Kasema Gwajima anafanya hadaa kwa wafuasi wake, kasema kama kweli anafufua misukule, mbona hafufui watu wanaofahamika?
Hafufui baba na mama zetu, hafufui majirani zetu, anafufua tusio wajua?
Gwajima mzee wa HUMMER3 na wafuasi wake mna lolote la kuoangea?
Hii ni kweli kabisa!! Namuunga mkono Mzee wa Upako!!
ReplyDeleteMzee Wa upako nakuunga mkonoooo
DeleteUmenena afufue mama zetu,kanisani kunazidi furika,waumini mambulula yanadanganywa yamo tu.
Deletegwajima msanii alikuwa akiwavuta ili muende katika kanisa lake yake yamuende,e, na ynyinyi waumini wa kikristo kwa kuhama hamjambo, mkisikia tu kanisa flnani jipya mmeshahamia, eti madai yenu upako upako bongo, upako enzi za mitume bana sasa kuna biashara tu inaendelea na mtadanganywa sana
ReplyDeleteWote hawana jipya
ReplyDeleteUkimuona Pastor yoyote yule anae endesha migari ya thamani...majumba ya kifahari, wakati waumini wake ni hohe hahe! Kimbia na kaa mbali nae. Hakuna upako wala ubakuwaji, ila utapeli na ubinafsi tu ndio umewajaa hao wanao jiita watumishi wa Mungu. Ndugu zangu jifunzeni kusoma vitabu vya dini ili muwe mnajimbea dua wenyewe..laa sivyo mtatapeliwa nakupakuliwa mpaka mkome!
ReplyDeleteHapo umenena mdau, just a simple truth.
DeleteWenye macho na waone,wenye masikio na wasikie
MDAU USA
Mie nawashauri ndugu zangu wakristo wote wabadili Dini waje kwenye dini ya haki ya Uislamu na tathmini ndogo niliyoifanya watu siku hizi wanabadili Sana dini Kuja katika uislamu,hakika kiama hakiko mbali..
ReplyDeleteWe nae Bwege tu kama hao wawili. Ushauri kwan hapa Angaza?!!
DeleteWe umeona ushauri hadi Angaza Tu kwani Baba yako akikushauri Ina maana mko Angaza tumia akili ndugu siku zinakwenda Anza kuchunguza utabaini ukweli njoo katika uislamu kwenye dini ya haki
Deleteeeee kwenda hukooo kwani kwenye uislam hakuna majanga tena nyie ndo msiseme kutwaa kuua wenzenu!! uislam si dini ya haki wala nini ukristo ndiyoo. achana na hawa wengine wanaigiza ukristo mungu ndo atawahukumu.
DeleteYaani mtu ajiunge kwenye dini inayoamini kuua asiyeamini ni huduma kwa Allah? Huko wanaingia wenye mtindio wa ubongo!
DeleteDini nizile zamwanzo enz za babu zetu,uislamu,usabato,roman,ruthelan,anglicana hizo ufufuo cjui wat wat ubatili mtupu.watuwangu wanaangamia kwakusa maarifa biblia ilishasema hivyo.sasa wacha waendelee kuangamia wanayataka
ReplyDeleteYaani Kati ya wote waliotoa Comments zao we ndo akili huna hata kidogo kaka hapo juu
DeleteUSITUBABAISHE NA DINI YAKO ZAMANI KULIKUA NA DINI?
ReplyDeleteUtajiju hata upagani nayo dini inakufaa.kachambie costic
ReplyDeleteHivi gwajima anapata wapi Hela?Ni tajiri kupitiliza Ana Hela ndefuuuuuu magari ya kifahari,maprado kanunulia walinzi wake na flora mapyaaaaa
ReplyDeletemzee wa upako na gwajima wote ni 1+1,toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kwenye jicho la mwenzi.
ReplyDeleteHaaaa mdau Nimekupenda uko wapi nikupe ofa ya bia.una akili sana.
Deletedini ya kulazimisha wasichana wasisome bali waolewe kweli ni utindio wa ubongo
ReplyDeletemzee wa upako ulishawahi kutoa vipande vya sabuni usawa wa kibiriti,eti watu wakiogea wanapona,mbaya zaidi ukataka uwekewe sh.elfu tano kwenye bahasha,watu hawakupona na elfu tano umechukua hiyo nayo unasemaje?
ReplyDeleteMamaaa mdau Unasema kweli?awekewe elfu tano kwenye bahasha?awa wachungaji woote wezi.
Deleteshiti
ReplyDeleteWoote hao wezi tu.hakuna binadam mwenye upako.mwenye upako ni MUNGU WA IBRAHIM, ISAKA NA YAKOBO..YY AMBAYE NIKO AMBAYE NIKO ww binadam upako huo ni wawap kama c wakuzimu na kuwafanyia watu viini macho mpate hzo sadaka za watu maskin hasa ww unaejidai kumzodoa mwenzako.ww unamaombi kwa bei tofaut daaa unatoa aibu kumtaja hata mungu ama jina la mwanae.na kama nikweli mungu amekupa karama ua kuomba kunaandko linasema mmepewa bure toen buree.aaahhh nasikia hadi hasira kweli. ILA NAWAAMBIEN NYINYI WOTE MNAOKULA MADHABAHUNI PA BAALI SAA YA MUNGU INAKUJA MTAUMBUKA NYOTE MAANA HZO NGUVU MNAZOTUMIA ZITAKUWA HAKUNA TEEENA
ReplyDeleteLusekelo usiwaponde wenzio wakati hata wewe una mapungufu,
ReplyDeletekwenye biblia tunaona waliokuwa wanaongoza makundi walikuwa na majina kama ,mchungaji,mhubiri,nabii,mwalim nk.wewe hiyo mzee wa upako umeitoa wapi kama sio usanii?
Wa upako alienda kwao mwakaleli kumzika mama yake, baada ya mazishi aliingia kwenye gari safari kurudi dar, hhata kurudi nyumbani kunawa mikono na kuwashukuru waombolezaji waliomuandalia mama yake makazi ya milele hakuthubutu
ReplyDeletehuyu mzee wa upako simpend kw sababu alikataa kumuombea babu yng mpk 2tume sadaka aka2miwa akasema atatuambia lin 2mpeleke mgojwa bt mpk leo tangu 2012 mpka mzee akafariki hatujawah kuitwa mwiziii,anayaona ya mwenzie tu yake hayaon
ReplyDeletePole mpendwa ndo maana wakristo tunahtaj tufundishike hasa kwa mambo ya rohon na kumjua mungu kihalis na utendaji kaz wake wengi wameitwa shamban mwa bwana ila hawajakaa wakaisikiza ile saut iliyowaita kuwa mungu amataka nn kwao wanakimbilia kujipa majina makuubwa,,mara mabii,mitume n.k aaahhh mungu hapend ila anangoja saa yke.hz ishara za waaminio mpndwa ni haki ya kila aaminie. Ttzo wakristo hatuelewi tunakaz ya kudanganywa tu hapa.maombi gan ya kutoleana hadi pesa kwana.karb tanga ndg yngu upate mafundisho uiponye nafsi uende mbingun.hlo tu kwangu mm linanipa sbb ya kunifanya nisonge mbele
DeleteNI HIDUMA YA HEMA LA MAOMBEZI NGOMEN TANGA KARIBUUU
Haya sasa!mzee wa upako umepita kwenye mizinga ya nyuki ukiwa umejifukiza manukato?Utashambuliwaje!
ReplyDeleteTena mzee wa upako achunge sana kauli zake,hata akiwa madhabahuni hanaga kauli nzuri hata kdogo. Anatambaga eti yy akifa bac mambo yote yatakua yameisha,who is him by the way? Waumin wake keshawateka akili zote,kawanyunyizia unga wa ndele mpaka nawahurumia sana,ila hata neno la Mungu linasema hivi: watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,plz ndg zangu chambuen mbivu na mbichi. Na mccte kuzijaribu hizo roho. Plz b careful with these new churches zinazokua na miujiza mingi na ya kiini macho. Wanatumia nguvu za giza wote hao,,,,kumwombea mtu ili apone mnadhani ni kupakwa mafuta au kunywa maji au kuvaaa bangili au kuvaa vilemba vyeupe au kuanguka chini?? C rahic kumwombea mtu na kumponya haraka haraka kama mnavofikiria. Acheni kudanganyika ndg zanguni,mcipende vitu vya shortcak co vyema. Mungu wangu wa mbinguni na Bwana wetu Yesu kristo atusaidie .
ReplyDeleteKweli ndg yng tunaangamia kwa kukosa maarifa na hakika kila andiko ktk biblia lazima tutaviona kihalis kwa macho
DeleteNo comment. Ila ni kheli ya Wakristu kuliko wislam.
ReplyDeleteLUSEKELO KAMA KUNA MAHALI HUWA UNAJIHARIBIA NI KUPONDA WENZIO AU SIFA MIMI NI MUISLAM LAKINI HAMUIGI MFANO WA JOSEPHAT MWINGIRA JIFUNZENI KWAKE.TENA WEWE NA GWAJIMA NDIO MPO KIKAZI KWELI HAKUNA WA KUMSEMA MWENZAKE NAFUU YA GWAJIMA .BADILIKA MZEE KWA NINI HUWEZI KUENDESHA IBADA BILA KUMPONDA MTU?KANISA LAKO LINASHUKA BADALA YA KUONGEZEKA KUNASIKU NILIWAHI KUFIKILIA KUJA KWAKO LAKINI NILISHINDWA KUTOKANA NA UJIKO WAKO
ReplyDelete.ACHA YA WENZIO FANYA YAKO KWANI NI LAZIMA KILA JAMBO LA MWENZIO WEWE NDIO UWE MSEMAJI WAKE ALIKUOMBA
Sijui ni Mungu yupi anayetumikiwa mpaka mtu anapata uwezo wa kuiponda huduma ya mwenzake.. kwanini msionyane kwa upendo maana huyo mnaetuambia mnaponya kwa jina lake yeye hayuko kama nyie!
ReplyDeleteAngalieni Mikasi Mzee wa upako alihojiwa na Salama, hana dili mfanyabiashara huyo kama Gwajima, yeye na kwajima kama Boko Haramu.
ReplyDeleteHahahaaaa. ..Wadau mmemaliza kila kitu teh teh hata mimi huyu anaejiita mzee wa upako fake hua hanibariki kabisa mwizi balaa wala asimseme Gari ma, hawaoni Mwl Mwakasege mbona hana tamaa km wao. Wakristu amkeni sasa muda wa kutishwa kwa kutumia vifungu vya biblia umekwisha, jitambueni
ReplyDeletetobaaaaaa huyu mzeee wa upako kweli kapita kwenye kundi la nyuki
ReplyDeletewewe unesema bora ya wakiristu kuliko waislam..............cjakuelewa bado............mana huelewi nn unasems\a
ReplyDeleteWajikwezao watashushwa hadi shimoni...si mzee wa upako, wala Gwajima wala nabii Malisa na wote wanaofanana na hao wanaihubiri ile kweli...kweli haihubiri utajiri wa mali, kweli haihubiri miujiza ya kinadharia/kutunga, kweli haitangulizi fedha mbele, kweli haitangulizi prado, hammer, majumba ya kifahari huku waumini wakigugumia maumivu....
ReplyDeleteilishindikana kumrudisha amina chifupa wiki nzima na hitimisho la jumapili gwajima mwenyewe akachomoka na kudai wazazi wa amina chifupa na serikali imemkataza asimrudishe. watz wote munaodanganywa kitoto wapuuzi coz kuna mambo ya kutumia akili ndogo ukagundua usanii ni upi. amkeni
ReplyDeletewote freemason tu kazi kumfania shetani kazi mzeee wa upako simpend wala huyo ki gwajima ingekuwa mm ningewafungia wasikusanye watyu na wakamatwe kwa uwiz wa pesa za maskini wakidanganya kupitia jina la YESU waache ushetani
ReplyDeleteAnonymous. 10:13 na 11:21 dini inayoamini kuua watu, kuteka watoto wa kike, kuolewa kuvaa mavazi ambavyo ndani yake huna imani na Mungu unajali mavazi ya nje ni dini hiyo au........au waliomo wana mtindio wa ubongo. Jibu hili hapa Ukristu ndo dini sahihiya kweli iliyoshushwa kwa haki hamia huku kwenye Ukristu haki tupu usafiw a roho ambao unatambulikwa hata kwa Mungu wetu baba.
ReplyDeleteme hapa bdo cjaelewa,
ReplyDeleteishakuwa kama CCM na CHADEMA,
nna wasi wasi na wote hao,,,huyo cjui mwagija na mzee wa upako mwnyewe,,,,,,,maandiko yanasema 'wakutanapo wawili kwa ajili yangu me npo kati yao'.....sasa celew malumbno ya nn,,,,,,
igeni kw kakobe,.,.,wasije umbuka.,.,
haya mtu unacomment kuwa anashangaa watumish wa Mungu wanalumbana,.,.,afu muda huo huo nae anaponda dini ya mwenzake,.,.hv ana akili kweli tumboni mwake,.,.,nan ana uhakika kuwa dini flan ndio ya ukweli.,.,.,? tulizaliwa tukakuta wazaz wetu wana hzo dini,.nas tukafuata,.,.,
sasa masuala ya kusema dni flan haifai,.,.,huo ni ukosefu wa maarifa,.,.na vle vle ni chuki binafs,.,.fuata imani yako na mwngne afuate ya kwake,.,.,.
IMANI YATOSHA
naomba tusitukanane kuhusu dini ya mtu,.,.masuala ya kusema cjui flan ahamie cjui dni flan ndo ya haki,.,yy kajuaje,.,.,??
ReplyDeleteor kuhalalisha kuuwa watu ndo uhalali,.,.,??
au kugombania kuchinja wanyama/mifugo ndio uhalali,.,.?
bas chinjeni hadi nguruwe,.,.,!!!
coz c wanataka kuchinja,.,.?wasibague,.,.,
wachinje hadi nguruwe hapo itakuwa sawa,.,.,
na sio kuanza kusema cjui hamia dni flan,.,.,ndo wale wale tu
ya kaizari mpe kaizari na ya MUNGU mpe MUNGU
ReplyDeletegwajima anmtomba flora kweli?flora ni mzinzi sana anafikiria hela au mali ndio kila kitu,,stupid woman..na mzee waupako hebu muwache mwanzio kila mtu anakula kwa ujanja wake.
ReplyDeleteflora muogope mungu,uliyoyatenda sio sahihi kabisa.Muombe msamahaa mumeo '
ReplyDeleteflora malaya sana mlikuwa hamjui tabia yake ,hata mama yake anamtetea bure si chochote mtoto wa mbwa ni mbwa
ReplyDeleteflora malaya sana mlikuwa hamjui tabia yake ,hata mama yake anamtetea bure si chochote mtoto wa mbwa ni mbwa
ReplyDelete