Mtoto mchanga, amekutwa ametupwa pembezoni mwa barabara ya Kawe-Beach, huku puani na mdomoni akiwa amefungwa plasta, iliyosababisha kukosa pumzi na kufariki.
Katika hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja ambaye hakujulikana jina lake wala kujua anapoishi, anasadikika kutenda ukatili na unyama wa hali juu kwa kumuua huyo mwanaye na kisha kumtupa pembezoni mwa barabara hiyo.
Wavuvi wa eneo hilo waliona mfuko pembezoni ukiwa na damu hali ambayo iliwashtua na kuamua kusogea karibu, ndipo walipomkuta mtoto huyo mwenye jinsi ya kike, akiwa amefariki huku akiwa amefungwa plasta mdomoni na puani.
Huu unyama gani jamani.. binadamu tumekua washenzi mpaka shetani anatushangaa!!!
ReplyDeleteMmmh jaman yaan hyo mwanamke alaaniwe nktazama pcha ya hyo Mtoto naumia sana kwa nn wanawake tumekuwa na roho za knyama kias hk jaman Mtoto umbebe mimba miez tsa afu uje umuue tena kwa kfo cha mateso kama hcho c bora angempeleka msiktn au knsan Mmmh
ReplyDeleteDaah najuta mungu wewe ndio unajua yote naamin atapatikanatu
ReplyDeleteNi kweli kuna dhambi nyingine hata shetani atakuja kutukana kwamba sio yy aliye tutuma kwa kweli!
ReplyDeleteKwann ufanye ngono zembe! Haya ndo matokeo yake. Jins mimba inavyosumbua miez tisa kisha unatupa mtot? Maskin hakustahili haya
ReplyDelete.
Bado tunamachungu ya mtt wa box na hili tena eemola watu hawana hofu ya Mungu hata kidogo!!!!!
ReplyDeletemalipo ni hapahapa....
ReplyDeleteInna lillahi wainna ilaihi raajiuun,Pumzika kwa amani malaika uliyedhulumiwa nafsi yako ila huyo mamake nafsi itamsuta mpk siku ya mwisho
ReplyDeleteinauma sana ila wanaume wengi hukataa mimba zao jambo ambalo sio zuri pia cha muhimu ni sote kukubali matokeo.
ReplyDeletesasa mume anakataa mimba ndo uzae utupe mtoto?, yan nikae na tumbo miez 9 kisha nitupe, hapo alaumiwa nani kama c mama mtupa mtoto?,
ReplyDeleteserekali lazima imtafute mtenda kosa hilo ili achuliwe sheria
ReplyDeletemwananamke mwenye akili hawez tupa mtt ukikumbuka mateso ya mmba na kuzaa ni bora umlee kwa shida unaweza pata msaada kuliko kmuua
ReplyDelete