Mtoto Mchanga Chatupwa Shimoni…Mama Atiwa Mbaroni

MWILI wa kichanga umeokotwa eneo la Njiro jijini Arusha juzi baada ya kudaiwa kutupwa na mama mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja.

Baada ya kichanga hicho kuokotwa, wananchi walitoa taarifa polisi waliofika na kufanikiwa kumkamata mama mwenye kichanga hicho.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wananchi,polisi wote hawajui jina la huyo mama?
    mnaandika habari nusunusu sana jamani.

    ReplyDelete
  2. funga wote mama na baba wa mtoto kwa kosa la mauwaji ikiwezekana wanyongwe kabisa stupid kabisa

    ReplyDelete
  3. MAY GOD FORBID

    ReplyDelete
  4. Sielewi wanawake tumepatwa na nin? Yani ni Zaidi ya ushetani huu mmh .

    ReplyDelete
  5. Jamani bora kutumia uzazi wa mpango maana unatolewa bure kuliko kupata zambi kama hiyo wana wake tubadirike tuache kutenda zambi kama hizo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad