Monalisa Awajibu Waliodai Anachukua ‘pole Asizostahili’ Kufuatia Kifo cha George Tyson

Muigizaji wa filamu nchini Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa ambaye pia aliwahi kuwa mke wa marehemu George Tyson aliyefariki dunia kwa ajali ya gari wiki kadhaa zilizopita, amefunguka kupitia Instagram kuelezea kusikitishwa kwake na ‘majungu’ ya watu kuwa hakustahili kupewa pole kufuatia msiba huo.

Monalisa ameandika:

Let me clear the air.ni hivi,pamoja na ujinga tulioufanya mimi na George ktk maisha yetu,kwa macho ya kibinadamu utasema alikuwa na mke mwengine..bt kwa macho ya kiMungu mimi ni mke halali wa George Otieno Okumu aliyelala.anayesema mke wa tyson alijifungia ndani mm nikawa nachukua pole zisizo zangu,dah!kwanza wanawake walikuwa wawili ndani sio mmoja.na wote walijifungia ndani,kwanini?ni wakristo na wanaijua dini.waombolezaji waliokuwa wakinipa pole mimi,ni kwann?jiulize kabla ya kuropoka halafu ww ni mwanamke kuna siku yatakukuta.nilienda kutimiza wajibu wangu kama mke,ningelia peke yangu kwetu mngenisema sana,nimekaa msibani naambiwa nachukuwa pole za bure.wacha nikukumbushe maandiko…Alichokiunganisha Mungu?….;kilichofungwa duniani?…..;nikupende,nikutunze hadi kifo?….. sasa kifo kimetutenganisha.siku ya mwisho unadhani George ataitwa na nani?pamoja na mambo yake yote wacheni nimlilie he was a good father kwa Sonia wangu esp.miaka 5 ya mwisho wa uhai wake.acheni nimlilie he was my best friend 1998-2014.nimeshare nae kitanda 2000-2006.nitakuwa mtu wa aina gani nisiwe na uchungu?ukiona mwanamke mwenzio kaishindwa ndoa usimcheke jua kuna sababu..na ni fundisho kwa wachukua waume za watu wote mjini,mume akiumwa huwa anarudi kwa mkewe,na akifa?and for ur info..msianze anajifanya mke ss hv ili apewe mali..Sonia ni mali kubwa sana alioniachia am so happy.waaache wao wanaolilia kupewa pole wapiganie.mwenyewe aliyetafuta kafa kaziacha sembuse tuliobaki?niacheni nimlilie,waacheni fans wangu walie na mm.

George Tyson anatarajiwa kuzikwa Jumamosi ya June 15 kwao Kisumu Kenya

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wambea bana. Yaani yapo msibani yanawaza nani anapewa pole na nani atachukua mali. Idiots. Stupid people!
    Ndoa ya kikristo hua haivunjiki asilani. Wale wote walikula uroda baada ya Monalisa kiukweli ni wazinifu tu. Ingekuwa Sudan tungewabonda na mawe mpaka kufa.
    Acheni kuwa kwa kutumia matako jamani.

    ReplyDelete
  2. Yan sisi binadamu hatukos ya kusema, mona hilo jibu ulilowapa Ni zur Sana mana watu wanaenda msinan kufata umbea hasa sisi wanawake sijui tupoje, Kama unajijua hujickii kwenda msiban bora ukae nyumbani co kupepesa macho Na kuongea umbea msiban

    ReplyDelete
  3. Kwani hizo pole aliwaomba mumpe au viherehere vyenu muacheni mtoto wa mwenzenu monalisa zipokee hata za kinafki ili ziwaume vizuri

    ReplyDelete
  4. Umenena Monalisa,ila hayo maneno umueleze na Boss wako wa TMT,ndoa ya kikristu ni moja,wengine ni uzinzi

    ReplyDelete
  5. Umenena Monalisa,ila hayo maneno umueleze na Boss wako wa TMT,ndoa ya kikristu ni moja,wengine ni uzinzi

    ReplyDelete
  6. Na huyo Monalisa aache kiherehere chake saa hii. Siku zote alikuwa wapi kuyatamka maneno mazuri namna hiyo. Kama sio ukiherehere wake ni nini. Na pia atuambia amezini na wanaume wangapi taangia aachane na marehemu George. Na je alikuwa anawaambia the same thing?? Kuwa alikiunganisha Mungu binadamu hawezi kukitenganisha????? Huyo mtoto aache unafiki. Sasa ndio tutaona ile true color yake ya ufuska na uzinzi. Mtoto muogope Mungu.

    ReplyDelete
  7. Vipi na kwenye ndoa ya pili nako utakaa eda si ulimkimbia marehemu wewe ulifikiri kuna jipya achavunafiki wewe maneno hayo ungemwambia marehemu naona sasa hivi ndio unatambua umepoteza lulu

    ReplyDelete
  8. nyie mnaemwambia mona kihere here km na nyie n wanawake keshen mkiomba yasiwakute usione mtu anakimbia ndoa kuna meng yanakua yamejificha hum ndan na km wanaume mpunguz michepuko coz nyie ndo sababu ya yote ktk hil mfikirie ndo mcoment

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli kabisa mdau hapo juu hakuna mwanamke ambae amekaa namumewe akapenda waachane tu bilasababu yamsingi.nanyie mnaokimbilia kuona mwenzenu katoka nyie mnaingia tunawaonawengi yanawakuta wananyanyasika kisahela.ambacho hujakichuma wewe alichuma mwenzio akakiacha bilakupenda.we ukaingia usitegemee utakulashavu.utasafa,utaletewa magonjwa wanawake watoto wa nje huo ndio ukweli.nakama kupenda atapenda kwinginee siokwako.wanawake ukiona mwenzio katoka ingia kwaheshima na adabu kaakimyaa.wangapi wanakomeshwa humo ndoani.sema wanawake wakibongo wanaojitambua wachache.mona Yuko right sema asingewajibu manasio lazimakujibu wapuuzi

      Delete
    2. ovyo kabisa alowaambia ndoa zote zaharibika kisa wanaume nani? umeachwa na wa kwanza ana matatizo na wapili nae? kashindwa na wangapi? hebu tumikieni ndoa acheni kujitetea kijinga.

