Nimetumiwa story hii na chanzo ambacho hakikujitambulisha, na ni stori iliyoambatanishwa na picha, ni story ya binti aliyevunjika shingo yake na kufariki katika tamasha la kucheza muziki mitaani (street dance) katika mitaa ya Jamaica weekend weekend iliyopita.
Chanzo cha habari hii kimeeleza kuwa binti huyo alikuwa ni dancer wa muziki katika style ya acrobatic dance na alikuwa akicheza kicha chini miguu juu juu ya speaker ndipo alidondoka na kuvunja shingo kisha kupoteza maisha.
Kila mtu alishtuka alipodondokea kichwa
R.I.P mdada
ReplyDeleteha ha hehe jaman arest in peace ila huo uchezaji wake mi kaniacha hoi!!!
ReplyDeleteR.I. Pices hakuna pepo hapo.....
ReplyDeleteHakuna pepo hapo hahahaha wabongo bwana
ReplyDeletekwa waislam kila mara tunasisitizwa tuombe mwisho mwema, sasa kwa huyu dada sijui inakuwaje, style ya kifo cha kucheza na kivazi hicho mmhh! Rip mdada tuko nyuma yako.
ReplyDeleter.i.p jehannam njema
ReplyDeleteR.I.P kwa marehemu.. Pole nyingi sana kwa wafiwa
ReplyDeletejinsi ya kutengeneza pesa kupitia computer yako
ReplyDeleter.i.p tupo nyuma
ReplyDelete