Jumatano ya wiki iliyo pita , nikiwa maeneo ya Mlimani City, nilikutana na mdada mmoja niliyekuwa nimepotezana naye for like 2 years..Aliomba namba zangu za simu kisha akaniuliza kama nitakuwa na nafasi jumapili ya wiki hiyo around saa saba mchana. I told her what is the problem? akaniambia kuna meeting muhimu sana ambayo angependa kuona na mimi nikishiriki. Nikamwambia hakuna shida. Siku hiyo akaniomba tukutane maeneo ya mwenge, nikamdrive hadi pale ITV kwenye ukumbi wa mikutano wa GNLD. She told me it was a GNLD meeting. She is a member, she has invited me to listen to what they are doing and may be if interested nijiunge nao pia. Nilitaka kurudi hapo hapo but nikasema ngoja niende kuwasikia wana kitu gani kipya ambacho sijawahi kukisikia mahali., ( I knew about this cra.p ) since 2001 and i know what they are actually doing ).
WAKATI WA KUTOA USHUHUDA
Baada ya introduction na kabobo kutoka kwa aliyekuwa msemaji mkuu wa hiyo meeting, ikafikia zamu ya watu mbalimbali ambao ni memba wa GNLD kutoa shuhuda zao. Huyo msichana alikuwa miongoni mwa walio toa ushuhuda.
I WAS SO SO DISAPOINTED WITH THEM.
She said, nimejiunga GNLD tangu mwaka 2009 and blah blah, Now ninaingiza PESA NYINGI SANA KWA MWEZI!
Ninaingiza shilingi LAKI SITA KWA MWEZI! ( Hivi kweli Graduate wa Chuo Kikuu anaweza kuwa na mawazo mgando kiasi hiki! Shilingi laki sita kwa mwezi ni pesa ambayo mtu anaweza kuongea na kujisifu mbele ya watu? Hii ni hela unayo takiwa kuingiza kwa siku moja bana acheni ujinga nyie.
Others were talking like, NIMEFIKA HADI NAIROBI MIMI! HUWEZI KUAMINI! UKINIONA UNANICHUKULIA POA, ILA NIMEFIKA HADI NAIROBI KWA KAZI HII HII?
( Seriously kweli! kufika Nairobi nalo ni jambo la kujisifu mbele ya kadamnasi ! )
Wengi wao wanaongea kuhusu laki nne kwa mwezi na utoto utoto kama huo..
BRAINWASHERS : Wakati wa shuhuda kuna jamaa huwa wanasimama na kuongea utoto mwingi like u know nilikuwa meneja wa T.R.A mkoa but nimeacha baada ya kuona GNLD inanilipa.. Mwingine akasema " Nilikuwa muhasibu BARICK, nalipwa MILIONI NNE kwa mwezi, ila nimeacha kazi baada ya kuona GNLD ndio mpango. Plus utoto utoto mwingine kama huo..
Mwisho wa siku i told her, please be serious even for a second, how dare you bring me to a place like this. What do u take me for? or what kind of a fool do u think i am? do u confuse me with a looser or something ? Do i look like someone who is joking about his life? U shall not tell me about this cra.p again...
Kiukweli niliona amenidhalilisha sana, i say..
These people, are realy dont know what is going on in their lives na wanahitaji kukombolewa. Kuwa describe hawa watu wa GNLD na FOREVER LIVING PRODUCTS in a single word, they are " LOOSERS".
wananiuzi sana hao, kama mtu unafanya biashara tangaza bidhaa mambo ya maisha yako hayanihusu, ingekua na wafanyabiashara kkoo nao wanafanya hivyo tungenunua bishaa kweli, watangaze biashara waache kueleza masuala ya maisha yao, kila mtu ana sehemu ametoka wasitusumbue
ReplyDeleteMimi siwaelewi hawa watu ni kweli au matapeli???????
ReplyDeleteHawa watu ni wasanii na matapeli.Ni kama mchezo wa upatu,yaani pyramid scheme.Ni freemasons wanaotumia sana nguvu za giza kuendesha biashara hii ya kitapeli inayonufaisha watu wachache pale kileleni na kurostisha wengi wanaoshinda mabarabarani wakitafuta wateja.Pia utapeli mkubwa upo kwenye dawa zenyewe,kama kweli zinatibu kwa nini.zisiwepo kwenye mfumo rasmi hospitalini na pharmacy?
Deletedaaaah we utakuwa muhaya bila shaka
ReplyDeleteBro acha dharau kama mtu katafuta business inayompa pesa ya kusukuma maisha yake ya kila siku haina haja kumsems bro. Dah we jamaa dharau nyingi sana
ReplyDeleteWakule Kule inaonekana kweli wewe ni wa huko huko. Mimi nimeshatongozwa nao mara nyingi na nimekataa. Hivi leo nategemea kukutana na mmoja wao aliyejitambulisha kwangu kupitia social network moja (jina kapuni). Nimemkatalia sana lakini she is insisting kukutana nami. aliniambia naweza kupata hadi laki 8 kwa mwezi nikamwambia haifikii hata robo ya my Saloo. Bado ana insist nikubali anipe darasa. Yaani ni ving'ang'anizi kweli hawa jamaa. mwishowe nimemwambia tukutane leo nisikilize anachoning'ang'ania nacho. Eti anadai kuajiriwa ni utumwa. Kama kila mtu angekuwa mfanyabiashara (marketer as such) mnunuzi angekuwa nani? ngoja aje. kama ni yuleyule niliyemwona kwenye picha nitamsikiliza na akimaliza namtongoza. ikibidi leo lazima nimmege ili kumfundisha adabu! asidharau watu na kazi zao kwa kisingizio cha "Business on the go"
ReplyDeleteUsiache kumtongoza na kuila nyapu yake,alafu ipige kavukavu ukiathirika si.dawa za GNLD anazo bwana?
DeleteWewe ni shidaah hahahaha
ReplyDeletewanaudhi jamani,na wanalazimisha haoo!anakurupuka muda wowote anakupigia simu.Mnaboa saana aisee.
ReplyDeleteUsitukane bali tuambie namna gani tufanye na sisi tuweze kuingiza laki 6 kwa siku tuachane na gnld & forever living + you are stupid too.go to hell
ReplyDeleteKaka mmoja Aliachaga Kazi Precision Air kwa Ajili ya Forever Living Baada ya Miezi Sita Alilost Vibaya mpaka Akashindwa Kulipa Pango la Nyumba, Good Thing alijitambua na Kurudi tena kwenye Ajira now yupo vizuri
ReplyDeleteUpuuzi mtupu
ReplyDeleteHivi telefree iliishia wapi ? Bado ipo?
ReplyDeleteUpatu,dollarjet,telexfree,deci,gnld,ulokole,foreverliving zote ni usanii na.wizi mtupu!!
ReplyDeleteniliwahi wasikiliza matapeli hao sana na waongo
ReplyDelete