      Delete
  9. nyie mnaemwambia mona kihere here km na nyie n wanawake keshen mkiomba yasiwakute usione mtu anakimbia ndoa kuna meng yanakua yamejificha hum ndan na km wanaume mpunguz michepuko coz nyie ndo sababu ya yote ktk hil mfikirie ndo mcoment

    ReplyDelete
  10. acheni usenge kuma nyie..midomo inawawasha kila siku kama mnafilwa.Kwanza ulivyoachana nae sawasawa nisingekushauri uolewe na mikenya,

    ReplyDelete
  11. JAMANI MI NINASWALI.kwani pole lazima mtu apewe pesa?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nakuliko uolewe na mkenya bora uolewe namwanaume fuska wa kitanzania.nana uko sawa kabisa wakenyaaa olewa ujute.kwao hutambuliki hatakama unandoa yakanisa hawaku value washenzii

      Delete
  12. Yaonekana Mona alikimbia ndoa take ki halali kabisa mwanaume mwenyewe mmeona msululu wa wanawake aliokuwa nao ht km ni ww ndoa ungeikimbia na pia walitengana haimaanishi hawakuwa na maelewano lazima maelewano yawepo kwa ajili ya mtoto jamani Mona uko sahihi mama hao ni wapumbavu wanaosema hivyo wewe ulistahili kwakua ni mke halali wa Tayson hao wezi wa waume za watu wakome na mwisho wao hua mwanaume akifa kimada hatambuliki

    ReplyDelete
  13. Huna llt ulikuwa wap ck zote!!??

    ReplyDelete
  14. Pole mona, yote we muachie sir God maana binadamhatuchoki kusema we usiwajali mlilie mumeo na pole pokea, achana nao hao wasio na lakufanya

    ReplyDelete
  15. Cku zote alikuwa wapi ki vipi?binadamu hawana wema umeenda msibani wanasema na usingeenda wangesema tu wapuuze Mona asiyejua maana usimwambie maana

    ReplyDelete
  16. ni kweli mona hayo maneno ungeyasema wkt marehemu yupo hai,pamoja na yote aliyokufanyia,lkn dhahiri alikuwa anaonekana ana mapenzi na wewe,ndio maana hata kwenye a/c yake instagram,picha zako na mtoto zilikuwepo,lkn kwako hazikuwepo,na hata a/c ya mtoto wako,alikuweka wewe na bibi yake tu,picha za baba yake,hakuna kabisa,kwa hiyo inaonyesha dhahiri shairi,wewe,ulimchukia mume wako,na inaelekea wewe ndio ulikataa kurudiana tena na mumeo,pamoja na kuwa yeye alikuwa tayari kwa hilo,umeanza kuonyesha mapenzi kwa mumeo wkt ameshakufa,hivyo huwezi kukwepa maneno ya binadamu,

    ReplyDelete
  17. wanawake mjifunze,hata kama mmeachwa na waume zenu,msiwe maadui,maisha yaendelee,tena kama mna watoto ndio kabisa,wewe mama ukiishi na mtalaka wako kiuhasama,unamnyima raha mtoto,matokeo yake ndio hayo,watu wanarusha vijembe,

    ReplyDelete
  18. Nautarusha vijembe kamahalijakufika likikufika nawe kwawakatiwako utaelewa Mona kwann kasema hivyo.kila mwanamke namungu amjalie aolewe halafu yatakayomkuta huko aje arushe vijembe kwa Mona.minilimuelewasana napia mstaarabu kulinganisha nawanawake wengine akiachana namumewe atasemamambomengiikwanini aliachana namumewe je Mona alishatamka hadharani akasemakisa cha kutengana na mumewe?kitanda tusichokilalia hatujui kunguni wake.natuache movie iendelee ingawa sterling katangulia mbele ya haki.mshukuru nyumba zinafichwa nakuta lacvyo yangetoka nje yaliyomo kwenye ndoa zawatu midomo tungeiwacha wazi kutwa kwakushangaa.

    ReplyDelete
  19. wonders shall never end!! alokwambia mbinguni sijui atasimama na wewe kakudanganya kule kila mtu na lwake hata YESU alimjibu yule mwanamke msamaria!!! mbili sasa ulijua ndoa ya kikristu haivunjiki ina maana wewe ulifunga ndoa juu ya ndoa ulipofunga ya pili? hilo onyo la waume za watu hope alikuhusu wewe binafsi. tatizo si kwenda msibani kulilia mzazi mwenzio issue kupokea michango kama mjane.

    ReplyDelete
  20. Hana jipya huyo sasa hivi ndio analitambua kuwa aliloliunganisha Mungu,mlimpelesha sana baba wa watu mpaka akatafuta michepuko pole endelea na kukimbizana na dushelele za mitaani

    ReplyDelete
  21. wewe anonymous june 15 10:59pm mbona kisirani hivyo? omba yasikukute mshenz wewe wasingemchokonoa angesema hayo sangapi? think twice. mona lov u sana hayo ni mapito tu kaza buti mama

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad