mwizi arobaini
ReplyDeletewasiopenda mafanikio ya watu bana!!!!! ney kiboko yao baba! nyie mna judge thaman ya nyumba? mwenyewe kasema hizo au mlikua nae wakati anatoa? acheni majungu basi ney anastahili pongezi
ReplyDeletendio yale yale ya Wema SEPETUNGA mwishoni mwenye nyumba akamtimua :)
ReplyDelete