Mwanamke wa Kitanga ndani ya Daladala Balaa Tupu

Hawa wanawake wa kitanga wamezid jamani heeeeee.....

Alikuwa kapanda na bwanake kwenye daladala wamekaa siti moja, mwanamke kamchukua bwanake akamuegesha kwenye kifua chake akawa anamuimbia nyimbo za kimahaba, halafu sio kwa sauti ya chini chini ilikuwa sauti kubwa tu mpaka kila mtu akawa anashangaa.

Alipokuwa anashuka akasema "mi ndio mtoto wa kitanga, nimefundwa nikafundika wenye kununa wapasuke twende tukalale laazizi wangu" hahahahahaha
Tags

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mmmh uongo watu watanga wastaarabu

    ReplyDelete
  2. Tanga ukiende leo hurudi leo leo...ukiingia king kwa demu utapewa malavidavi yote ya dunia mpaka utasahau kila kitu ...tanga raha

    ReplyDelete
  3. Mabinti wa kitanga eeh
    Mapenzi yalipozaliwa

    ReplyDelete
  4. najiuliza wanasema tanga ndo mapenz yalipo zaliwa mbona hawadumu kwenye ndoa zao unakuta mwanamke anandoa kama kumi kaolewa kaachika inakuaje sasa na mahaba ndo mnasema yalikozaliwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahaha mdau umenichekesha alafu umenena ukweli kabisa, yaani ndoa zao mwaka mmoja ni mwingi sana

      Delete
  5. mapenz wap?wanaendekeza umaskini tu

    ReplyDelete
  6. Wananjaa mpk kwa meno, wengi wao hawajasoma waspong'ang'ania wataishi VP... Hawana lolote watoto wakitanga

    ReplyDelete


  7. wanawaza pilau liko wap,ngoma iko wapi.mwanamke usipojiinua kiuchumi utaishia kuwaza mapenzi tu afu unakuwa zigo kwa mumeo

    ReplyDelete
  8. Mmh no Elimu. No Job' No business wanawaza tu aende kwa Mganga yupi na kukopa mkorogo! Mwanamke Wa Kichagga bhana, chezea

    ReplyDelete
  9. Yote mnayoyaongea kudis yaweza kuwa kweli ila akina adam wenyewe wanakiri ilo coz wanachokipata nitifauti,wanaume wengi waweza sema mengi ila akitulizwa kimahaba kwishney ujanja unakwisha chezea utam weweeee!

    ReplyDelete
  10. mbona hyo pich ni ya Diamond platnumz na Lina kwenye feista ya Dodoma

    ReplyDelete
  11. Nyinyi wote mnaoponda watu wa tanga kuMa za mamazenu

    ReplyDelete
  12. Hawana lolote mim nimeyatomba sana, yameboka kote kote ni mapango tu yamebakia

    ReplyDelete
  13. huyo alikuwa mtoto wa kizaramoo

    ReplyDelete
  14. kwanza naanza na wew admn km umekosa vitu vya kupost post picha hata ya dada yako,alaf nanyie mnaosema hawajasoma una uhakika gani.....we unaosema hawajasoma jiulize mwenyw kwenye ukoo wenu wangapi wameenda shule?sio usifie familia za wenzenu wakt kwenu hata form six tu hamjafika.....pumbavuuu......mwisho km ni umalaya kila kabila ni wamalaya tu awe mhaya,mtanga,mchaga na n.k.....

    ReplyDelete
  15. ni mizigo tu ile..wanawaza chini tu

    ReplyDelete
  16. Huyu admini kweli mdaku hiyo picha ya lina na diamond anaiweka hapo ya nini umekosa picha ya Ku post loo!hao watanga hamna kitu huwa ni sifa tu mbona wanaachika kwa waume zao wengi tu harafu ni wachafu kuna mdada Niko nae Jirani ni mtanga akioga jioni mpk kesho jioni na ameolewa haelewani na mumewe ugomvi kila cku mpk kero kwa majirani

    ReplyDelete
  17. duuuuu admin kweli ni mdaku wa kupitiliza tooooooooooooooo

    ReplyDelete
  18. duuuuu admin kweli ni mdaku wa kupitiliza tooooooooooooooo

    ReplyDelete
  19. hivi kwa nini adm katoa repy? umenikera sana

    ReplyDelete
  20. Embu tutolee udaku wako feki huyo si Lina na Diamond kwenye Killi Tour ya mwaka jana? Tutakuwa hatuingii humu wee lete story zako za uongo!

    ReplyDelete
  21. acha udaku na wewe eti mwanamke wa kitanga ndani ya daladala! huyo diamond na linah wakati wakienda kupaform somewhere

    ReplyDelete
  22. pumbavu hii picha ya zamani ni diamond na linah malaya wa THT

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad